Kama huna pesa hakuna mtu atakuheshimu. Hata wazazi wako watakudharau

Hakuna MTU ambaye yupo kwaajili yako zaidi yako mwenyewe. Hiyo ndio Kanuni namba moja ya Maisha au Kiumbe.

Mengine yote ni unafiki
Siku ukiumwa ndo utalelewa umuhimu wa watu hii ni point ya kitoto na kibinafsi sana hata ukifa watu wengine ndo watakaokusitiri hata faraja tunapata kutoka kwa watu wengine
 
Ni kweli tunadharaulika sana, hata kama una kitu ndani yako huonekani kama huna ela, unanyanyuliwa kwenye kikao kiti chako wanaweka Mbege jinsi huna maana
Jamani Ariana kiti changu waweke mbege😀, aki kutatokea ugomvi huo hapatakalika hapo si unajua hasira ya kutokua na pesa na udharauliwe,namwaga na hiyo mbege yao😀
 
Sio kweli waganga wa jadi wanaheshimiwa sana na washirikina angali wengi hali duni, viongozi wa dini wana heshima yao, ma sister wanaheshimika jamii nzima, madereva malori wanaheshimu sana rangi nyeupe traffic na makuli wanaopakia mizigo.. ume generalise mkuu ila sikupingi kwa namna moja
Waganga wa kienyeji sio kweli kuwa wana hali ngumu ila ni masharti ya mizimu, Na kikawaida mizimu ni asili ndiyo maana kwa waganga utakuta ng'ombe, kondoo, visu, fuvu n.k. Nguvu ya uganga ime-base kwenye asili, Kazi ya kiganga ndo huwafanya wawe hivyo
 
Jamani Ariana kiti changu waweke mbege[emoji3], aki kutatokea ugomvi huo hapatakalika hapo si unajua hasira ya kutokua na pesa na udharauliwe,namwaga na hiyo mbege yao[emoji3]
ndo utasikia hapo Kiruu!! unaona side effect za kukosa Mbesaaa!!!!!!!
[emoji1] kwanza ukiwa huna hela kuna kaunyonge flani hivi kanakuingia unajikuta hujipi kipaumbele mana ukiambiwa toa hapo Afu 3 ya haraka haraka huna ya nini kujifedhehesha
 
Heri ukose hela lakini uwe umesoma maana katika jamii zetu waliosoma nao wana heshima zao utasikia we umesomea nini? Me ni daktari, me ni Mwanasheria, Me Engineer, Kuliko hujasoma na huna hela utadhaurilika mpaka kufa, Kama una mda wa kusoma soma kweli aisee nawapa ushauri wa bure
 
😀😀😀 ila pesa🙌 hata ukiongea point, inaonekana unapiga kelele tu
 
Siku ukiumwa ndo utalelewa umuhimu wa watu hii ni point ya kitoto na kibinafsi sana hata ukifa watu wengine ndo watakaokusitiri hata faraja tunapata kutoka kwa watu wengine
ukiumwa ukifa si basi!!! kuna kitu watu wengi nahisi hawakielewi " hamna mtu anazaliwa anaanza kuwa weirdo out of blue! Huwa kuna mtiririko wa mambo mengi ya hali hiyo yamemtokea yakamfanya aone kujitenga ndio namna sahihi! Kukata tamaa juu ya jambo sio rahisi lazima mtu aumie kwa mda mrefu mpaka akate shauri.
Na kila jambo lina garama zake kwenye maisha, ukiona mtu kaamaua hayo ujue anajua kuna kuumwa kuna kufa, ila kwasababu ana Exist kwa niaba yake mwenyewe anaona fresh hat nikiumwa nikifa yote maisha kwani nani ananidai au anashida na mimi! mtu akichagua njia ujue anajua impelekako.
 
Heri ukose hela lakini uwe umesoma maana katika jamii zetu waliosoma nao wana heshima zao utasikia we umesomea nini? Me ni daktari, me ni Mwanasheria, Me Engineer, Kuliko hujasoma na huna hela utadhaurilika mpaka kufa, Kama una mda wa kusoma soma kweli aisee nawapa ushauri wa bure
Asante 💯
 
ukiumwa ukifa si basi!!! kuna kitu watu wengi nahisi hawakielewi " hamna mtu anazaliwa anaanza kuwa weirdo out of blue! Huwa kuna mtiririko wa mambo mengi ya hali hiyo yamemtokea yakamfanya aone kujitenga ndio namna sahihi! Kukata tamaa juu ya jambo sio rahisi lazima mtu aumie kwa mda mrefu mpaka akate shauri.
Na kila jambo lina garama zake kwenye maisha, ukiona mtu kaamaua hayo ujue anajua kuna kuumwa kuna kufa, ila kwasababu ana Exist kwa niaba yake mwenyewe anaona fresh hat nikiumwa nikifa yote maisha kwani nani ananidai au anashida na mimi! mtu akichagua njia ujue anajua impelekako.
💯💯💯 Kunywa soda siji kulipa 😂😂
 
Back
Top Bottom