Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Naomba kutoa hoja, tujadili hoja tafadhali. Shukrani sanaUnaheshima zako hapa! Ukiona mada haiendani na ulivyo wewe, kaa kwa kutulia na siyo ujisababishie kushushiwa heshima yako mkuu!
Si kila mtu awe na mtazamo wako mwana Chadema! Chadema na ccm ni vyama tu ila havitufanyi kutuondolea mapenzi yetu ya kiupendano wa sisi kwa sisi na kwa nchi yetu! Nakuheshimu mkuu
Siwezi kuwa mfuasi wa Ibilisi hata dak mojaKumbe unawafahamu? Hata hivyo, miongoni mwa mamilioni ya watanzania na wafuasi wa JPM wewe haumo kwenye hao, kiherere chako kumhusu cha nini?
GoodMleta mada nakushauri; saga vipande vya chupa changanya na sumu ya kuua panya na kunguni kunywa ufe mkaanzishe jamhuri yenu huko mtakakokutana!
Shida yako ni ipi?Siwezi kuwa mfuasi wa Ibilisi hata dak moja
Mngeitisha mkutano wa ndani wa hao mamilioni ya wafuasi wa dhalimu mumsifie, umeamua kuleta huku kwenye public domain ni lazima upate mrejesho. Ww ndio uache kiherehere cha kuleta habari za dhalimu hapa kwenye platform ya wanaume wenzako.Nilivyoandika kuwahusu malinoni ya wafuasi wa JPM wewe haumo kwenye hao, hicho kiherere cha nini kwa yasiyokuhusu?
Tindo niache kwa sababu yako tuu! Hapana mkuuMngeitisha mkutano wa ndani wa hao mamilioni ya wafuasi wa dhalimu mumsifie, umeamua kuleta huku kwenye public domain ni lazima upate mrejesho. Ww ndio uache kiherehere cha kuleta habari za dhalimu hapa kwenye platform ya wanaume wenzako.
Shida ni ufe umfuate alipoShida yako ni ipi?
Nitoshe kusema apumzike Kwa amani na isitokee akarudiYaani maisha ya JPM aliyoipitisha Tanzania bado mnamkumbuka?
HahaahahhaNitoshe kusema apumzike Kwa amani na isitokee akarudi
Tusisahau JPM alifanya nini hadi yote haya yanamkuta. Mbona Nyerere na Mkapa wamepumzika kwa amani? JPM alifanya kosa moja kubwa kati ya mengi; kuzuia watu wasiseme kitu wakati wa uongozi wake. Sasa watu wamepata uhuru wao wa kusema na wanasema. Umeelewa?Hili ni kutoka moyoni kabisa!
Na kama iko namna bora na ambapo viongozi wetu wanapaswa kutumia hekima ili kuondoa mpasuko unaoendelea mitandaoni na ambapo viongozi wetu huwenda wanaona ni kawaida, basi wanapaswa kuliangalia hili na kuwa nalo makini sana, kwani linazidi kuipasua nchi na kuleta tofauti mkubwa kwa wananchi na mpaka kwa viongozi wenyewe!
Kuilinda Amani kwa majeshi na vitisho, ni njia nzuri ila sio namna bora yenye kuleta utengamano kwa jamii iyoumizwa; watanyanaza kwa midomo yao lakini mioyo yao ingali inawaka moto!
Tukubali ama tusikubali, nyuma ya hayati JPM kuna mamilioni ya watanzania ambao mpaka sasa wamekuwa wafuasi wa mlengo wake na wameendelea kuumizwa na matusi na kejeli nyingi kumhusu JPM, Ikumbukwe, JPM alikuwa Raisi wa nchi hii, hivyo, ameacha watu wengi nyuma waliathiriwa na namna ya uongozi wake na wakampenda kama kiongozi wa aina yake kwenye mioyo yao
Si kwenye majeshi yetu, si kwa viongozi wa ndani na nje ya nchi tu, bali hata viongozi wengi waliko ndani ya ccm na ndani ya vyama vingi vya upinzani
Kuendelea kuacha jina lake kutukanwa kama mdori! Hii sio heshima wala mila zetu watanzania
Ifike pahala, jambo hili likomeshwe ili kuwaleta watanzania kwa pamoja na umoja wao!
Kama kuna mtu anajidanganya kusema eti hao sukuma gang, kwanza ni wachache na itafika mahali watasahau, huku ni kujidanganya na kuendelea kuchochea ghadhabu ndani ya mioyo ya wengi! Mtu aliyewatoa tongotongo watanzania na kuona kwamba kumbe hata Tanzania na watanzania kuinuka kiuchumi inaezeakana, iwe rahisi tu kusahaulika?
Hii ni nchi yetu sote, tumekuwa na utaratibu usiopendelea mtu wala dini na ama kabila ili kumfanya
Mtu awe kiongozi wetu!
