Kama iko haki ya mtu kuamua kujitenga na Tanzania na kuundwa nchi ya watu wa Jamhuri ya JPM, Mimi namba moja

Tatizo lako ni kizamvuu wanakupakua Sana.... Huna uwezo wakufikiri😅
Nipe faida ya maneno haya ulichoambulia mkuu!

Mchango wako haukupi faida yoyote na ukumbuke matusi haya uliyoandika hayatafutika japo unaingia kanisani au Miskitini

Hauwezi tu kuwa ulivyo?
 
Unataka kufanya uhaini wa kuigawa nchi kwa sababu tu wanaomsema vibaya JPM hawajakamatwa na kuwekwa gerezani ?!

Are you okay upstairs??
 
Unauelewa mdogo sana mkuu!
 
Hili ni kutoka moyoni kabisa!

Na kama iko namna bora na ambapo viongozi wetu wanapaswa kutumia hekima ili kuondoa mpasuko unaoendelea mitandaoni na ambapo viongozi wetu huwenda wanaona ni kawaida, basi wanapaswa kuliangalia hili na kuwa nalo makini sana, kwani linazidi kuipasua nchi na kuleta tofauti mkubwa kwa wananchi na mpaka kwa viongozi wenyewe!

Kuilinda Amani kwa majeshi na vitisho, ni njia nzuri ila sio namna bora yenye kuleta utengamano kwa jamii iyoumizwa; watanyanaza kwa midomo yao lakini mioyo yao ingali inawaka moto!

Tukubali ama tusikubali, nyuma ya hayati JPM kuna mamilioni ya watanzania ambao mpaka sasa wamekuwa wafuasi wa mlengo wake na wameendelea kuumizwa na matusi na kejeli nyingi kumhusu JPM, Ikumbukwe, JPM alikuwa Raisi wa nchi hii, hivyo, ameacha watu wengi nyuma waliathiriwa na namna ya uongozi wake na wakampenda kama kiongozi wa aina yake kwenye mioyo yao

Si kwenye majeshi yetu, si kwa viongozi wa ndani na nje ya nchi tu, bali hata viongozi wengi waliko ndani ya ccm na ndani ya vyama vingi vya upinzani

Kuendelea kuacha jina lake kutukanwa kama mdori! Hii sio heshima wala mila zetu watanzania

Ifike pahala, jambo hili likomeshwe ili kuwaleta watanzania kwa pamoja na umoja wao!

Kama kuna mtu anajidanganya kusema eti hao sukuma gang, kwanza ni wachache na itafika mahali watasahau, huku ni kujidanganya na kuendelea kuchochea ghadhabu ndani ya mioyo ya wengi! Mtu aliyewatoa tongotongo watanzania na kuona kwamba kumbe hata Tanzania na watanzania kuinuka kiuchumi inaezeakana, iwe rahisi tu kusahaulika?

Hii ni nchi yetu sote, tumekuwa na utaratibu usiopendelea mtu wala dini na ama kabila ili kumfanya
Mtu awe kiongozi wetu!

JPM alishinda kwa haki na nyinyi ccm ndio mliotuletea, na ushindi wake mliusimamia nyinyi wenyewe, kwa nini hata chama chake kimeacha kumtunzia heshima yake kama mtu aliyeitumikia hii nchi tena kwa mafanikio makubwa?

Mnamaanisha kwamba nyinyi ccm ndio mnaoratibu haya unayoendelea kumhusu JPM?

Nahitimisha kusema, ccm majijengea uhasama na wananchi nyinyi kwa nyinyi!
Tukiongea mnaona tunabeza! Lakini angalia hiki ulichoandika hapa inaoneka waza kua hamkua wamoja na watanzania wote kama Taifa lililojengwa kwa usawa, bila udini, ukabila!! Ogopa san kikundi cha watu kinachojiona wao ni bora na hawastahili kuchanganyikana na wengine!!
 
Umewahi kujiuliza kwa nini duniani kuna dini zaidi ya moja? Na dini hizi zinapingana kila moja ikivutia kwake? Na huku ni kwa Muumba sasa!
Unadhani binadamu anaweza kupendwa na kila mtu?

Pevuka mkuu!
 
Hili ni kutoka moyoni kabisa!

Na kama iko namna bora na ambapo viongozi wetu wanapaswa kutumia hekima ili kuondoa mpasuko unaoendelea mitandaoni na ambapo viongozi wetu huwenda wanaona ni kawaida, basi wanapaswa kuliangalia hili na kuwa nalo makini sana, kwani linazidi kuipasua nchi na kuleta tofauti mkubwa kwa wananchi na mpaka kwa viongozi wenyewe!

Kuilinda Amani kwa majeshi na vitisho, ni njia nzuri ila sio namna bora yenye kuleta utengamano kwa jamii iyoumizwa; watanyanaza kwa midomo yao lakini mioyo yao ingali inawaka moto!

Tukubali ama tusikubali, nyuma ya hayati JPM kuna mamilioni ya watanzania ambao mpaka sasa wamekuwa wafuasi wa mlengo wake na wameendelea kuumizwa na matusi na kejeli nyingi kumhusu JPM, Ikumbukwe, JPM alikuwa Raisi wa nchi hii, hivyo, ameacha watu wengi nyuma waliathiriwa na namna ya uongozi wake na wakampenda kama kiongozi wa aina yake kwenye mioyo yao

Si kwenye majeshi yetu, si kwa viongozi wa ndani na nje ya nchi tu, bali hata viongozi wengi waliko ndani ya ccm na ndani ya vyama vingi vya upinzani

Kuendelea kuacha jina lake kutukanwa kama mdori! Hii sio heshima wala mila zetu watanzania

Ifike pahala, jambo hili likomeshwe ili kuwaleta watanzania kwa pamoja na umoja wao!

