Kama hutojali, tupe siri yako ya kupata usingizi haraka usaidie wenye tatizo hili

Ushawahi kulala kwenye godoro jembamba mpaka usiku unaamka unapumzika kidogo then unalala

1.usishike simu muda mchache kabla ya kulala
2.usiangalie tv wala kompyuta muda mchache kabla ya kulala mwanga wa electronics hiz unaenda kuufanya ubongo uwe active badala ya kurelax
3.soma kitabu kwa bed
4. Make love kwa waliooa tu note (punyere haihusiki hapa)
5.usingizi ukigoma usikae sana kitandani kaa kwa kiti usome gazeti ,kitabu chochote au mziki uupendao

Hayo yote niliondika hapo juu hayajawahi kinisaidia hata chembe mimi pia nina hilo tatizo sugu nimeandika tu kama wanavyofanyaga motivational speakers
Ila nikiwaga na hela usingizi unakujaga kama katoto kachanga
Moral of the story : tutafuteni hela zisizo na stress majamaa isiwe hela haramu ,au hela ya mwajiri mwenye nongwa full ma targets ma deadline ,maonyo nk
Pata hela dusko lidhika ulale kama katoto
 
Just kuwa masikini.. "poor people sleeps anywhere"
 
Mimi nikimweka Babe hapa kifuani pangu usingizi huwa unakuja wenyewe
 
Usingizi huwa haukopesheki; lazima jiandae kuulipia. Kukosa usingizi mzuri na wa kutosha haina tofauti na kutumia self-destructive drugs. Nakutakia safari njema ya maisha (haha)!
ntalipa? 😳🙄
 
Mimi nafanya mazoezi kila siku jioni
Msosi wangu wa usiku ni matunda tu.
Nikivuta na BANGI yangu moja I sleep like baby,
 
Mimi nafanya mazoezi kila siku jioni
Msosi wangu wa usiku ni matunda tu.
Nikivuta na BANGI yangu moja I sleep like baby,
Dah! Hiyo sentensi ya mwisho inatufanya tuwe na mashaka na yote uliyoandika. Wavuta bangi wanaruka mashimo hata kwenye lami mpya.
 
Dah! Hiyo sentensi ya mwisho inatufanya tuwe na mashaka na yote uliyoandika. Wavuta bangi wanaruka mashimo hata kwenye lami mpya.
Izo story tu bangi aina mizinguo kama iyo
Mimi na miaka 20 navuta sijawai fanya wala kuona mtu anaruka mashimo pasipokuwa na mashimo
 
Nenda kajiunge JKT ndani ya wiki mbili za mwanzo wa kozi tu halafu ulete mrejesho hapa.
 
Mimi napata usingizi wa ela yote just nikiingia kitandan naomba kwa Imani yangu then najilaza na relax navuta pumzi ndefu then naiachia taratibu wakati huo nime block mawazo apo sichukui round nakua fofofo...
 
Kama ndiyo bangi uliyomalizia mihela yako kibao bora tu haraka ukadai wakurudishie kwa sababu walikuuzia majani ya Alfaalfa za kulishia ng'ombe wa maziwa huko Denmark.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…