😄😄 Technic ya video call Ni mpya kwangu aisee 😄Kuna mmoja huyo ameshindikana.
Yaani kila bar utakayokwenda lazma atafika. Anachokifanya ni kupiga video call kwny group la WhatsApp..ukirespond anaangalia mazingira mliyopo..atawazungukia wrote akirudi kwake kalewa for free.. nowadays tunapiga kitungi nje ya mji kwa kero zake halafu hana aibu hata kidogo atataka umnyweshe,ale kitimoto utadhan demu.