Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Simple sana, piga maombi ya kufunga kwa zaidi ya siku 3 mfululizo bila kula usiku na mchana kisha baada ya hapo jitahidi uwe na balanced diet ili uje unishukuru kwa kubarikiwa kiroho na kiafya.Habari wadau,
Naomba ushiriki katika ujenzi wa afya, Dunia hii malaika ni watu na si vinginevyo, kila mmoja wetu kaumbwa kama malaika wa pekee, niwape hili moja la kupunguza mwili na Uzito na kuondokana na tabia ya kula kula kila wakati.
Anza zoezi la kutumia kahawa iliosagwa vizuri ya dukani au ya kutengenezwa vizuri, weka ratiba kila asubuhi kabla ya mlo wowote. Kijiko Cha chai kimoja na maji yako ya moto hutajuta. Ondoa kitambi kwa afya na Punguza Uzito.
Ukitumia hii weka ratiba ya kula saa 7 mchana au saa10 Kwa sababu hutahisi njaa.
Tafadhari: kama una pressure usitumie fuata ushauri wa daktari.
Awamu ijayo ntawaletea njia ya juice na aina ya mchanganyiko wa matunda.
Unaefanya mazoezi endelea na ongeza na matumizi ya Kahawa.
Pambana usilete lawama mara oooh nafsi inataka mwili unakataa, msisahau kula protein, zinc na vitamin kwa wingi.
Mnaotumia Asali na Maziwa Mgando au Maziwa Mtindi msiache. Ali kasusu, pweza tumieni.
K-Vant , Konyagi, smart etc kunywa kiasi Kwa afya yako.
Nawasilisha Afya ni msingi na ndio Utajiri Linda afya ufaidi Dunia.
Wadiz na Malaika wake.
Am out comrades.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app