Kama ilivyokuwa kwa Diamond Platnumz, Joti naye achukuliwe hatua...

Nimekuelewa vizuri sana.

Kwa pale ni maigizo tu, sijaona sababu kwa baadhi ya walioguswa walichukulie hili kama vile imekashifiwa imani ya mtu
Hata Diamond kuimbia kanisani pia ilikua ni maigizo tu haikua uhalisia,
Sasa mbona wagalatia walitokwa povu? Au kunya anya Kuku akinya Bata kaharisha?
 
Hata Diamond kuimbia kanisani pia ilikua ni maigizo tu haikua uhalisia,
Sasa mbona wagalatia walitokwa povu? Au kunya anya Kuku akinya Bata kaharisha?
Sijawahi itazama hiyo ya Diamond, mimi nipo kwenye hii Mada husika na kwa nilivyoitazama Video kama nilivyosema hapo awali, Joti katumia akili sana kuzuia Dua na alihofia kuleta mitafaruku kama hii.

Na cha nyongeza, Joti amejifanyia mambo yake mtaani na wala siyo Msikitini.

Kwahiyo, sijaona sababu ya watu kujeruhuhiwa hisia zao.

Ni maigizo yaliokuwa na mipaka
 
Wazee wa seen ya haki mbona povu... Ila joti noumaa sana kavaa uhusika
 
Muache tu atachapwa na fimbo ya Mungu. ......
Amtazame Lyatonga....
 
Binti naona umeishia kujichekesha chekesha hovyo tu,hii si dalili nzuri kua makini.
Ndicho unachofundishwa msikitini hicho, kudhihaki watu??

Dogo dini yako huijui, acha kujitia ulimbukeni eti unaitetea ilhali hujui kitu kuihusu, ungekua muislam safi hapa ungeshatiririka vifungu kibao vya quran kuthibitisha usemayo.(waislam wenzio waliotukuka ndivyo wafanyavyo)

Ila kwakua wewe ni muislam koko endelea na mipasho na dhihaka tu.
 
Safi sanaaaa joti na hongera kumbe imewauma eeeh
 
Dini zenyewe za kuletewa na waarabu na wazungu- kujifanya una uchungu nazo utadhani umezianzisha wewe.
Miafrika bwana sisi ni hovyo sana.
 
Binafsi sio shida yoyote hapo....

Hapa mtapaisha tu joti
 
Watanzania kwa uchochezi tu hatujambo!
 
hata mimi nimefikiri mara mbili hawa watu humu wanajadili video hii au kuna nyingine?
 
Nikweri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…