Kama huna pesa hakuna mtu atakuheshimu. Hata wazazi wako watakudharau

Sio kweli waganga wa jadi wanaheshimiwa sana na washirikina angali wengi hali duni, viongozi wa dini wana heshima yao, ma sister wanaheshimika jamii nzima, madereva malori wanaheshimu sana rangi nyeupe traffic na makuli wanaopakia mizigo.. ume generalise mkuu ila sikupingi kwa namna moja
 
........uko sahihi kabisa mkuu, watu wanaweza kuja na exceptions nyingi lakini ukweli heshima ya kweli inaletwa na pesa.......binafsi Sina pesa na nazipokea dharau zote kwa mikono miwili maana dunia imeamua kuwa pesa ndo msingi wa heshima, urafiki, mapenzi, utii, upendo, etc.....
 
Ndo maana Umekaa pekeyako hapo
 
Sio kweli waganga wa jadi wanaheshimiwa sana na washirikina angali wengi hali duni, viongozi wa dini wana heshima yao, ma sister wanaheshimika jamii nzima, madereva malori wanaheshimu sana rangi nyeupe traffic na makuli wanaopakia mizigo.. ume generalise mkuu ila sikupingi kwa namna moja
Wengi umetaja ni wanawaogopa tu.
 
Back
Top Bottom