nmecheka mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Akikabidhiwa kipande cha karatasiNafikiri hii formal education ililetwa Afrika kuja kutupora uwezo wa kufikiri na ndiyo maana wazazi wengi wanajikuta wanauza ng'ombe wanyama kupeleka ng'ombe mtu shule ambaye akishafubazwa uwezo wake wa kiakili anatunukiwa kipande cha karatasi kwa lengo la kujiona binadamu aliyestaarabika kuliko wengine kwenye jamii aliyotoka.
Ha ha haaaaaAjabu ni kuwa mnaosema ni kheri hamkusoma mnazidi kusomesha watoto wenu tena shule private.Maajabu haya!
Yes! Kwani uliwahi kuona cheti cha chuma?nmecheka mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Akikabidhiwa kipande cha karatasi
Kuna jamaa mmoja anasema yeye ana mafanikio sana, kama siamini nimuulize mke wake.Ili uwe mtu alietoboa unatakiwa uwe na nini na nini? Kiasi gani cha fedha au mali?
Sijawahi[emoji23][emoji23]Yes! Kwani uliwahi kuona cheti cha chuma?
Dhana ya elimu kwa uelewa wa mtanzania wa kawaida ni kusoma kuanzia darasa la kwanza hadi chuo cha juu au chuo kikuu na kupata vyeti, kumbe hata kukaa jirani na mama au dada wa, ukajifunza kukanda maandazi ni bonge la elimu.Acha kuaminisha watu uwongo..wenye elimu ndo hao wanasota mtaan
Me na ufundi cherehan wangu nina mafanikio kuliko hao waliosoma
Kuwa na elimu cheti bila maarifa (ujuzi) kwenye hiyo elimu ni bure.Ukweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana.
Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio.
Uzi tayari.
ngoja niende pale ofisi za ccm central police,Mwanza, nikatie nia ya kugombea udiwani kata ya mbugani nichukue na form.
Mtu anaingia elimu ya upili tu akirudi likizo ya nusu mwaka hata watoto wenzie wa rika moja anawaona si wa kaliba yake tena sembuse huyu wa ''choo kikuu'' ? Ndo maana wataendelea tu kulaumu siasa ilihali wasio na vipande vya karatasi wakijiimarisha kiuchumi kupitia kazi zisizohitaji elimu kutoka juu. Imeisha!Sijawahi[emoji23][emoji23]
"kujiona binadamu aliyestaarabika kuliko wengine kwenye jamii aliyotoka"
nmecheka sana
Nyinyi ndio kila kukicha mnakomaa na makaratasi tu, Mara uishi alikoolewa dadaako kisa tu unasomea diploma ya nyuki, Mara uhamie kwa Mjomba unasomea cheti cha usimamizi Wa ufugaji Wa samaki. Unamaliza ma vyeti unayafungia ndani badala yake unakuja kuomba kuandikisha NIDA acheni ujinga piga mbombo wenzenu wanatusua Nyinyi kukomaa na theory za kwenye makaratasiUkweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana.
Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio.
Uzi tayari.
ngoja niende pale ofisi za ccm central police,Mwanza, nikatie nia ya kugombea udiwani kata ya mbugani nichukue na form.
Ukweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana.
Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio.
Uzi tayari.
ngoja niende pale ofisi za ccm central police,Mwanza, nikatie nia ya kugombea udiwani kata ya mbugani nichukue na form.
Kuna jamaa humu alisema kila mtu ni mrefu inategemea anajilinganisha na nani?Kuna jamaa mmoja anasema yeye ana mafanikio sana, kama siamini nimuulize mke wake.
Basi mfanye aishie form four maana hayo maarifa atakayokuwa ameyapata yanamtosha.Maana akiendelea hayo maarifa mapya hatayatumia.Naomba nitie kaneno hapa MKUU kuhusiana na kusoma na kufanikiwa
Kusoma ni muhimu sana kwasababu kwanza kusoma kwenyewe tu kunakupa hadhi flani katika jamii husika
Kufanikiwa ni muhimu sana ila huku kupo tu yaani haijalishi umesoma ama laah
watu wanapiga mpaka M2per Mwezi MKUU ila standard seven tena failure
Ila hatuwezi kuwaacha watoto wetu wasisome sababu kusoma nikuongeza maarifa
Nakuna tofauti kubwa sana kati ya wanaojua nawasio jua(waliosoma nawasio soma)
Ila hakuna mahusiano yamoja kwamoja kati ya kusoma na kufanikiwa.
MKUU nahisi tunaweza tukawa hatujaelewana pengineBasi mfanye aishie form four maana hayo maarifa atakayokuwa ameyapata yanamtosha.Maana akiendelea hayo maarifa mapya hatayatumia.
Nadhani hii nadharia mliyoishikilia inatokana pia na mazingira ya hizi nchi zetu za madaraja ya chini.Sidhani kama unaweza mkuta mwenyeji wa ulaya au Mmarekani ana msimamo kama wako.Wenyewe wanaamini katika elimu sana.Hata uwezekano wa kupata ajira ni mkubwa kwao.Hata wazazi wenye mabiashara makubwa huko watoto wao wanasoma haya madegree na masters ya uchumi akimaliza ndo anashika usukani.
Najaribu kuwaza Tz ya miaka ijayo ambayo wazazi wanawahamasisha watoto wao wakomee form 4 kisha wawafungulie biashara.Yaani sisi hatuendi sambamba na dunia yaani hahah.Sijui na wenzetu kuna wakati walipitia kipindi kama hiki!
Sawa ila mimi nitasomesha watoto wangu hadi juu kabisa na tena elimu ya juu wataipatia huko nje.Nishapita njia nyingi so najua wao watapita ipi ambayo ni sahihi kwao.
Inatokana na mtu na mtu.Kuna ambao hata uandishi tu hausadiki kwamba kaishia au kafikia level fulani ya elimu.Kwahio wewe huamini tupo tulioishia la Saba A au?
You make a good point there.That's it.Ila ishu nikwamba sio kila ambae hana ELIMU hawez kufanikiwa kama alivyotaka kutuaminisha mtoa mada..
[emoji23][emoji23]Wanasemaga tuna wivu "Aliesoma kasoma"Mtu anaingia elimu ya upili tu akirudi likizo ya nusu mwaka hata watoto wenzie wa rika moja anawaona si wa kaliba yake tena sembuse huyu wa ''choo kikuu'' ? Ndo maana wataendelea tu kulaumu siasa ilihali wasio na vipande vya karatasi wakijiimarisha kiuchumi kupitia kazi zisizohitaji elimu kutoka juu. Imeisha!