Kama Iran anataka kupambana na Israel basi awekeze kwenye ujasusi zaidi kuliko makombora na drones

Vita inaendelea Lebanon? Unafikiri Israel mjinga alivyowamaliza Hezbollah kwanza then Wahouth akaja kwa mfadhili wao sasa.
Kawamaliza wapi na wakati wamesitisha ,huyo kwa HAMAS anatolewa kamasi ..Amebaki kuomba misaada😀
 
Huyo Hezbollah sasa hivi hata kurusha risasi kwa Israel hawezi.
Na wakati walisitisha ....Huku anapambana na kizee kile ,hizo Iron dome ziko wapi ?

Wenzio sio wapenda maisha hayo wala hakuna tamasha la mashoga nchini mwao.
1000095908.jpg
 
Hata Iran ujasusi inaweza sana ila tofauti ya Taifa la kiislamu na la Kipagani la Kizayuni ni kuwa, Taifa la kiislamu lina miiko mikali
1. Mosi kuheshimu mikataba na makubaliano mnayoingia - Wazayuni hawana hili wao wanachukulia mikataba kama strategy ya next battle

2. Kutoshambulia wanawake na watoto au miundo mbinu ya uhai - Wazayuni wanachukulia kuua wanawake na watoto kama.mbinu ya kuweka presha ili wanayepambana naye asarende

3. Uislamu usishambulie nyumba za ibada - Zayuni anapiga misikiti, makanisa yote kujenga trauma ya kiroho na kisaikolojia

4. Uislamu unasema usishambulie yule asiyekushambulia- Zayuni yeye anapenda surprise attacks.
Mbona hapa kwetu hasa Zanzibar waislam ndio mabingwa wa kuchoma na kuharibu makanisa ya wakristo?
 
Amini nakuambia, hizo ni Zionist and Western Propaganda! Adui mkubwa eneo la Mashariki ya Kati na hata kwa Ukristo ni Saudi Arabia. Wale Al Qaeda na ISIS ni Wavaaa Kobazi wa Kisuni, daraja dogo la Wahab ambao ni Wasaudi! 99% ya Makanisa yamelipuliwa na hawa religious lunatics kutoka au wenye asili ya Saudi Arabia! Shambulio la September 11, na hata lile la Dar na Nairobi yanatokana na hao Lunatics! Je, umewahi kusikia Marekani, Israel na Western Europe wakiituhumu Saudi Arabia?

Makosa makubwa ya Iran ni matatu:-
1. Kugoma kuwapigia magoti Marekani,
2. Ukigoma kuwapigia magoti Marekani automatically unakuwa adui wa Israel and vice versa
3. Kujitoa mhanga kupambana na Israel

Wakati nimekutajia Al Qaeda, ISIS, na hata hawa Magaidi Uchwara wa Afrika ambao wote ni Dhehebu la Saudi Arabia, vikundi vinavyokuwa supported na Iran ni Hamas, Hezbollah, na Houthi! Sasa tafakari, na kwavile bundle unayo fanya research: Ni Kikundi kipi kati ya hivyo kimewahi kufanya shambulizi popote pale duniani mbali na Israel? Labda Houthi ambao walikuwa vitani na Saudi Arabia! Na hata hii ilisababishwa na Saudi Arabia baada ya kuona Houthi wameuangusha Utawala uliokuwa unapata support ya Saudi Arabia ndipo Saudi Arabia wakaanza kuishambulia Yemen.

Kwa research niliyofanya nimegundua kumbe Ugaidi unaosifika wa Iran ni kwa sababu tu wale anaowa-support wanapambana na Israel! Hamas ni gaidi kwa sababu anapambana na Israel. Swali la kujiuliza ni: Hivi kweli Palestine ipo safe mbele ya Israel? Wakati unatafakari hilo usisahau Palestine ina maeneo mawili yanayotambulika na Sheria za Kimataifa, na Ulaya yote inatambua hivyo, even the US, theoretically inatambua kwamba Gaza na West Bank ni maeneo halali ya Palestine! Lakini wakati Gaza ni roughly 6% of the total area, West Bank ni roughly 94%! However, West Bank yote imekaliwa na Israel since 1967 baada ya kuteka hilo eneo. Zionist Jews wakaanza kujenga maelfu ya Majengo na kuhamasisha Wayahudi kutoka sehemu mbalimbali duniani waende wakaishi pale ili kuhakikisha eneo hilo halirudi tena Palestina! Yaani kama ambavyo TZ tuliyateka maeneo kadhaa ya Uganda wakati wa Vita vya Kagera halafu baada ya hapo Nyerere angeamua kwenda kujenga maelefu ya majengo ndani ya Uganda na Watanzania kupelekwa kule wakaishi! Je, kungekuwa na amani kati ya UG na TZ? Halafu Waganda kama wangeanza mashambulizi dhidi ya TZ ndo tuwaite magaidi?! No fucking way! Nitakuwa Mkristo wa Mwisho kuunga mkono ushetani kama huo!

