Kama iko haki ya mtu kuamua kujitenga na Tanzania na kuundwa nchi ya watu wa Jamhuri ya JPM, Mimi namba moja

Unaheshima zako hapa! Ukiona mada haiendani na ulivyo wewe, kaa kwa kutulia na siyo ujisababishie kushushiwa heshima yako mkuu!

Si kila mtu awe na mtazamo wako mwana Chadema! Chadema na ccm ni vyama tu ila havitufanyi kutuondolea mapenzi yetu ya kiupendano wa sisi kwa sisi na kwa nchi yetu! Nakuheshimu mkuu
Naomba kutoa hoja, tujadili hoja tafadhali. Shukrani sana
 
Nilivyoandika kuwahusu malinoni ya wafuasi wa JPM wewe haumo kwenye hao, hicho kiherere cha nini kwa yasiyokuhusu?
Mngeitisha mkutano wa ndani wa hao mamilioni ya wafuasi wa dhalimu mumsifie, umeamua kuleta huku kwenye public domain ni lazima upate mrejesho. Ww ndio uache kiherehere cha kuleta habari za dhalimu hapa kwenye platform ya wanaume wenzako.
 
Tindo niache kwa sababu yako tuu! Hapana mkuu
 
Tutolee upuuzi. Mfate huko kaburini mkaanzishe hiyo jamhuri na marehemu wengine walotangulia nae.
 
Hili ni kutoka moyoni kabisa!

Na kama iko namna bora na ambapo viongozi wetu wanapaswa kutumia hekima ili kuondoa mpasuko unaoendelea mitandaoni na ambapo viongozi wetu huwenda wanaona ni kawaida, basi wanapaswa kuliangalia hili na kuwa nalo makini sana, kwani linazidi kuipasua nchi na kuleta tofauti mkubwa kwa wananchi na mpaka kwa viongozi wenyewe!

Kuilinda Amani kwa majeshi na vitisho, ni njia nzuri ila sio namna bora yenye kuleta utengamano kwa jamii iyoumizwa; watanyanaza kwa midomo yao lakini mioyo yao ingali inawaka moto!

Tukubali ama tusikubali, nyuma ya hayati JPM kuna mamilioni ya watanzania ambao mpaka sasa wamekuwa wafuasi wa mlengo wake na wameendelea kuumizwa na matusi na kejeli nyingi kumhusu JPM, Ikumbukwe, JPM alikuwa Raisi wa nchi hii, hivyo, ameacha watu wengi nyuma waliathiriwa na namna ya uongozi wake na wakampenda kama kiongozi wa aina yake kwenye mioyo yao

Si kwenye majeshi yetu, si kwa viongozi wa ndani na nje ya nchi tu, bali hata viongozi wengi waliko ndani ya ccm na ndani ya vyama vingi vya upinzani

Kuendelea kuacha jina lake kutukanwa kama mdori! Hii sio heshima wala mila zetu watanzania

Ifike pahala, jambo hili likomeshwe ili kuwaleta watanzania kwa pamoja na umoja wao!

Kama kuna mtu anajidanganya kusema eti hao sukuma gang, kwanza ni wachache na itafika mahali watasahau, huku ni kujidanganya na kuendelea kuchochea ghadhabu ndani ya mioyo ya wengi! Mtu aliyewatoa tongotongo watanzania na kuona kwamba kumbe hata Tanzania na watanzania kuinuka kiuchumi inaezeakana, iwe rahisi tu kusahaulika?

Hii ni nchi yetu sote, tumekuwa na utaratibu usiopendelea mtu wala dini na ama kabila ili kumfanya
Mtu awe kiongozi wetu!

JPM alishinda kwa haki na nyinyi ccm ndio mliotuletea, na ushindi wake mliusimamia nyinyi wenyewe, kwa nini hata chama chake kimeacha kumtunzia heshima yake kama mtu aliyeitumikia hii nchi tena kwa mafanikio makubwa?

Mnamaanisha kwamba nyinyi ccm ndio mnaoratibu haya unayoendelea kumhusu JPM?

Nahitimisha kusema, ccm majijengea uhasama na wananchi nyinyi kwa nyinyi!
Tusisahau JPM alifanya nini hadi yote haya yanamkuta. Mbona Nyerere na Mkapa wamepumzika kwa amani? JPM alifanya kosa moja kubwa kati ya mengi; kuzuia watu wasiseme kitu wakati wa uongozi wake. Sasa watu wamepata uhuru wao wa kusema na wanasema. Umeelewa?
 
Wamepata uhuru pia wanaiba..
 
Hili ni kutoka moyoni kabisa!

Na kama iko namna bora na ambapo viongozi wetu wanapaswa kutumia hekima ili kuondoa mpasuko unaoendelea mitandaoni na ambapo viongozi wetu huwenda wanaona ni kawaida, basi wanapaswa kuliangalia hili na kuwa nalo makini sana, kwani linazidi kuipasua nchi na kuleta tofauti mkubwa kwa wananchi na mpaka kwa viongozi wenyewe!

Kuilinda Amani kwa majeshi na vitisho, ni njia nzuri ila sio namna bora yenye kuleta utengamano kwa jamii iyoumizwa; watanyanaza kwa midomo yao lakini mioyo yao ingali inawaka moto!

Tukubali ama tusikubali, nyuma ya hayati JPM kuna mamilioni ya watanzania ambao mpaka sasa wamekuwa wafuasi wa mlengo wake na wameendelea kuumizwa na matusi na kejeli nyingi kumhusu JPM, Ikumbukwe, JPM alikuwa Raisi wa nchi hii, hivyo, ameacha watu wengi nyuma waliathiriwa na namna ya uongozi wake na wakampenda kama kiongozi wa aina yake kwenye mioyo yao

Si kwenye majeshi yetu, si kwa viongozi wa ndani na nje ya nchi tu, bali hata viongozi wengi waliko ndani ya ccm na ndani ya vyama vingi vya upinzani

Kuendelea kuacha jina lake kutukanwa kama mdori! Hii sio heshima wala mila zetu watanzania

Ifike pahala, jambo hili likomeshwe ili kuwaleta watanzania kwa pamoja na umoja wao!