Kama kuna mtu anajidanganya kusema eti hao sukuma gang, kwanza ni wachache na itafika mahali watasahau, huku ni kujidanganya na kuendelea kuchochea ghadhabu ndani ya mioyo ya wengi! Mtu aliyewatoa tongotongo watanzania na kuona kwamba kumbe hata Tanzania na watanzania kuinuka kiuchumi inaezeakana, iwe rahisi tu kusahaulika?

Hii ni nchi yetu sote, tumekuwa na utaratibu usiopendelea mtu wala dini na ama kabila ili kumfanya
Mtu awe kiongozi wetu!

JPM alishinda kwa haki na nyinyi ccm ndio mliotuletea, na ushindi wake mliusimamia nyinyi wenyewe, kwa nini hata chama chake kimeacha kumtunzia heshima yake kama mtu aliyeitumikia hii nchi tena kwa mafanikio makubwa?

Mnamaanisha kwamba nyinyi ccm ndio mnaoratibu haya unayoendelea kumhusu JPM?

Nahitimisha kusema, ccm majijengea uhasama na wananchi nyinyi kwa nyinyi!
kamfufue baba uzikwe wewe
 
kamfufue baba uzikwe wewe
Mkuu, ulichoandika kinawakilisha ukweli wa maisha yako?

Wewe ni chizi au bahati mbaya tu umeandika hivyo!

Mbona umeamua kujichoresha kwamba, unawalakini kichwani!

Acha basi hizo mkuu na ustufanye tukuone umekosa heshima
 
Zitto Kabwe aibuka na kuwajibu CCM 'wanaompenda MAGUFULI wakazikwe nae Chato
Ukimuiza ni kivipi yeye hakumfuata mamaye, hana jibu!

Ukimuuliza, Je, hakumpenda? Anasema alimpenda! Mbona hamfuati? Kimya!

Ni majibu ya hovyo tu na ni mropokaji tu ambaye anaweza kusema hivyo!
 
Hujajib hoja yang kbs!!
Lengo lako ni kutaka watu wote wakubaliane na mjadara wangu kisa nimemtaja JPM mwanasiasa na binadamu tu siyo?

Haiwezi kutokea kwamba kiongozi mmoja akubalike kwa watu wote!
 
Hili ni kutoka moyoni kabisa!

Na kama iko namna bora na ambapo viongozi wetu wanapaswa kutumia hekima ili kuondoa mpasuko unaoendelea mitandaoni na ambapo viongozi wetu huwenda wanaona ni kawaida, basi wanapaswa kuliangalia hili na kuwa nalo makini sana, kwani linazidi kuipasua nchi na kuleta tofauti mkubwa kwa wananchi na mpaka kwa viongozi wenyewe!

Kuilinda Amani kwa majeshi na vitisho, ni njia nzuri ila sio namna bora yenye kuleta utengamano kwa jamii iyoumizwa; watanyanaza kwa midomo yao lakini mioyo yao ingali inawaka moto!

Tukubali ama tusikubali, nyuma ya hayati JPM kuna mamilioni ya watanzania ambao mpaka sasa wamekuwa wafuasi wa mlengo wake na wameendelea kuumizwa na matusi na kejeli nyingi kumhusu JPM, Ikumbukwe, JPM alikuwa Raisi wa nchi hii, hivyo, ameacha watu wengi nyuma waliathiriwa na namna ya uongozi wake na wakampenda kama kiongozi wa aina yake kwenye mioyo yao

Si kwenye majeshi yetu, si kwa viongozi wa ndani na nje ya nchi tu, bali hata viongozi wengi waliko ndani ya ccm na ndani ya vyama vingi vya upinzani

Kuendelea kuacha jina lake kutukanwa kama mdori! Hii sio heshima wala mila zetu watanzania

Ifike pahala, jambo hili likomeshwe ili kuwaleta watanzania kwa pamoja na umoja wao!

Kama kuna mtu anajidanganya kusema eti hao sukuma gang, kwanza ni wachache na itafika mahali watasahau, huku ni kujidanganya na kuendelea kuchochea ghadhabu ndani ya mioyo ya wengi! Mtu aliyewatoa tongotongo watanzania na kuona kwamba kumbe hata Tanzania na watanzania kuinuka kiuchumi inaezeakana, iwe rahisi tu kusahaulika?

Hii ni nchi yetu sote, tumekuwa na utaratibu usiopendelea mtu wala dini na ama kabila ili kumfanya
Mtu awe kiongozi wetu!

JPM alishinda kwa haki na nyinyi ccm ndio mliotuletea, na ushindi wake mliusimamia nyinyi wenyewe, kwa nini hata chama chake kimeacha kumtunzia heshima yake kama mtu aliyeitumikia hii nchi tena kwa mafanikio makubwa?

Mnamaanisha kwamba nyinyi ccm ndio mnaoratibu haya unayoendelea kumhusu JPM?

Nahitimisha kusema, ccm majijengea uhasama na wananchi nyinyi kwa nyinyi!
Nyie na huyu mtu wenu ni wahamiaji haramu toka Burundi kama munechoka ukarimu wa Tanzania rudini kwenu mlikozoea kuchinjana maana inavyoelekea utulivi na amani iliyopo nchini imewachosha. Bandiko hili ni uhaini,uchochezi na uasi dhidi ya dola haupaswi kuvumiliwa hata kidogo.
 
Back
Top Bottom