Sasa kosa la Iran ni hilo la kuwaunga mkono Hamas na Hizbollah wanaopambana na Mvamizi, kama ambavyo ilikuwa kwa Mandela na ANC alivyopambana na Kaburu nao wakaitwa Magaidi!

Kwanini Israel na Marekani wamefanikiwa kwenye hizi propaganda?

Wamefanya kazi kubwa ya kutujaza Wakristo Ujinga, na leo hii tumeaminishwa kwamba Israel ni Taifa Teule na atakayepambana na Israel atalaaniwa! Nasi, hususani Wakristo wa Afrika tukaingia kichwa kichwa na kuzimeza hizo propaganda kwa sababu hatusomi maandiko! Leo hii uliza Mkristo yeyote ni andiko lipi linalosema Israel ni Taifa Teule, over 95% reference yao itakuwa Torati; yaani Agano la Wayahudi, tangu Mungu anamwagiza Abram atoke kwenye nchi yake na kumwahidi Kanani, kisha akatoa ahadi kama hiyo kwa Isaka na lastly kwa Yakobo ambae ndo Israel mwenyewe! Kwahiyo Wakristo tunaaminishwa kila kitu kupitia version ya Wayahudi walewale ambao maandiko yao mengi wanayoyafanyia kazi hadi kesho hayaendani kabisa na Version ya Ukristo! Na kwavile hatusomi biblia, tunafahamu version ya bible wanayoitaka wao which's in favor of Jews wakati version aliyokuja nayo Kristo Mwana wa Mungu ni tofauti! Hivi ni Wakristo wangapi wanaofahamu version yetu ni ile inayosema "Sio kwamba vizazi vyote vya Abram/Isaka/Israel vimebarikiwa bali ni vile ambavyo vimemkubali na kumfuata Kristo? Wangapi wameusoma mwanzo mwisho Waraka wa Mtume Paulo kwa ndugu zake Wagalatia ambao japo kwa uchache tu kuna sehemu anasema

Je, hawa akina Netanyahu tangu enzi za mababu zao hadi sasa wamewahi kuamini katika Kristo? Kumbe wakati version yetu inasema Wakristo ndio tumebarikiwa na kwahiyo ndiyo taifa teule, Wayahudi wametujaza ujinga na kutuaminisha ni wao ndio wamebarikiwa na matokeo yake hata wakiua maelefu ya watoto tunashangilia kwa sababu wametujaza ujinga eti tukiwalaani nasi tutalaaniwa! Sie wengine tumepata bahati ya kupita seminari kwa hiyo bible ilikuwa ni moja ya vitabu vyetu vya kila siku lakini hata kwa yule ambae hapata hiyo bahati anashindwaje kutafakari kwamba mbona Wajerumani hawajaalaniwa basi lakini leo hii ndo inaongoza Ulaya! Kwa ujumla Bara la Ulaya hata kabla ya Hitler ndilo lilikuwa linaongoza kwa kuua Wayahudi, na yule Hitler alikuja kuhitimisha hesabu tu! Lakini wakati Medieval Europe inaua Wayahudi kila uchao kwa upande mwingine ikawa ndio inaongoza kwa kunawiri duniani, na hadi kesho Mungu kawapa kila kitu na yule tuliyeaminishwa kabarikiwa bado hawezi kusimama peke yake bila Wazungu ambao ilipaswa wawe wameshalaaniwa kitambo lakini tukaja kulaaniwa Wafrika ambao tupo tayari kupambana hata na Waafrika wenzetu wa karibu wakithubutu kuisema vibaya Israel.

