Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Kabisa!Kuna watu mnachukulia vitu siriaz sana, dini Ni cover tu la nje.
Imani unayo mwenyewe ndani yako. Hivi vitu Ni cheap sana kulalamika.
You are right, Kama vigezo ni vilevile walivyotumia kuifungia ya Diamond basi hii video inapaswa kufungiwa haraka sana ...Suala sio kuigiza kama mwanamke Hilo waislamu walisha liongea Kuna sheikh alimpa ushauri joti miaka ya nyumba kuwa sio vizuri mwanaume kujifananisha na mwanamke lkn hayo ni maisha yake binafsi aliyochagua mbona Kuna yule dogo dulivan anaigiza kama mwanamke na ni muislamu lkn waislamu hawajatoa makasiriko zaidi ya kumuusia kwamba kidini haifai.
Hoja iliyopo hapa Kuna kwenye hio video Kuna sheikh anaonyeshwa anafungisha ndoa wanaume, na wakati ushoga ni uasi mkubwa katika uislamu afu kingine video ya diamond ilizua taflani ikidaiwa inadhalilisha ukiristo
Sasa na hii inatakiwa ichukuliwe hatua kama video ya diamond
Kwa hapo joti yupo msikitini? Au ulivaa kanzu tu unakua muislamu?You are right, Kama vigezo ni vilevile walivyotumia kuifungia ya Diamond basi hii video inapaswa kufungiwa haraka sana ...
However mimi nachosema Hii video ya Joti na iLe ya mondi, zote hazina shida yoyote
Hayo mambo yalikuwa ya obama, trump aliyafuta hayo ndio maana tangu aingie trump mpaka anatoka ishu za ushoga hazijaongelewa sana chunguza
sahv sasa na sie tulio zalilishwaga na bwana almasi acha tuseme..joti yupo sahihi kwa mimi sioni ukakasi wowote hapo kwnye video yake..inshort ni sanaa tuh na hata hvo anapeperusha bendera... " ndugu zangu katika imani tuheshimiane na tuungane mikono anapokosea mtu imani ya mtu mwengine ..watu walilaumu sana wakabeza basata ilchokifany kwa bwana almasi... tuwe na akili tuache kuwasujudia watu kwasababu ya majina... acha nae joti atambe mpk basata watakapo amua...kama mtu utakua unamalalamiko wasilisha balaza la sanaaWakuu salaam,
Siku kadhaa zilizopita msanii Diamond alifungiwa wimbo wake kwa maelezo kwamba unadharirisha imani ya watu fulani. Watu walienda mbali zaidi wakasema jamaa kwanza ni muislamu hivyo ule wimbo angerekodia kwenye mazingira yanayomhusu na sio kanisani.
Sasa leo Joti kaachia kazi yake ya sanaa ambayo pia inadharirisha imani fulani. Kwamba anachodepict kwenye hii video ni kwamba uislamu unaozesha watu wa jinsia moja.
Joti anafahamu kabisa kua katika uislamu kujifananisha na jinsia tofauti ni kosa na hairuhusiwi (wakati akiwa orijino komedi walienda kwa sheikh wa mkoa sheikh alhad akawaambia hilo suala). Na pia Joti yeye ni mkristo so hiyo video angeenda kurekodia kanisani.
Ndoa za Mkeka zipo au hazipo?Popama kuna wakati jaribu kuficha ujinga wako sio kila mda kujitoa ufahamu
Ahueni na nyinyi sasa mtapitia maumivu kama tunayopitia sisi pale ndugu zenu wanapoleta masihara katika imani yetu.
Ikiwapendeza, mchomeni tu moto kwa kuikashifu dini yenu ya haki.
Sio bure wewe au kwa sababu imani yako inaruhusu hayo mamboWewe itakuwa ni shoga sio bure
Kheee!!!! Hivi ni kweliNasubilia walete jibu la bei elekezi, kumbe mtume alioa mtoto ambae hata nyeti haijaota vizuri, na mpo kimia tuuu hamsemi haramu
Rangi Gani?But mabilionea wakubwa nchi hii ni hao wavaa barakhashia
Umeona eeeeeehhhhh......!!!Popama kuna wakati jaribu kuficha ujinga wako sio kila mda kujitoa ufahamu
We mjinga unajua maisha ni kutafuta pesa tu.?????? Ukishakuwa na pesa ndio mwisho wake ni nini.???? Acha uk*m* pesa sio kila kitu.Fala sana ww jamaa, hiyo dini ndio kielelezo cha umasikiniii hawana mpya.
Wanafia dini, pesa zinawapigaga chenga, angalia hata mikoa waliomo ndio ipo nyuma.
Umejipa kazi ya promoter kwa ujira gani?Wakuu salaam,
Siku kadhaa zilizopita msanii Diamond alifungiwa wimbo wake kwa maelezo kwamba unadharirisha imani ya watu fulani. Watu walienda mbali zaidi wakasema jamaa kwanza ni muislamu hivyo ule wimbo angerekodia kwenye mazingira yanayomhusu na sio kanisani.
Sasa leo Joti kaachia kazi yake ya sanaa ambayo pia inadharirisha imani fulani. Kwamba anachodepict kwenye hii video ni kwamba uislamu unaozesha watu wa jinsia moja.
Joti anafahamu kabisa kua katika uislamu kujifananisha na jinsia tofauti ni kosa na hairuhusiwi (wakati akiwa orijino komedi walienda kwa sheikh wa mkoa sheikh alhad akawaambia hilo suala). Na pia Joti yeye ni mkristo so hiyo video angeenda kurekodia kanisani.
Mkuu usijali nawajambisha tu Jamaa.We jamaa nakukubali sana nadhani ni Genius, ila katika hili si suala la WEWE kuona kama ni sahihi au la, ni suala la Waislamu wenyewe mkuu.
Anapatia ile mbaya hata adriz anajua.Joti kazingua sana analeta migongano ya kidini. Kazi ifungiwe haifai. Anaboa sana anavyojigeuza kwa mavazi ya kike, ucheshi mwingine ovyo