Kama huna hela unaenda bar kufanya nini? Huo ndio mwanzo wa kuingia kwenye ushoga

😄😄 Technic ya video call Ni mpya kwangu aisee 😄
 
Hao ndiyo inzi wa kwenye sherehe hasa za uswazi
 
Acha ubahili. Uwe unatoa tip
 
Walevi huwa wanashikamana atakunyima pesa lakini sio bia
 
Ila watu wanaoendaga bar kugongea bia wanamatatizo,

Kunammoja nipo na chombo Moja nimechili nayo,"Oya braza daa mwanangu wewe hua nakukubali sana"Kuna k vant ilikua ipo nusu ikabid nimuachie janja
 
Kitu gani kimetokea? Mbona kwa muda mrefu nimekuwa nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu? INASIKITISHA SANA
Kweli kabisa, kila kitu kikizidi hugeuka kuwa ulevi, wewe ni chawa, iangalie hata user 🆔 yako
 
Ila watu wanaoendaga bar kugongea bia wanamatatizo,

Kunammoja nipo na chombo Moja nimechili nayo,"Oya braza daa mwanangu wewe hua nakukubali sana"Kuna k vant ilikua ipo nusu ikabid nimuachie janja
Acheni kuwadekeza
 
Ila watu wanaoendaga bar kugongea bia wanamatatizo,

Kunammoja nipo na chombo Moja nimechili nayo,"Oya braza daa mwanangu wewe hua nakukubali sana"Kuna k vant ilikua ipo nusu ikabid nimuachie janja
Mimi kuna mmoja alikuta nina Redbull na Smirnoff yangu imebaki kama robo hivi, jamaa akashoboka, nipe hii nimalizie.

Nikaimimina yote kwenye glass, nikamwambia tuchange tuagize kubwa. Alaondoka bila kuaga.
 
Naunga mkono hoja.

Na wengi wanapoteza marinda kwa pombe za mserereko.
 
kuna chawa mmoja wa wcb humu nae inaonekana anapenda sana offa za bure bure uyu apa juu yangu☝️
 
Aisee.
 
Nipe mstari unaosema bia ni dhambi. Ulevi unaweza ukawa hata mlevi wa ngono, kila addiction ni ulevi
Na kuonesha utakatifu wa pombe: Muujiza wa kwanza wa Yesu Kristo ulikuwa kubadilisha maji kuwa mvinyo!
Kwenye quran tumeahidiwa kukuta mito ya pombe huko mahali pa juu palipoinuka! Kifupi pombe imeheshimishwa mno kwenye vitabu vitakatifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…