Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #41
Na hapa ndo shida kubwa ilipo! Tunakaa kimya kuacha watu kujenga holela alafu baadae ndo tunakuja kuwaambia wavunje ambapo tunaingia gharama zaidi za kuwafidia!Hawajali hili kwa Sasa, ila baadae zikianza lawama za wanyama kuvamia raia wa hapo ndio utasikia hao raia wamejenga kwenye mapito ya wanyama hivyo wavunjiwe.
Arusha , Manyara na kilimanjaro ni balaa tupu! Watu wanajijengea hovyo tu kama nchi nzima hatuna akili!Nipo hapa Arusha kwa kweli hali ya mpangilio wa mji ni ovyo sana, naomba swrikali itizame suala la mpangilio wa mji.
Kweli mkuu, tatizo njaa.Arusha , Manyara na kilimanjaro ni balaa tupu! Watu wanajijengea hovyo tu kama nchi nzima hatuna akili!
Kwa hali ya hewa ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, manyara, Mbeya, Njombe na Songwe,! Endapo mikoa hii ingepangwa vizuri na watu wakajenga vizuri na kimpangilio nadhani ndo zingekuwa sehemu nzuri zaidi kwa Afrika nzima.
Nenda Mbeya wanayoita green city ilivyojengwa hovyo! Unaweza kusema kuwa Tanzania tunaishi Ila bongo zetu hazina akili!
DefinitelyPlanning after construction is expensive than planning before construction.
Hao watu kuelewa ni kazi sana wao wanaota Magufuli tu kwenye vichwa vyao...ukabila ni mbaya sana...mfuateni basi imekuwa kero kweli angeendelea kuepo tungekuwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe hakika tumshukuru Mungu.Kigamboni viwanja vilipimwa kipindi cha Magufuli? Chanika Buyuni viwanja vilipimwa kipindi cha magufuli?
Acha chuki! Jenga hoja
Wanakera sana! Wana akili za kijinga sana?Hao watu kuelewa ni kazi sana wao wanaota Magufuli tu kwenye vichwa vyao...ukabila ni mbaya sana...mfuateni basi imekuwa kero kweli angeendelea kuepo tungekuwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe hakika tumshukuru Mungu.
Kwenye suala la Miti ndo usiseme kabisa! Tunaacha tu watu wakate miti Kama watakavyo alafu tunakuja kulalamika eti uhaba wa mvuaKabla ya serikali kila jamii au familia iwe na utaratibu wa kuweka mazingira safi, kupanda miti ya matunda, vivuli, maua n.k
Kwenye mashule utunzaji wa mazingira upewe kipaumbele kwa vitendo.
Ugumu wake upo wapi?Kampeni ngumu hio
Hakuna kitu kibaya km kuwateka watu akili, hongera sana the late jpm kwa hili.....uliwapata!!Mtu mwenye vision na taifa ili alikuwa ni Magufuli tu, awa wengine ni wezi na mafisadi papa.
Ugumu wake upo wapi?
Umezaliwa mwaka gani?Aliyejenga Shule za Kata ni Mkapa (RIP) aliyeanza kutengeneza Miji yetu ni Magu (RIP), Waziri mzuri wa Ardhi katolewa kawekwa Ridhwani Kikwete, anajua nini kuhusu mipango miji wakati wao ndio wanaoongoza kujenga bila vibali na sehemu zisizoruhusiwa ? Huyu raisi wa sasa hata Dodoma yenyewe hakai ni kama kaipotezea, unategemea nini ? Wanataka watu zaidi ya milioni 45 wote waje kuishi Dar kwenye Square km 1 500 ?
Dodoma was a good idea, tungejenga mji wa mfano makosa tuliofanya Dar tungejaribu kuyarekebisha lkn tuna Kiongozi ambaye eti mgeni akija Tanzania ni lazima aje Dar kwa nini ? Kwa nini asikae Dodoma na wamfwate huko? Wewe ni mwenyeji halafu mgeni anaamua wapi akutane na wewe ?
Bila ya Magu na Lukuvi leo hii hat Coco beach ingekuwa yote imeshauzwa na kujengwa, huu uongozi wa sasa ni failure from get go!
Wanakuambia dodoma imeplaniwa lakini ukicheki michoro kama kachora mtoto wa chekechea kuna kikundi kipo nyuma cha mafisadi kwenye sekta ya kudizaini majengo na miji .Kiukweli miji mingi Tanzania haijapangwa vizuri..ni muda serikali iweke nguvu huku..tuipange miji yetu.
#MaendeleoHayanaChama