Ila sasa mimi nachooona katka hili swala zima
Ni iran inachochea sana vikundi mbalimbali
Amini nakuambia, hizo ni Zionist and Western Propaganda! Adui mkubwa eneo la Mashariki ya Kati na hata kwa Ukristo ni Saudi Arabia. Wale Al Qaeda na ISIS ni Wavaaa Kobazi wa Kisuni, daraja dogo la Wahab ambao ni Wasaudi! 99% ya Makanisa yamelipuliwa na hawa religious lunatics kutoka au wenye asili ya Saudi Arabia! Shambulio la September 11, na hata lile la Dar na Nairobi yanatokana na hao Lunatics! Je, umewahi kusikia Marekani, Israel na Western Europe wakiituhumu Saudi Arabia?
Makosa makubwa ya Iran ni matatu:-
1. Kugoma kuwapigia magoti Marekani,
2. Ukigoma kuwapigia magoti Marekani automatically unakuwa adui wa Israel and vice versa
3. Kujitoa mhanga kupambana na Israel
Wakati nimekutajia Al Qaeda, ISIS, na hata hawa Magaidi Uchwara wa Afrika ambao wote ni Dhehebu la Saudi Arabia, vikundi vinavyokuwa supported na Iran ni Hamas, Hezbollah, na Houthi! Sasa tafakari, na kwavile bundle unayo fanya research: Ni Kikundi kipi kati ya hivyo kimewahi kufanya shambulizi popote pale duniani mbali na Israel? Labda Houthi ambao walikuwa vitani na Saudi Arabia! Na hata hii ilisababishwa na Saudi Arabia baada ya kuona Houthi wameuangusha Utawala uliokuwa unapata support ya Saudi Arabia ndipo Saudi Arabia wakaanza kuishambulia Yemen.
Kwa research niliyofanya nimegundua kumbe Ugaidi unaosifika wa Iran ni kwa sababu tu wale anaowa-support wanapambana na Israel! Hamas ni gaidi kwa sababu anapambana na Israel. Swali la kujiuliza ni: Hivi kweli Palestine ipo safe mbele ya Israel? Wakati unatafakari hilo usisahau Palestine ina maeneo mawili yanayotambulika na Sheria za Kimataifa, na Ulaya yote inatambua hivyo, even the US, theoretically inatambua kwamba Gaza na West Bank ni maeneo halali ya Palestine! Lakini wakati Gaza ni roughly 6% of the total area, West Bank ni roughly 94%! However, West Bank yote imekaliwa na Israel since 1967 baada ya kuteka hilo eneo. Zionist Jews wakaanza kujenga maelfu ya Majengo na kuhamasisha Wayahudi kutoka sehemu mbalimbali duniani waende wakaishi pale ili kuhakikisha eneo hilo halirudi tena Palestina! Yaani kama ambavyo TZ tuliyateka maeneo kadhaa ya Uganda wakati wa Vita vya Kagera halafu baada ya hapo Nyerere angeamua kwenda kujenga maelefu ya majengo ndani ya Uganda na Watanzania kupelekwa kule wakaishi! Je, kungekuwa na amani kati ya UG na TZ? Halafu Waganda kama wangeanza mashambulizi dhidi ya TZ ndo tuwaite magaidi?! No fucking way! Nitakuwa Mkristo wa Mwisho kuunga mkono ushetani kama huo!
Sasa kosa la Iran ni hilo la kuwaunga mkono Hamas na Hizbollah wanaopambana na Mvamizi, kama ambavyo ilikuwa kwa Mandela na ANC alivyopambana na Kaburu nao wakaitwa Magaidi!
Kwanini Israel na Marekani wamefanikiwa kwenye hizi propaganda?
