Kama hupendi unene na uzito usiofaa pata haya maarifa ufanikiwe ndani ya mwezi mmoja

Kama hupendi unene na uzito usiofaa pata haya maarifa ufanikiwe ndani ya mwezi mmoja

[emoji23][emoji23][emoji23] katuambia ukwei mchunguuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tutakoma....
Na mimi ndiyo wale nikiendaga jogging narudi na Boda....
 
Habari wadau,

Naomba ushiriki katika ujenzi wa afya, Dunia hii malaika ni watu na si vinginevyo, kila mmoja wetu kaumbwa kama malaika wa pekee, niwape hili moja la kupunguza mwili na Uzito na kuondokana na tabia ya kula kula kila wakati.

Anza zoezi la kutumia kahawa iliosagwa vizuri ya dukani au ya kutengenezwa vizuri, weka ratiba kila asubuhi kabla ya mlo wowote. Kijiko Cha chai kimoja na maji yako ya moto hutajuta. Ondoa kitambi kwa afya na Punguza Uzito.

Ukitumia hii weka ratiba ya kula saa 7 mchana au saa10 Kwa sababu hutahisi njaa.

Tafadhari: kama una pressure usitumie fuata ushauri wa daktari.

Awamu ijayo ntawaletea njia ya juice na aina ya mchanganyiko wa matunda.

Unaefanya mazoezi endelea na ongeza na matumizi ya Kahawa.

Pambana usilete lawama mara oooh nafsi inataka mwili unakataa, msisahau kula protein, zinc na vitamin kwa wingi.

Mnaotumia Asali na Maziwa Mgando au Maziwa Mtindi msiache. Ali kasusu, pweza tumieni.

K-Vant , Konyagi, smart etc kunywa kiasi Kwa afya yako.

Nawasilisha Afya ni msingi na ndio Utajiri Linda afya ufaidi Dunia.

Wadiz na Malaika wake.

Am out comrades.
Bro principle ni moja tu;
What u take should be less than what you put out!
What you take in
Punguza quantity ya unachokula
Punguza zaidi matumizi ya vyakula vya wanga, sukari.
What you take out
Fanya sana mazoezi walau dak 30 hadi 60 kila siku kwa sababu kula pia unakula kila siku!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tutakoma....
Na mimi ndiyo wale nikiendaga jogging narudi na Boda....
Ahahaha sijawah jaribu akii siku moja nimejaribu kimbia kifua kinajaa wee
 
Bro principle ni moja tu;
What u take should be less than what you put out!
What you take in
Punguza quantity ya unachokula
Punguza zaidi matumizi ya vyakula vya wanga, sukari.
What you take out
Fanya sana mazoezi walau dak 30 hadi 60 kila siku kwa sababu kula pia uakula kila siku!
Hivi huwez pungua mpaka mazoezi??
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka mno..
Sikuwah kurudia mpaka leo huwa najiuliza watu wanawezaje kukimbia yaan mim siwezi labda uniambie nikimbilie pesa hapo naweza kabisa lakin kukimbizana na upepo siwez
 
Mungu aniepushe na hiki kikombe,
Cha unene
Am 75kg, 6.1 feet
Good! Mimi mwenyewe mwaka wa 10 huu, nacheza 75-76KG! Na pia mara zote nikipima, huwa naambiwa nipo kwenye over weight! Na siyo obersity.

Kitambi nimekipiga marufuku kwenye mwili wangu. Nani anataka mateso wakati wa kulala!
 
Bro principle ni moja tu;
What u take should be less than what you put out!
What you take in
Punguza quantity ya unachokula
Punguza zaidi matumizi ya vyakula vya wanga, sukari.
What you take out
Fanya sana mazoezi walau dak 30 hadi 60 kila siku kwa sababu kula pia uakula kila siku!
👍👍👍
 
Mungu aniepushe na hiki kikombe,
Cha unene
Am 75kg, 6.1 feet
79kg 175M, Mwili wa Ndoige ndio unanibeba kifua cha kazi Ole wake Nakkadori asionje hatachomoka body ya Ndoige hawezi kuiacha
 
Sikuwah kurudia mpaka leo huwa najiuliza watu wanawezaje kukimbia yaan mim siwezi labda uniambie nikimbilie pesa hapo naweza kabisa lakin kukimbizana na upepo siwez
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niliwahi kukimbia Marathon moja...ile kurudi na Mashoga zangu tusipande bajaj ni nini?[emoji2]..tukashuka karibu na finishing point kuchukua medal tupo hoi[emoji1787]
 
Unaweza ikiwa tu unachokula kitatumika chote kama nishati kwa kazi zakoza siku kisiwepo ambacho kitabaki na kuwekwa kama deposit...... mazoezi husaidia kupungu chakula ambacho kingerundikana sehemu mbalimali za mwili. Mfano tumbo, hips etc....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niliwahi kukimbia Marathon moja...ile kurudi na Mashoga zangu tusipande bajaj ni nini?[emoji2]..tukashuka karibu na finishing point kuchukua medal tupo hoi[emoji1787]
🤦🏻😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom