Kama huna hela unaenda bar kufanya nini? Huo ndio mwanzo wa kuingia kwenye ushoga

Kama huna hela unaenda bar kufanya nini? Huo ndio mwanzo wa kuingia kwenye ushoga

Tajiri hatuongei sana sasa mwisho wa mwaka huu unashindwa vp kununulia watu bia mwaka mzima si umezichanga??? Njoo hapa upepo garden mbezi beach uone

Bia 1 ya hapo mtaani kwako ambayo ni buku jero hapa ni buku 6 (loko bia)

Sent from iPhone 15 Pro Max
 
Daah.. kuna Bar hizo wale wahudumu wake wanabaki na chenji.. yaan ukilipa bia za elf 9 ile buku wanaiminya.

Ukilipa msosi wa elf 9500 ile jero hairudi..

Kumbuka akishaminya hela haji tena yeye anakuj mwingine na unampa cash akuletee masanga.. huyu nae anaminya hizo buku buku.. so ukikaa vibaya unakuta umeacha elf 10 Bar.

Hapo hajaja mdandia ofa hapo umchape bia mbili..
 
Dodoma ndio wana ufala huo
 
Mfano mzuri wa jinsi kizazi kilivyoharibika. Miaka ya 90, mtu angeambiwa unaenda bar bila hela, utaosheshwa glass au utabondwa au ingekuwa miaka ya 2000 angeambiwa utaacha dhamana ya simu. Ila siku hizi ndo hivi mtu anawaza shoga. Ni tatizo kubwa sana kwa mwanaume kukimbilia kuwaza ushoga first than anything
 
Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu?

Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo.

Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani kwako, kunya kisha lala.

Hutoaibika milele.
Ukiwa na hela ndiyo ticketi ya kuwafira wenzako sio?

Mbona kuna mashoga adi wana magari na mijengo
 
Back
Top Bottom