Sasa basi, baada ya Wayahudi kushinda kwenye hiyo spiritual propaganda akisaidiwa na Wazungu ambao bila shaka wanafanya hivyo out of guilt, hatimae leo hii anapata support duniani kote kwenye Ulimwengu wa Kikristo ingawaje Wayahudi wenyewe hawauheshimu Ukristo hata chembe!!

Hata hivyo, kwa upande wa kidunia na kibinadamu naamini Wazungu walifanya jambo la maana sana kutuonesha wazi wazi aya zinazosema Wayahudi ni Taifa Teule na kutuficha zile zinazosema Wakristo ndio Taifa Teule kwa sababu kama sivyo, chuki ya Wazungu dhidi ya Wayahudi ingekuwa kubwa maradufu kuliko ilivyo sasa! Na chuki hii ndo ingekuwa hatari zaidi kwa Wayahudi kuliko chuki ya Wavaa Kobaz kwa Wayahudi kwa sababu Wazungu wana resources and they know how to stand together against a common enemy tofauti na hawa Viumbe wa Mudi!

Analysisi nzuri sana, ningependa isomwe na WaAfrica wote hasa Christians.
 
Tumeona kwa miaka mingi Iran akiwekeza heavily kwenye misile technology na drone technology sababu ndoto yake ni kuja kuvurumusha makomora yenye vichwa vya nyuklia tel aviv na Jerusalem, ila anachosahau ni kwamba adui yake amemzidi kwanye teknologia zote na ujasusi na ushushushu..

Hii inamfanya Iran kua uchi mbele ya Israel ndio maana amepigwa na watu wake muhimu kuuliwa kwa makombora yaliyorushwa kutoka ndani ya nchi yake tena ndani ya muda mfupi sana wakuu wa majeshi wameliwa vichwa

Hivi sasa yeye anahangaika kurusha makombora ambayo mengi yanadhibitiwa machache ndo yanapiga popote tuu wakati israel yeye anamiliki anga ya iran na anapiga kimkakati na kuhit target muhimu, hivo hadi sasa Israel 4 Iran 0

Ushauri wangu kwa Ayalotah kabla hajaja tena kuomba mechi na hawa wazayuni ahakikishe anawekeza kwenye ujasusi zaidi maana kua na makombora mengi na hujui pa kuyatumia unayavurumusha tuu kama hamas ni kazi bure, kinyume na hapo mechi ijayo ni kichwa cha ayatolah kinaondoka
Pale Bodaboda wa Boko Magengeni anavyomshauri tajiri wa Mabasi ya BM namna ya kumshinda tajiri wa Mabasi ya Shabiby. Bodaboda ana nini anachokijua kuhusu biashara ya Mabasi.

Yani upo Boko lakini unajua kuliko aliyepo Tehran.

Wabongo kwa ujuaji
 
Mu israel anasema
Target yake ya kwanza ni mu iran
Yaan kwa kifupi tangu ile octoba mwaka juzi alianza na aliyetumwa alafu sasa ndo anapiga aliyetuma
Yaani kifupi aliplan kupiga iran tangu mwaka juzi na pengine miaka mingi nyuma
Ila sasa mimi nachooona katka hili swala zima
Ni iran inachochea sana vikundi mbalimbali
Yaani katika jicho la kawaida israel anaoeneka mchokozi
Ilaukifatilia news za ki uchambuzi
Vita vingi middle east vinavyoleanga israel
Mu iran ana asilimia 80 za kuchangia
Acha uoga,sema tu ni wewe tujue kama umo au haumo!
 
No reform no election inaenda na hii vita.
Achaneni na hii vita tumtafute kwanza Gwajima mwenye uwezo wa kumfunga paka kengere aje aliamshe dude sisi tukiwa tumekaa sebuleni na smart phone.
 