Kama kuna mtu anajidanganya kusema eti hao sukuma gang, kwanza ni wachache na itafika mahali watasahau, huku ni kujidanganya na kuendelea kuchochea ghadhabu ndani ya mioyo ya wengi! Mtu aliyewatoa tongotongo watanzania na kuona kwamba kumbe hata Tanzania na watanzania kuinuka kiuchumi inaezeakana, iwe rahisi tu kusahaulika?

Hii ni nchi yetu sote, tumekuwa na utaratibu usiopendelea mtu wala dini na ama kabila ili kumfanya
Mtu awe kiongozi wetu!

JPM alishinda kwa haki na nyinyi ccm ndio mliotuletea, na ushindi wake mliusimamia nyinyi wenyewe, kwa nini hata chama chake kimeacha kumtunzia heshima yake kama mtu aliyeitumikia hii nchi tena kwa mafanikio makubwa?

Mnamaanisha kwamba nyinyi ccm ndio mnaoratibu haya unayoendelea kumhusu JPM?

Nahitimisha kusema, ccm majijengea uhasama na wananchi nyinyi kwa nyinyi!
Sijasoma hata yaliyomo ndani ila kichwa cha habari hiyo nchi iko wapi

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Hivi umeshawahi kujiuliza hivi ni kwa nini madongo yapigwe kuelekea kwa JPM tu, na wala isiwe kwa Mzee Mkapa au Baba wa Taifa!?

Ndiyo! Wote ni hayati, ambao wamewahi kulitumikia taifa letu katika nafasi ya Rais wa JMT, lakini ni kwa nini kumbukumbu mbaya iwe juu yake tu! Hilo ni funzo kubwa sana kwa viongozi waliopo madarakani.
Sababu anawatasha wengi amekufa ila watu wengi wanataka falsafa kama ya magu ndio iongoze nchi ,walamba asali na machawa ndio wanaona itawafanya wasiitawale nchi wanavyotaka kwaiyo wanaona kumtukana na kumkandia ndio njia pekee ya kuuwa falsafa yake Kwa wananchi ,ila inawasimbua sana
 
Tatizo lako ni kizamvu... wanakupakua Sana.... Huna uwezo wakufikiri😅
 
Nchi ni
Hili ni kutoka moyoni kabisa!

Na kama iko namna bora na ambapo viongozi wetu wanapaswa kutumia hekima ili kuondoa mpasuko unaoendelea mitandaoni na ambapo viongozi wetu huwenda wanaona ni kawaida, basi wanapaswa kuliangalia hili na kuwa nalo makini sana, kwani linazidi kuipasua nchi na kuleta tofauti mkubwa kwa wananchi na mpaka kwa viongozi wenyewe!

Kuilinda Amani kwa majeshi na vitisho, ni njia nzuri ila sio namna bora yenye kuleta utengamano kwa jamii iyoumizwa; watanyanaza kwa midomo yao lakini mioyo yao ingali inawaka moto!

Tukubali ama tusikubali, nyuma ya hayati JPM kuna mamilioni ya watanzania ambao mpaka sasa wamekuwa wafuasi wa mlengo wake na wameendelea kuumizwa na matusi na kejeli nyingi kumhusu JPM, Ikumbukwe, JPM alikuwa Raisi wa nchi hii, hivyo, ameacha watu wengi nyuma waliathiriwa na namna ya uongozi wake na wakampenda kama kiongozi wa aina yake kwenye mioyo yao

Si kwenye majeshi yetu, si kwa viongozi wa ndani na nje ya nchi tu, bali hata viongozi wengi waliko ndani ya ccm na ndani ya vyama vingi vya upinzani

Kuendelea kuacha jina lake kutukanwa kama mdori! Hii sio heshima wala mila zetu watanzania

Ifike pahala, jambo hili likomeshwe ili kuwaleta watanzania kwa pamoja na umoja wao!

Kama kuna mtu anajidanganya kusema eti hao sukuma gang, kwanza ni wachache na itafika mahali watasahau, huku ni kujidanganya na kuendelea kuchochea ghadhabu ndani ya mioyo ya wengi! Mtu aliyewatoa tongotongo watanzania na kuona kwamba kumbe hata Tanzania na watanzania kuinuka kiuchumi inaezeakana, iwe rahisi tu kusahaulika?

Hii ni nchi yetu sote, tumekuwa na utaratibu usiopendelea mtu wala dini na ama kabila ili kumfanya
Mtu awe kiongozi wetu!

JPM alishinda kwa haki na nyinyi ccm ndio mliotuletea, na ushindi wake mliusimamia nyinyi wenyewe, kwa nini hata chama chake kimeacha kumtunzia heshima yake kama mtu aliyeitumikia hii nchi tena kwa mafanikio makubwa?

Mnamaanisha kwamba nyinyi ccm ndio mnaoratibu haya unayoendelea kumhusu JPM?

Nahitimisha kusema, ccm majijengea uhasama na wananchi nyinyi kwa nyinyi!
Nchi ni Moja Tanzania.

Magu alifanya mengi MAZURI, tunayaenzi.

Sa100 anaendeleza, Mungu ambariki.
Kunako Majaliwa tunaomba Mungu atuletee mkali zaidi ya Magu kunako 2025 ikiwa uchaguzi mkuu utakuwepo.

Amen
 
Back
Top Bottom