ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 4,792
- 11,295
Ushawahi kulala kwenye godoro jembamba mpaka usiku unaamka unapumzika kidogo then unalala
1.usishike simu muda mchache kabla ya kulala
2.usiangalie tv wala kompyuta muda mchache kabla ya kulala mwanga wa electronics hiz unaenda kuufanya ubongo uwe active badala ya kurelax
3.soma kitabu kwa bed
4. Make love kwa waliooa tu note (punyere haihusiki hapa)
5.usingizi ukigoma usikae sana kitandani kaa kwa kiti usome gazeti ,kitabu chochote au mziki uupendao
Hayo yote niliondika hapo juu hayajawahi kinisaidia hata chembe mimi pia nina hilo tatizo sugu nimeandika tu kama wanavyofanyaga motivational speakers
Ila nikiwaga na hela usingizi unakujaga kama katoto kachanga
Moral of the story : tutafuteni hela zisizo na stress majamaa isiwe hela haramu ,au hela ya mwajiri mwenye nongwa full ma targets ma deadline ,maonyo nk
Pata hela dusko lidhika ulale kama katoto