Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Upandishe ule uzi wako.Hakuna MTU ambaye yupo kwaajili yako zaidi yako mwenyewe. Hiyo ndio Kanuni namba moja ya Maisha au Kiumbe.
Mengine yote ni unafiki
Tupandishie Uzi mkuuHakuna MTU ambaye yupo kwaajili yako zaidi yako mwenyewe. Hiyo ndio Kanuni namba moja ya Maisha au Kiumbe.
Mengine yote ni unafiki
Kuna wamama chenga,mtoto asiye na hela hana maana kwake!Mama YAKO mzazi na Jesus pekee ndo hawawezi kukuacha usipokuwa na pesa. Maana walikujua tangu ungali uchi
Point nzito sana hii..Hakuna MTU ambaye yupo kwaajili yako zaidi yako mwenyewe. Hiyo ndio Kanuni namba moja ya Maisha au Kiumbe.
Mengine yote ni unafiki
Tupandishie Uzi mkuu
Ni kweli tunadharaulika sana, hata kama una kitu ndani yako huonekani kama huna ela, unanyanyuliwa kwenye kikao kiti chako wanaweka Mbege jinsi huna maana
Upandishe ule uzi wako.
Si kweli. Mama yako atakupenda sana ila heshima sahau. Au tuseme hutapewa heshima kama mwenye pesa.Mama YAKO mzazi na Jesus pekee ndo hawawezi kukuacha usipokuwa na pesa. Maana walikujua tangu ungali uchi
Uzuri wa pesa hata ukiongea pumba hakuna mtu anapingaKuna huu ukweli ambao ni vema kila mtu anatakiwa kuufahamu. Kwa asilimia kubwa heshima ya mtu huletwa na pesa alizonazo.
Kama huna pesa hata wazazi wako, kaka na dada watakudharau. watu baki ndiyo kabisa watakudharau. Na si kwamba hawakupendi. Watakupenda sana ila hawatakuheshimu.
Kifupi watakudharau. Ukionyeshwa dharau sababu huna pesa usikasirike, hao ndugu wanakupenda sana ni vile tu hawakuheshimu na umasikini wako.
Hapohapo, ukiona unaheshimiwa-heshimiwa sana na kunyenyekewa jua kuwa inaheshimiwa na kunyenyekewa pesa yako.
Usidhani labda watu wanakupenda sana. Binadamu hana aibu kabisa linapokuja suala la kuabudu pesa.
Tafuta pesa au kubaliana na hali.