Wamefanya kazi kubwa ya kutujaza Wakristo Ujinga, na leo hii tumeaminishwa kwamba Israel ni Taifa Teule na atakayepambana na Israel atalaaniwa! Nasi, hususani Wakristo wa Afrika tukaingia kichwa kichwa na kuzimeza hizo propaganda kwa sababu hatusomi maandiko! Leo hii uliza Mkristo yeyote ni andiko lipi linalosema Israel ni Taifa Teule, over 95% reference yao itakuwa Torati; yaani Agano la Wayahudi, tangu Mungu anamwagiza Abram atoke kwenye nchi yake na kumwahidi Kanani, kisha akatoa ahadi kama hiyo kwa Isaka na lastly kwa Yakobo ambae ndo Israel mwenyewe! Kwahiyo Wakristo tunaaminishwa kila kitu kupitia version ya Wayahudi walewale ambao maandiko yao mengi wanayoyafanyia kazi hadi kesho hayaendani kabisa na Version ya Ukristo! Na kwavile hatusomi biblia, tunafahamu version ya bible wanayoitaka wao which's in favor of Jews wakati version aliyokuja nayo Kristo Mwana wa Mungu ni tofauti! Hivi ni Wakristo wangapi wanaofahamu version yetu ni ile inayosema "
Sio kwamba vizazi vyote vya Abram/Isaka/Israel vimebarikiwa bali ni vile ambavyo vimemkubali na kumfuata Kristo? Wangapi wameusoma mwanzo mwisho Waraka wa Mtume Paulo kwa ndugu zake Wagalatia ambao japo kwa uchache tu kuna sehemu anasema
Fahamuni basi, ya kuwa wale walio wa imani, hao ndio wana wa Abrahamu. Na andiko, kwa vile lilivyoona tangu zamani kwamba Mungu atawahesabia haki Mataifa kwa imani, lilimhubiria Abrahamu Habari Njema zamani, kusema, Katika wewe Mataifa yote watabarikiwa. Basi hao walio wa imani hubarikiwa pamoja na Abrahamu aliyekuwa mwenye imani.
Je, hawa akina Netanyahu tangu enzi za mababu zao hadi sasa wamewahi kuamini katika Kristo? Kumbe wakati version yetu inasema Wakristo ndio tumebarikiwa na kwahiyo ndiyo taifa teule, Wayahudi wametujaza ujinga na kutuaminisha ni wao ndio wamebarikiwa na matokeo yake hata wakiua maelefu ya watoto tunashangilia kwa sababu wametujaza ujinga eti tukiwalaani nasi tutalaaniwa! Sie wengine tumepata bahati ya kupita seminari kwa hiyo bible ilikuwa ni moja ya vitabu vyetu vya kila siku lakini hata kwa yule ambae hapata hiyo bahati anashindwaje kutafakari kwamba mbona Wajerumani hawajaalaniwa basi lakini leo hii ndo inaongoza Ulaya! Kwa ujumla Bara la Ulaya hata kabla ya Hitler ndilo lilikuwa linaongoza kwa kuua Wayahudi, na yule Hitler alikuja kuhitimisha hesabu tu! Lakini wakati Medieval Europe inaua Wayahudi kila uchao kwa upande mwingine ikawa ndio inaongoza kwa kunawiri duniani, na hadi kesho Mungu kawapa kila kitu na yule tuliyeaminishwa kabarikiwa bado hawezi kusimama peke yake bila Wazungu ambao ilipaswa wawe wameshalaaniwa kitambo lakini tukaja kulaaniwa Wafrika ambao tupo tayari kupambana hata na Waafrika wenzetu wa karibu wakithubutu kuisema vibaya Israel.
Sasa basi, baada ya Wayahudi kushinda kwenye hiyo spiritual propaganda akisaidiwa na Wazungu ambao bila shaka wanafanya hivyo out of guilt, hatimae leo hii anapata support duniani kote kwenye Ulimwengu wa Kikristo ingawaje Wayahudi wenyewe hawauheshimu Ukristo hata chembe!!
Hata hivyo, kwa upande wa kidunia na kibinadamu naamini Wazungu walifanya jambo la maana sana kutuonesha wazi wazi aya zinazosema Wayahudi ni Taifa Teule na kutuficha zile zinazosema Wakristo ndio Taifa Teule kwa sababu kama sivyo, chuki ya Wazungu dhidi ya Wayahudi ingekuwa kubwa maradufu kuliko ilivyo sasa! Na chuki hii ndo ingekuwa hatari zaidi kwa Wayahudi kuliko chuki ya Wavaa Kobaz kwa Wayahudi kwa sababu Wazungu wana resources and they know how to stand together against a common enemy tofauti na hawa Viumbe wa Mudi!