Mu israel anasema
Target yake ya kwanza ni mu iran
Yaan kwa kifupi tangu ile octoba mwaka juzi alianza na aliyetumwa alafu sasa ndo anapiga aliyetuma
Yaani kifupi aliplan kupiga iran tangu mwaka juzi na pengine miaka mingi nyuma
Ila sasa mimi nachooona katka hili swala zima
Ni iran inachochea sana vikundi mbalimbali
Yaani katika jicho la kawaida israel anaoeneka mchokozi
Ilaukifatilia news za ki uchambuzi
Vita vingi middle east vinavyoleanga israel
Mu iran ana asilimia 80 za kuchangia
Tatizo lenu huu mgogoro mnauchambua kwa kuangalia imani zenu za kidini hamuuchambui kwa kutumia fikra huru ndio maana kila upande unavutia kwake.

Ila ukweli ni kwamba huu mgogoro chanzo chake kikuu ni siasa za ulimwengu i mean marekani na nato kuhusu rasilimali ya mafuta iliyopo huko middle east. Hilo la uranium ni visingizio tu! Iran amegoma mafuta yake kuwanufaisha mabepari hicho ndio chanzo tokea miaka ya 70 huko

Sasa nyie wafia dini hamuyajui yote hayo
 
Amini nakuambia, hizo ni Zionist and Western Propaganda! Adui mkubwa eneo la Mashariki ya Kati na hata kwa Ukristo ni Saudi Arabia. Wale Al Qaeda na ISIS ni Wavaaa Kobazi wa Kisuni, daraja dogo la Wahab ambao ni Wasaudi! 99% ya Makanisa yamelipuliwa na hawa religious lunatics kutoka au wenye asili ya Saudi Arabia! Shambulio la September 11, na hata lile la Dar na Nairobi yanatokana na hao Lunatics! Je, umewahi kusikia Marekani, Israel na Western Europe wakiituhumu Saudi Arabia?

Makosa makubwa ya Iran ni matatu:-
1. Kugoma kuwapigia magoti Marekani,
2. Ukigoma kuwapigia magoti Marekani automatically unakuwa adui wa Israel and vice versa
3. Kujitoa mhanga kupambana na Israel

Wakati nimekutajia Al Qaeda, ISIS, na hata hawa Magaidi Uchwara wa Afrika ambao wote ni Dhehebu la Saudi Arabia, vikundi vinavyokuwa supported na Iran ni Hamas, Hezbollah, na Houthi! Sasa tafakari, na kwavile bundle unayo fanya research: Ni Kikundi kipi kati ya hivyo kimewahi kufanya shambulizi popote pale duniani mbali na Israel? Labda Houthi ambao walikuwa vitani na Saudi Arabia! Na hata hii ilisababishwa na Saudi Arabia baada ya kuona Houthi wameuangusha Utawala uliokuwa unapata support ya Saudi Arabia ndipo Saudi Arabia wakaanza kuishambulia Yemen.

Kwa research niliyofanya nimegundua kumbe Ugaidi unaosifika wa Iran ni kwa sababu tu wale anaowa-support wanapambana na Israel! Hamas ni gaidi kwa sababu anapambana na Israel. Swali la kujiuliza ni: Hivi kweli Palestine ipo safe mbele ya Israel? Wakati unatafakari hilo usisahau Palestine ina maeneo mawili yanayotambulika na Sheria za Kimataifa, na Ulaya yote inatambua hivyo, even the US, theoretically inatambua kwamba Gaza na West Bank ni maeneo halali ya Palestine! Lakini wakati Gaza ni roughly 6% of the total area, West Bank ni roughly 94%! However, West Bank yote imekaliwa na Israel since 1967 baada ya kuteka hilo eneo. Zionist Jews wakaanza kujenga maelfu ya Majengo na kuhamasisha Wayahudi kutoka sehemu mbalimbali duniani waende wakaishi pale ili kuhakikisha eneo hilo halirudi tena Palestina! Yaani kama ambavyo TZ tuliyateka maeneo kadhaa ya Uganda wakati wa Vita vya Kagera halafu baada ya hapo Nyerere angeamua kwenda kujenga maelefu ya majengo ndani ya Uganda na Watanzania kupelekwa kule wakaishi! Je, kungekuwa na amani kati ya UG na TZ? Halafu Waganda kama wangeanza mashambulizi dhidi ya TZ ndo tuwaite magaidi?! No fucking way! Nitakuwa Mkristo wa Mwisho kuunga mkono ushetani kama huo!

