Kama huna hela unaenda bar kufanya nini? Huo ndio mwanzo wa kuingia kwenye ushoga

Kama huna hela unaenda bar kufanya nini? Huo ndio mwanzo wa kuingia kwenye ushoga

Hivi mtu unakwendaje bar huna hela
.

Ukiombwa bia moja tu unapost JF.

Kama starehe huziwezi lala nyumbani.

Vijana wa siku hizi kama wadada aisee.

Hivi kweli wewe unaweza simamia show ya watu kadhaa bila kutetereka??

Kina dada wengi mno these days.
 
Tukutane jukwaa la dini. Ila uje ukiwa bado haujanywa
Acha ubabaishaji. Unaongelea kunywa nini? Je hujawahi kufika bar, umeagiza maji mtu anakuja kukuomba umnunulie bia? Si rafiki yako na wala hamfahamiani
 
Mbona wanasema walevi wakilewa huwa ni wakarimu sana, anaweza hata akafunga baa na kulipia bia zote?
Au hujalewa bado 😄
 
Kina cocastic watarajiwa hao...mwanaume unakulaje jasho la mwanaume mwenzio kirahisi rahisi...mwisho wa siku wanakuja kuitwa wajomba maresh
 
Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu?

Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo.

Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani kwako, kunya kisha lala.

Hutoaibika milele.
Bahati nzuri jf haina wanaume waomba bia….😭😭😭
 
Back
Top Bottom