Kama huna hela unaenda bar kufanya nini? Huo ndio mwanzo wa kuingia kwenye ushoga

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu?

Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo.

Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani kwako, kunya kisha lala.

Hutoaibika milele.
 
Wanywaji lazima mpeane ofa. Nawe ipo siku watakununulia. Usiwadharau. Roho mbaya hiyo!
 
Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu?

Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo.

Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani kwako, kunya kisha lala.

Hutoaibika milele.
true jamaa!!! au kama vipi,,,,anywe pombe za kienyeji!!
 
Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu?

Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo.

Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani kwako, kunya kisha lala.

Hutoaibika milele.
Ulevi ni dhambi sasa dhambi ni kitu cha kumnyima mtu kweli?
 
Kuna mtu kakubamiza uko bar mkuu? Alafu inaonekana ukashindwa kumkatilia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila umesema kweli
 
Kuna jamaa ni baunsa hivi anazurula baa akiniona tu ananichangamkia na kuomba bia.

Anaanza kutaka kujiweka kuwa bodyguard wangu lakini nikimcheki naona hata mkono hauwezi kazi kupiga nondo za zege[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] lakini tunaishi na masela namna hiyo.
 
Hao mabaunsa wengi ni machoko
 
Ulevi ni dhambi sasa dhambi ni kitu cha kumnyima mtu kweli?
Dhambi??? Njoo tule vyombo
PXL_20231229_151551328.jpg
 
Back
Top Bottom