Kama ilivyoanzishwa kampeni ya kujenga Shule za kata sasa tuanzishe kampeni ya kupanga miji na maeneo yetu!

Kama ilivyoanzishwa kampeni ya kujenga Shule za kata sasa tuanzishe kampeni ya kupanga miji na maeneo yetu!

Hawajali hili kwa Sasa, ila baadae zikianza lawama za wanyama kuvamia raia wa hapo ndio utasikia hao raia wamejenga kwenye mapito ya wanyama hivyo wavunjiwe.
Na hapa ndo shida kubwa ilipo! Tunakaa kimya kuacha watu kujenga holela alafu baadae ndo tunakuja kuwaambia wavunje ambapo tunaingia gharama zaidi za kuwafidia!

Tunatakiwa tufanye haya mambo ya mipango miji wakati huu ili kuepuka gharama za kuwafidia watu huko mbeleni
 
Nipo hapa Arusha kwa kweli hali ya mpangilio wa mji ni ovyo sana, naomba swrikali itizame suala la mpangilio wa mji.
Arusha , Manyara na kilimanjaro ni balaa tupu! Watu wanajijengea hovyo tu kama nchi nzima hatuna akili!

Kwa hali ya hewa ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, manyara, Mbeya, Njombe na Songwe,! Endapo mikoa hii ingepangwa vizuri na watu wakajenga vizuri na kimpangilio nadhani ndo zingekuwa sehemu nzuri zaidi kwa Afrika nzima.

Nenda Mbeya wanayoita green city ilivyojengwa hovyo! Unaweza kusema kuwa Tanzania tunaishi Ila bongo zetu hazina akili!
 
..mipango miji ya nchi yetu yenye kuona miaka 50/100 ijayo ni ngumu sana kufanywa na wazawa..tumeshuhudia ile planning iliyofanywa na wakoloni miaka zaidi ya 60 iliyopita tena na teknolojia duni tumeshindwa kuifikia kwa sehemu kubwa..!.

..solution ni kuwapa consultancy kampuni za ulaya zenye weledi watufanyie planning ya miaka 50/100 ijayo kwa kila mji nchini..wachore michoro yote!.na huu ndio uzalendo..planners wetu wabaki na kazi ya kusimamia watakachofanya hao consultants!
 
Arusha , Manyara na kilimanjaro ni balaa tupu! Watu wanajijengea hovyo tu kama nchi nzima hatuna akili!

Kwa hali ya hewa ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, manyara, Mbeya, Njombe na Songwe,! Endapo mikoa hii ingepangwa vizuri na watu wakajenga vizuri na kimpangilio nadhani ndo zingekuwa sehemu nzuri zaidi kwa Afrika nzima.

Nenda Mbeya wanayoita green city ilivyojengwa hovyo! Unaweza kusema kuwa Tanzania tunaishi Ila bongo zetu hazina akili!
Kweli mkuu, tatizo njaa.
 
Kabla ya serikali kila jamii au familia iwe na utaratibu wa kuweka mazingira safi, kupanda miti ya matunda, vivuli, maua n.k

Kwenye mashule utunzaji wa mazingira upewe kipaumbele kwa vitendo.
 
Kigamboni viwanja vilipimwa kipindi cha Magufuli? Chanika Buyuni viwanja vilipimwa kipindi cha magufuli?

Acha chuki! Jenga hoja
Hao watu kuelewa ni kazi sana wao wanaota Magufuli tu kwenye vichwa vyao...ukabila ni mbaya sana...mfuateni basi imekuwa kero kweli angeendelea kuepo tungekuwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe hakika tumshukuru Mungu.
 
Wanakera sana! Wana akili za kijinga sana?
 
Kabla ya serikali kila jamii au familia iwe na utaratibu wa kuweka mazingira safi, kupanda miti ya matunda, vivuli, maua n.k

Kwenye mashule utunzaji wa mazingira upewe kipaumbele kwa vitendo.
Kwenye suala la Miti ndo usiseme kabisa! Tunaacha tu watu wakate miti Kama watakavyo alafu tunakuja kulalamika eti uhaba wa mvua
 
Mtu mwenye vision na taifa ili alikuwa ni Magufuli tu, awa wengine ni wezi na mafisadi papa.
Hakuna kitu kibaya km kuwateka watu akili, hongera sana the late jpm kwa hili.....uliwapata!!
 
Shule za kata ulikuwa ni wakibeberu. Lord deningi ni mtumwa wa mabeberu na ni hatari sana peleka Ukoloni mamboleo mbali kabisa.
 
Nashindwa kuelwa ni nini kinashindikana wakati ni kazi ndogo sana na rahisi
 
Aliyejenga Shule za Kata ni Mkapa (RIP) aliyeanza kutengeneza Miji yetu ni Magu (RIP), Waziri mzuri wa Ardhi katolewa kawekwa Ridhwani Kikwete, anajua nini kuhusu mipango miji wakati wao ndio wanaoongoza kujenga bila vibali na sehemu zisizoruhusiwa ? Huyu raisi wa sasa hata Dodoma yenyewe hakai ni kama kaipotezea, unategemea nini ? Wanataka watu zaidi ya milioni 45 wote waje kuishi Dar kwenye Square km 1 500 ?

Dodoma was a good idea, tungejenga mji wa mfano makosa tuliofanya Dar tungejaribu kuyarekebisha lkn tuna Kiongozi ambaye eti mgeni akija Tanzania ni lazima aje Dar kwa nini ? Kwa nini asikae Dodoma na wamfwate huko? Wewe ni mwenyeji halafu mgeni anaamua wapi akutane na wewe ?

Bila ya Magu na Lukuvi leo hii hat Coco beach ingekuwa yote imeshauzwa na kujengwa, huu uongozi wa sasa ni failure from get go!
Umezaliwa mwaka gani?
 
Muriet kule barabara ya East Africa ilipopita kuliaswa kupangwe lakini hivi sasa ni kama tumelogwa... Ujenzi holele kila mahali.... Inauma na kusikitisha sana
 
Kiukweli miji mingi Tanzania haijapangwa vizuri..ni muda serikali iweke nguvu huku..tuipange miji yetu.

#MaendeleoHayanaChama
Wanakuambia dodoma imeplaniwa lakini ukicheki michoro kama kachora mtoto wa chekechea kuna kikundi kipo nyuma cha mafisadi kwenye sekta ya kudizaini majengo na miji .
Hicho kikunfi ndiyo tatizo kubwa
 
Back
Top Bottom