Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #41
Na hapa ndo shida kubwa ilipo! Tunakaa kimya kuacha watu kujenga holela alafu baadae ndo tunakuja kuwaambia wavunje ambapo tunaingia gharama zaidi za kuwafidia!Hawajali hili kwa Sasa, ila baadae zikianza lawama za wanyama kuvamia raia wa hapo ndio utasikia hao raia wamejenga kwenye mapito ya wanyama hivyo wavunjiwe.
Tunatakiwa tufanye haya mambo ya mipango miji wakati huu ili kuepuka gharama za kuwafidia watu huko mbeleni