Kama huna pesa hakuna mtu atakuheshimu. Hata wazazi wako watakudharau

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,726
Reaction score
3,391
Kuna huu ukweli ambao ni vema kila mtu anatakiwa kuufahamu. Kwa asilimia kubwa heshima ya mtu huletwa na pesa alizonazo.

Kama huna pesa hata wazazi wako, kaka na dada watakudharau. watu baki ndiyo kabisa watakudharau. Na si kwamba hawakupendi. Watakupenda sana ila hawatakuheshimu.

Kifupi watakudharau. Ukionyeshwa dharau sababu huna pesa usikasirike, hao ndugu wanakupenda sana ni vile tu hawakuheshimu na umasikini wako.

Hapohapo, ukiona unaheshimiwa-heshimiwa sana na kunyenyekewa jua kuwa inaheshimiwa na kunyenyekewa pesa yako.

Usidhani labda watu wanakupenda sana. Binadamu hana aibu kabisa linapokuja suala la kuabudu pesa.

Tafuta pesa au kubaliana na hali.
 
Uzuri wa pesa hata ukiongea pumba hakuna mtu anapinga
 
Back
Top Bottom