Kama huna pesa hakuna mtu atakuheshimu. Hata wazazi wako watakudharau

Heri ukose hela lakini uwe umesoma maana katika jamii zetu waliosoma nao wana heshima zao utasikia we umesomea nini? Me ni daktari, me ni Mwanasheria, Me Engineer, Kuliko hujasoma na huna hela utadhaurilika mpaka kufa, Kama una mda wa kusoma soma kweli aisee nawapa ushauri wa bure
umeanza vibaya umemalizia vizuri nakubaliana nawewe ila sio kwa uliposema heri ukose hela lakini uwe umesoma. Heri uikose hiyo elimu ila sio pesa mkuu. Usomi wako hauna maana kama hauleti ugali mezani, haulipi bills na kukukwamua kiuchumi.
 
ukiumwa ukifa si basi!!! kuna kitu watu wengi nahisi hawakielewi " hamna mtu anazaliwa anaanza kuwa weirdo out of blue! Huwa kuna mtiririko wa mambo mengi ya hali hiyo yamemtokea yakamfanya aone kujitenga ndio namna sahihi! Kukata tamaa juu ya jambo sio rahisi lazima mtu aumie kwa mda mrefu mpaka akate shauri.
Na kila jambo lina garama zake kwenye maisha, ukiona mtu kaamaua hayo ujue anajua kuna kuumwa kuna kufa, ila kwasababu ana Exist kwa niaba yake mwenyewe anaona fresh hat nikiumwa nikifa yote maisha kwani nani ananidai au anashida na mimi! mtu akichagua njia ujue anajua impelekako.
Samahani sikukujui ila utoto raha sana, yaan maisha nikutegemeana dada hata wewe watu tu wanakuvumilia una mapungufu mengi

Maisha ya kutaka kujitenga ndo mwanzo wa stress, depression na mwisho wa siku kujiua au kuua watu wengine dunian hata hujaribu kuishi mwenye hutaweza sababu utajikuta tu kuna kitu hukijui una hitaji msaada wa watu wengine

Kwenye maisha focus kwenye mazuri na sio mabaya ya watu na faraja inatoka kwa watu alafu sio tu ugonjwa, Mungu akikujalia ukaishi ukawa mzee na huna nguvu ndo utaelewa umuhimu wa watu wanaoongea hivi ni vijana ambao wanafikiri watakua na nguvu 100 au wanaojiona wako perfect
 
Ni ukweli
Ukiwa kijana na nguvu unaweza hisi maisha yote unaweza amin kila jambo ni kwa ajili yako, ukweli ni kwamba hata wewe wazazi wako ulivyokua mdogo walikua kwa ajili yako

Angalia wale walemavu mikono hawana na wanatembe na wheel chair unadhan maisha yao bila faraja ya watu wengine wanaweza ishu kwa ajili yao
 
Tafuta pesa kukidhi mahitaji yako, family na watoto muifurahie Dunia na kutimiza majukumu yenu bila ya kuwa mzigo kwa mtu yoyote ,kutafuta kusaka heshima heshima yako italingana na pesa yako akija mwenye pesa zaidi utajisikia mmnyonge ,utaanza tena kusaka pesa kupandisha heshima big kwa hao wenye kutafuta pesa kusaka heshima,jitahidi uitawale pesa na sio pesa ikutawale usije kuishia kuwa mtumwa wa pesa badala ya pesa ndio iwe mtumwa wako ,ukiishi kwa bajeti yako itakuondolea wivu na mashindano yasio na tija ,ukweli kukosa pesa ni kubaya lakini real husler huishi akipatacho pia pesa itanunua vyote lakini sio uhai so take it easy with life ,enjoy ,mshukuru Mungu unapojaliwa keep it up ni somo kwa wasio kuwa nazo kuzisaka nao wakunje millions, billions hata trilion ikibidi.
 
Pesa iwe mtumwa wako

Nashukuru kwa Ujumbe huu
 
Maoni bora kabisa🙏
 
Back
Top Bottom