Kama Iran anataka kupambana na Israel basi awekeze kwenye ujasusi zaidi kuliko makombora na drones

francoo1

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
1,511
Reaction score
1,117
Tumeona kwa miaka mingi Iran akiwekeza heavily kwenye misile technology na drone technology sababu ndoto yake ni kuja kuvurumusha makomora yenye vichwa vya nyuklia tel aviv na Jerusalem, ila anachosahau ni kwamba adui yake amemzidi kwanye teknologia zote na ujasusi na ushushushu..

Hii inamfanya Iran kua uchi mbele ya Israel ndio maana amepigwa na watu wake muhimu kuuliwa kwa makombora yaliyorushwa kutoka ndani ya nchi yake tena ndani ya muda mfupi sana wakuu wa majeshi wameliwa vichwa

Hivi sasa yeye anahangaika kurusha makombora ambayo mengi yanadhibitiwa machache ndo yanapiga popote tuu wakati israel yeye anamiliki anga ya iran na anapiga kimkakati na kuhit target muhimu, hivo hadi sasa Israel 4 Iran 0

Ushauri wangu kwa Ayalotah kabla hajaja tena kuomba mechi na hawa wazayuni ahakikishe anawekeza kwenye ujasusi zaidi maana kua na makombora mengi na hujui pa kuyatumia unayavurumusha tuu kama hamas ni kazi bure, kinyume na hapo mechi ijayo ni kichwa cha ayatolah kinaondoka
 
Mu israel anasema
Target yake ya kwanza ni mu iran
Yaan kwa kifupi tangu ile octoba mwaka juzi alianza na aliyetumwa alafu sasa ndo anapiga aliyetuma
Yaani kifupi aliplan kupiga iran tangu mwaka juzi na pengine miaka mingi nyuma
Ila sasa mimi nachooona katka hili swala zima
Ni iran inachochea sana vikundi mbalimbali
Yaani katika jicho la kawaida israel anaoeneka mchokozi
Ilaukifatilia news za ki uchambuzi
Vita vingi middle east vinavyoleanga israel
Mu iran ana asilimia 80 za kuchangia
 
Kumbe Dada na wewe wamo,ngoja niwaite Adiosamigo na Webabu
 
Mu israel anasema
Target yake ya kwanza ni mu iran
Yaan kwa kifupi tangu ile octoba mwaka juzi alianza na aliyetumwa alafu sasa ndo anapiga aliyetuma
Yaani kifupi aliplan kupiga iran tangu mwaka juzi na pengine miaka mingi nyuma
Ila sasa mimi nachooona katka hili swala zima
Ni iran inachochea sana vikundi mbalimbali
Yaani katika jicho la kawaida israel anaoeneka mchokozi
Ilaukifatilia news za ki uchambuzi
Vita vingi middle east vinavyoleanga israel
Mu iran ana asilimia 80 za kuchangia
Tunakitaka kichwa cha ayatollah
 
Sio mchezo, mpaka ayatollah kasepa kabla hajafikiwa and imagine hapo Israel kaenda mara moja tu kavuna vichwa tisa muhimu ,dude likichanganyia si ndo ayatollah mapema tu tunae
Myahudi akitaka kichwa cha ayatollah ni sekunde tu.
Kwa intel ya mossad inaweza kuwa anayembadilisha pampaz ayatollah ni myahudi, wakati ayatollah anajua ni muiran mwenzake
 
Mu israel anasema
Target yake ya kwanza ni mu iran
Yaan kwa kifupi tangu ile octoba mwaka juzi alianza na aliyetumwa alafu sasa ndo anapiga aliyetuma
Yaani kifupi aliplan kupiga iran tangu mwaka juzi na pengine miaka mingi nyuma
Ila sasa mimi nachooona katka hili swala zima
Ni iran inachochea sana vikundi mbalimbali
Yaani katika jicho la kawaida israel anaoeneka mchokozi
Ilaukifatilia news za ki uchambuzi
Vita vingi middle east vinavyoleanga israel
Mu iran ana asilimia 80 za kuchangia
Hahaha Israel ni chui kwenye picture kipigo anacho pokea mpaa US anatakaa kuingia yeye ndiye apigana badala ya kukaa akisaidia nyuma ya pazia.
 
Back
Top Bottom