KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Wanywaji lazima mpeane ofa. Nawe ipo siku watakununulia. Usiwadharau. Roho mbaya hiyo!Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu?
Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo.
Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani kwako, kunya kisha lala.
Hutoaibika milele.
true jamaa!!! au kama vipi,,,,anywe pombe za kienyeji!!Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu?
Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo.
Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani kwako, kunya kisha lala.
Hutoaibika milele.
Ulevi ni dhambi sasa dhambi ni kitu cha kumnyima mtu kweli?Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu?
Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo.
Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani kwako, kunya kisha lala.
Hutoaibika milele.
Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu?
Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo.
Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani kwako, kunya kisha lala.
Hutoaibika milele.
Mi huwa sifugi CHAWA wala ombaomba anayekuja kwa gia yoyoteBaada ya kumnyima mtu bia unaanza kujitetea[emoji16]embu nunulia mtu bia bwana
Nipe mstari unaosema bia ni dhambi. Ulevi unaweza ukawa hata mlevi wa ngono, kila addiction ni uleviUlevi ni dhambi sasa dhambi ni kitu cha kumnyima mtu kweli?
Ehh ndio anywe machwala ndio uwezo wake unapoishiatrue jamaa!!! au kama vipi,,,,anywe pombe za kienyeji!!
Hao mabaunsa wengi ni machokoKuna jamaa ni baunsa hivi anazurula baa akiniona tu ananichangamkia na kuomba bia.
Anaanza kutaka kujiweka kuwa bodyguard wangu lakini nikimcheki naona hata mkono hauwezi kazi kupiga nondo za zege[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] lakini tunaishi na masela namna hiyo.
Dhambi??? Njoo tule vyomboUlevi ni dhambi sasa dhambi ni kitu cha kumnyima mtu kweli?
😂😂😂🙌Kuna wangese wanakera mbaya nitakuja piga mtu paipu
Hahaha hahayaan mpka huu mwaka uishe mqchawa waomba bia bar watakuwa wamechapika hatari kila siku wanafunguliwa uzi qmmke