Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ohh yeahNa kuonesha utakatifu wa pombe: Muujiza wa kwanza wa Yesu Kristo ulikuwa kubadilisha maji kuwa mvinyo!
Kwenye quran tumeahidiwa kukuta mito ya pombe huko mahali pa juu palipoinuka! Kifupi pombe imeheshimishwa mno kwenye vitabu vitakatifu