Kama hupendi unene na uzito usiofaa pata haya maarifa ufanikiwe ndani ya mwezi mmoja

Simple sana, piga maombi ya kufunga kwa zaidi ya siku 3 mfululizo bila kula usiku na mchana kisha baada ya hapo jitahidi uwe na balanced diet ili uje unishukuru kwa kubarikiwa kiroho na kiafya.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Rebecca kapotea sijui yupo shule nadhani nae anasota na PhD, aje kama Bado yupo nchi ya madongo kuinama
Anaanzaje kusota nakati akina msukuma wanazo wamepewa tu bure za heshima, mwambie aache kuzeesha ubongo atafute koneksheni ili atunukiwe tu bila kuota kipara kwa miaka 7 ya msoto wa PhD [emoji38]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Usiombe uwe na kitambi na kipara halafu Pesa huna! Utajuta!
 
Kahawa ule uchungu ulinishinda kwa kweli
 
Ambao hatutumii kahawa tutumie nin tupungue mim sijui raha zimenizidia nanenepa tu πŸ˜‚πŸ˜‚
Unene ni dalili ya uzembe, uvivu, ulafi wa kula hovyo hovyo, na pia kujiendekeza.

Unene ni kichaka cha magonjwa yasiyo ya kuambukiza mfano Kisukari, shinikizo la damu, nk

Kataa unene kwa gharama yoyote ile.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi nguo za Mwaka jana sasa hivi sivai...
Unaelekea kubaya! Wewe maana yake utakuwa unafutuka sasa, na siyo kunenepa!

Mbaya zaidi wanaume wengi hatupendi wanawake mabonge, wenye vitambi, na wasio na shape; kutokana na unene uliopitiliza. Chukua hatua mapema, kabla mambo hayaja haribika.
 
Makiseo nimekumiss sana we na Rebecca the most feminists mliokuwa mnanichangamsha hapa JF [emoji1][emoji119]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Miss you pia... Inter.
Beck yupo..nikuitie[emoji28]

Halafu huo ufeminist nilikuonesha wapi lakini? Nadhani labda tulipishana kidogo tu katika kuweka mambo sawa..
 
Unaelekea kubaya! Wewe maana yake utakuwa unafutuka sasa, na siyo kunenepa!

Mbaya zaidi wanaume wengi hatupendi wanawake mabonge, wenye vitambi, na wasio na shape; kutokana na unene uliopitiliza. Chukua hatua mapema, kabla mambo hayaja haribika.
Sasa kunisema hivyo ni nini wewe Tate?
Na kwanini unatumia ngeli ya Si na siyo Mi?

Ni wewe hupendi wanene usiwazungumzie wote... Wewe kama unapenda hao wengine komaa na size yako aiseee..
 
Kupunguza.mbona simple TU[emoji38]
1. Tafuta mwanamke pasua kichwa
2. Nunua gari bovu
3. Kakope benki na ushindwe kulipa
 
Sasa kunisema hivyo ni nini wewe Tate?
Na kwanini unatumia ngeli ya Si na siyo Mi?

Ni wewe hupendi wanene usiwazungumzie wote... Wewe kama unapenda hao wengine komaa na size yako aiseee..
Povu shogaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…