Sasa kosa la Iran ni hilo la kuwaunga mkono Hamas na Hizbollah wanaopambana na Mvamizi, kama ambavyo ilikuwa kwa Mandela na ANC alivyopambana na Kaburu nao wakaitwa Magaidi!

Kwanini Israel na Marekani wamefanikiwa kwenye hizi propaganda?

Wamefanya kazi kubwa ya kutujaza Wakristo Ujinga, na leo hii tumeaminishwa kwamba Israel ni Taifa Teule na atakayepambana na Israel atalaaniwa! Nasi, hususani Wakristo wa Afrika tukaingia kichwa kichwa na kuzimeza hizo propaganda kwa sababu hatusomi maandiko! Leo hii uliza Mkristo yeyote ni andiko lipi linalosema Israel ni Taifa Teule, over 95% reference yao itakuwa Torati; yaani Agano la Wayahudi, tangu Mungu anamwagiza Abram atoke kwenye nchi yake na kumwahidi Kanani, kisha akatoa ahadi kama hiyo kwa Isaka na lastly kwa Yakobo ambae ndo Israel mwenyewe! Kwahiyo Wakristo tunaaminishwa kila kitu kupitia version ya Wayahudi walewale ambao maandiko yao mengi wanayoyafanyia kazi hadi kesho hayaendani kabisa na Version ya Ukristo! Na kwavile hatusomi biblia, tunafahamu version ya bible wanayoitaka wao which's in favor of Jews wakati version aliyokuja nayo Kristo Mwana wa Mungu ni tofauti! Hivi ni Wakristo wangapi wanaofahamu version yetu ni ile inayosema "Sio kwamba vizazi vyote vya Abram/Isaka/Israel vimebarikiwa bali ni vile ambavyo vimemkubali na kumfuata Kristo? Wangapi wameusoma mwanzo mwisho Waraka wa Mtume Paulo kwa ndugu zake Wagalatia ambao japo kwa uchache tu kuna sehemu anasema

Je, hawa akina Netanyahu tangu enzi za mababu zao hadi sasa wamewahi kuamini katika Kristo? Kumbe wakati version yetu inasema Wakristo ndio tumebarikiwa na kwahiyo ndiyo taifa teule, Wayahudi wametujaza ujinga na kutuaminisha ni wao ndio wamebarikiwa na matokeo yake hata wakiua maelefu ya watoto tunashangilia kwa sababu wametujaza ujinga eti tukiwalaani nasi tutalaaniwa! Sie wengine tumepata bahati ya kupita seminari kwa hiyo bible ilikuwa ni moja ya vitabu vyetu vya kila siku lakini hata kwa yule ambae hapata hiyo bahati anashindwaje kutafakari kwamba mbona Wajerumani hawajaalaniwa basi lakini leo hii ndo inaongoza Ulaya! Kwa ujumla Bara la Ulaya hata kabla ya Hitler ndilo lilikuwa linaongoza kwa kuua Wayahudi, na yule Hitler alikuja kuhitimisha hesabu tu! Lakini wakati Medieval Europe inaua Wayahudi kila uchao kwa upande mwingine ikawa ndio inaongoza kwa kunawiri duniani, na hadi kesho Mungu kawapa kila kitu na yule tuliyeaminishwa kabarikiwa bado hawezi kusimama peke yake bila Wazungu ambao ilipaswa wawe wameshalaaniwa kitambo lakini tukaja kulaaniwa Wafrika ambao tupo tayari kupambana hata na Waafrika wenzetu wa karibu wakithubutu kuisema vibaya Israel.

Sasa basi, baada ya Wayahudi kushinda kwenye hiyo spiritual propaganda akisaidiwa na Wazungu ambao bila shaka wanafanya hivyo out of guilt, hatimae leo hii anapata support duniani kote kwenye Ulimwengu wa Kikristo ingawaje Wayahudi wenyewe hawauheshimu Ukristo hata chembe!!