JPM alishinda kwa haki na nyinyi ccm ndio mliotuletea, na ushindi wake mliusimamia nyinyi wenyewe, kwa nini hata chama chake kimeacha kumtunzia heshima yake kama mtu aliyeitumikia hii nchi tena kwa mafanikio makubwa?
Mnamaanisha kwamba nyinyi ccm ndio mnaoratibu haya unayoendelea kumhusu JPM?
Nahitimisha kusema, ccm majijengea uhasama na wananchi nyinyi kwa nyinyi!
Wamepata uhuru pia wanaiba..Tusisahau JPM alifanya nini hadi yote haya yanamkuta. Mbona Nyerere na Mkapa wamepumzika kwa amani? JPM alifanya kosa moja kubwa kati ya mengi; kuzuia watu wasiseme kitu wakati wa uongozi wake. Sasa watu wamepata uhuru wao wa kusema na wanasema. Umeelewa?
Sijasoma hata yaliyomo ndani ila kichwa cha habari hiyo nchi iko wapiHili ni kutoka moyoni kabisa!
Na kama iko namna bora na ambapo viongozi wetu wanapaswa kutumia hekima ili kuondoa mpasuko unaoendelea mitandaoni na ambapo viongozi wetu huwenda wanaona ni kawaida, basi wanapaswa kuliangalia hili na kuwa nalo makini sana, kwani linazidi kuipasua nchi na kuleta tofauti mkubwa kwa wananchi na mpaka kwa viongozi wenyewe!
Kuilinda Amani kwa majeshi na vitisho, ni njia nzuri ila sio namna bora yenye kuleta utengamano kwa jamii iyoumizwa; watanyanaza kwa midomo yao lakini mioyo yao ingali inawaka moto!
Tukubali ama tusikubali, nyuma ya hayati JPM kuna mamilioni ya watanzania ambao mpaka sasa wamekuwa wafuasi wa mlengo wake na wameendelea kuumizwa na matusi na kejeli nyingi kumhusu JPM, Ikumbukwe, JPM alikuwa Raisi wa nchi hii, hivyo, ameacha watu wengi nyuma waliathiriwa na namna ya uongozi wake na wakampenda kama kiongozi wa aina yake kwenye mioyo yao
Si kwenye majeshi yetu, si kwa viongozi wa ndani na nje ya nchi tu, bali hata viongozi wengi waliko ndani ya ccm na ndani ya vyama vingi vya upinzani
Kuendelea kuacha jina lake kutukanwa kama mdori! Hii sio heshima wala mila zetu watanzania
Ifike pahala, jambo hili likomeshwe ili kuwaleta watanzania kwa pamoja na umoja wao!
Kama kuna mtu anajidanganya kusema eti hao sukuma gang, kwanza ni wachache na itafika mahali watasahau, huku ni kujidanganya na kuendelea kuchochea ghadhabu ndani ya mioyo ya wengi! Mtu aliyewatoa tongotongo watanzania na kuona kwamba kumbe hata Tanzania na watanzania kuinuka kiuchumi inaezeakana, iwe rahisi tu kusahaulika?
Hii ni nchi yetu sote, tumekuwa na utaratibu usiopendelea mtu wala dini na ama kabila ili kumfanya
Mtu awe kiongozi wetu!
JPM alishinda kwa haki na nyinyi ccm ndio mliotuletea, na ushindi wake mliusimamia nyinyi wenyewe, kwa nini hata chama chake kimeacha kumtunzia heshima yake kama mtu aliyeitumikia hii nchi tena kwa mafanikio makubwa?
Mnamaanisha kwamba nyinyi ccm ndio mnaoratibu haya unayoendelea kumhusu JPM?
Nahitimisha kusema, ccm majijengea uhasama na wananchi nyinyi kwa nyinyi!
Dozi imekuingiaHeshimu watu uheshimiwe! Kwa nini unataka nikutukane mkuu?
Sababu anawatasha wengi amekufa ila watu wengi wanataka falsafa kama ya magu ndio iongoze nchi ,walamba asali na machawa ndio wanaona itawafanya wasiitawale nchi wanavyotaka kwaiyo wanaona kumtukana na kumkandia ndio njia pekee ya kuuwa falsafa yake Kwa wananchi ,ila inawasimbua sanaHivi umeshawahi kujiuliza hivi ni kwa nini madongo yapigwe kuelekea kwa JPM tu, na wala isiwe kwa Mzee Mkapa au Baba wa Taifa!?
Ndiyo! Wote ni hayati, ambao wamewahi kulitumikia taifa letu katika nafasi ya Rais wa JMT, lakini ni kwa nini kumbukumbu mbaya iwe juu yake tu! Hilo ni funzo kubwa sana kwa viongozi waliopo madarakani.
Mkuu, mbona najaribu kuutafuta ustarabu wako siuoniTutolee upuuzi. Mfate huko kaburini mkaanzishe hiyo jamhuri na marehemu wengine walotangulia nae.
Ipi tena hiyo! Ya kuvunjiana heshima? Unapenda?
Nchi ni Moja Tanzania.Hili ni kutoka moyoni kabisa!