Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ahahahah
Hivi inakuwaje kijana anakunywa pombe?
Hivi inakuwaje kijana anakunywa pombe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sungura hapingwi!Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu?
Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo.
Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani kwako, kunya kisha lala.
Hutoaibika milele.
NakaziaBaba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu?
Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo.
Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani kwako, kunya kisha lala.
Hutoaibika milele.
Jiandae kuliwaNaona umeanza kunisema Mkuu.
ASANTE SANA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Ndio minini?Bar tuliwakimbiaga midananda
Ova
Hao mabaunsa wengi wao mashoga, hadi list yao ilitolewaKuna jamaa ni baunsa hivi anazurula baa akiniona tu ananichangamkia na kuomba bia.
Anaanza kutaka kujiweka kuwa bodyguard wangu lakini nikimcheki naona hata mkono hauwezi kazi kupiga nondo za zege[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] lakini tunaishi na masela namna hiyo.
Sinaga muda naye, hata mimi nilishamhisi ndo maana Huwa sitaki mazoea naye.Hao mabaunsa wengi wao mashoga, hadi list yao ilitolewa
That's greatSinaga muda naye, hata mimi nilishamhisi ndo maana Huwa sitaki mazoea naye.
Yeah! I can't waste my time with a such fool😅😅That's great
Unapangia watu maisha Halali yao😂😂😂😂Ahahahah
Hivi inakuwaje kijana anakunywa pombe?
Mimi ni mlevi wa neno la Mungu. Nina addiction kabisa..Nipe mstari unaosema bia ni dhambi. Ulevi unaweza ukawa hata mlevi wa ngono, kila addiction ni ulevi
.....mbaya zaidi akinunuliwa siku moja, analeta mazoea kila akikuona anataka bure....afu bia zao ni Heineken na whidhoek, afu mie tajiri nakunywa kvant ndogo, nailambalamba almradi nisogeze muda wa bar kufungwa.....WANAKERA!!!Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu?
Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo.
Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani kwako, kunya kisha lala.
Hutoaibika milele.
Wanakera wakikuona tu salamu nyingi wote hatuna hela tunajikaza halafu baadae watusnich.....mbaya zaidi akinunuliwa siku moja, analeta mazoea kila akikuona anataka bure....afu bia zao ni Heineken na whidhoek, afu mie tajiri nakunywa kvant ndogo, nailambalamba almradi nisogeze muda wa bar kufungwa.....WANAKERA!!!
Acha kuomba omba biaUchoyo na uboya tu, roho mbaya qqmke. Acha wana tujumuike nao. Halafu usipangie wa2 mazee,