Hata hivyo, kwa upande wa kidunia na kibinadamu naamini Wazungu walifanya jambo la maana sana kutuonesha wazi wazi aya zinazosema Wayahudi ni Taifa Teule na kutuficha zile zinazosema Wakristo ndio Taifa Teule kwa sababu kama sivyo, chuki ya Wazungu dhidi ya Wayahudi ingekuwa kubwa maradufu kuliko ilivyo sasa! Na chuki hii ndo ingekuwa hatari zaidi kwa Wayahudi kuliko chuki ya Wavaa Kobaz kwa Wayahudi kwa sababu Wazungu wana resources and they know how to stand together against a common enemy tofauti na hawa Viumbe wa Mudi!
Unauchungu sana na wapalestina kuliko watanzania wanaouwawa hapa tanzania?
 
Tatizo lenu huu mgogoro mnauchambua kwa kuangalia imani zenu za kidini hamuuchambui kwa kutumia fikra huru ndio maana kila upande unavutia kwake.

Ila ukweli ni kwamba huu mgogoro chanzo chake kikuu ni siasa za ulimwengu i mean marekani na nato kuhusu rasilimali ya mafuta iliyopo huko middle east. Hilo la uranium ni visingizio tu! Iran amegoma mafuta yake kuwanufaisha mabepari hicho ndio chanzo tokea miaka ya 70 huko

Sasa nyie wafia dini hamuyajui yote hayo
Unauchungu sana na middle east kuliko tanzania?
 
Vikundi vyote vya vibaka hapo middle east mfadhili ni Iran.

Iran wangekuwaga na akili japo za kuvukia barabara wangekuwa marafiki wa Saudi Arabia hapo wangelamba Bingo, lakini shida ya Iran siyo Uislamu bali Ushia na hapo ndipo imekula kwao, Saudi Arabia haitaki kabisa inluence ya Ushia midle East.

Ndio maana Hamas ni Sunni lakini Saud Arabia haina mpango kwa sababu wanafadhiriwa na Iran, hapo Saudi Arabia imechaguwa kuwa na Marekani kwa usalama wake na kuiunga mkono Israel kimyakimya.

Waislamu Buza wanajifanya wana uchungu na Palestine, lakini Waislamu wenyewe wenye dini yao alikozaliwa mtume Saudi Arabia wao wanasimama na Israel.
Iran amegoma kuisalimisha rasimali yake ya mafuta kwa mabepari hiki ndio chanzo cha vita huko middle east. Hilo la ushia na ussuni ni kichocheo kingine cha vita za middle east na hata saddam mpaka iraq kuvamiwa na kuondolewa madarakani chanzo ni hicho hicho cha kukataa kujisalimisha kwa marekani ili mafuta yake yauzwe kwa dollar

Hii vita itaisha siku iran akikubali mafuta yake ayakabidhi kwa makampuni ya mabepari ili yauzwe kwa dollar ili ile dhana ya uchumi wa petrol dollar itimie.

Kuanzia saudi arabia qatar iraq na bahrain wote walishajisalimisha kwa mabepari ila iran amegoma mpaka leo na marekani anavyozidi kutumia nguvu kupitia israel ndio anazidi kuharibu zaidi
 
Tumeona kwa miaka mingi Iran akiwekeza heavily kwenye misile technology na drone technology sababu ndoto yake ni kuja kuvurumusha makomora yenye vichwa vya nyuklia tel aviv na Jerusalem, ila anachosahau ni kwamba adui yake amemzidi kwanye teknologia zote na ujasusi na ushushushu..

Hii inamfanya Iran kua uchi mbele ya Israel ndio maana amepigwa na watu wake muhimu kuuliwa kwa makombora yaliyorushwa kutoka ndani ya nchi yake tena ndani ya muda mfupi sana wakuu wa majeshi wameliwa vichwa

Hivi sasa yeye anahangaika kurusha makombora ambayo mengi yanadhibitiwa machache ndo yanapiga popote tuu wakati israel yeye anamiliki anga ya iran na anapiga kimkakati na kuhit target muhimu, hivo hadi sasa Israel 4 Iran 0

Ushauri wangu kwa Ayalotah kabla hajaja tena kuomba mechi na hawa wazayuni ahakikishe anawekeza kwenye ujasusi zaidi maana kua na makombora mengi na hujui pa kuyatumia unayavurumusha tuu kama hamas ni kazi bure, kinyume na hapo mechi ijayo ni kichwa cha ayatolah kinaondoka
 
Attachments

  • ea30d314662d89622ccf0e85c0463a15_1749973960214.mp4
    938.2 KB
Back
Top Bottom