kwa matambo yao waliokua wanayaonesha ni dhahiri kwamba hawana akili hao wakaa vibarazaniWith all due respect sir, unahisi una akili kupita hao Wapersia?
Kumbuka rais wa nchi pia aliliwa kichwa kisayansi zaid mambo yakapita
Akili zao za kushikiwa hao kobaaz mabusha jinsi wanavyosifiwa humu na kobaaz mabusha wenzao utasema wana la maana kumbe weupe tu.kwa matambo yao waliokua wanayaonesha ni dhahiri kwamba hawana akili hao wakaa vibarazani
Kumbe Dada na wewe wamo,ngoja niwaite Adiosamigo na WebabuMu israel anasema
Target yake ya kwanza ni mu iran
Yaan kwa kifupi tangu ile octoba mwaka juzi alianza na aliyetumwa alafu sasa ndo anapiga aliyetuma
Yaani kifupi aliplan kupiga iran tangu mwaka juzi na pengine miaka mingi nyuma
Ila sasa mimi nachooona katka hili swala zima
Ni iran inachochea sana vikundi mbalimbali
Yaani katika jicho la kawaida israel anaoeneka mchokozi
Ilaukifatilia news za ki uchambuzi
Vita vingi middle east vinavyoleanga israel
Mu iran ana asilimia 80 za kuchangia
Hata mimi nimewaza hivyo kwa jinsi alivyo nyoa vichwa vya hawa leaders wakubwa bila shaka hata ile accident alihusika 💯Kumbuka rais wa nchi pia aliliwa kichwa kisayansi zaid mambo yakapita
Iran wameshindwa kushambulia stregic sites sasa wanajipia tuu hovyo hovyo inaonesha wameshapanik.. angalia israel yeye akirusha kombora moja linaenda sehemu husika na linaondoka na kichwa cha mtu
kwa matambo yao waliokua wanayaonesha ni dhahiri kwamba hawana akili hao wakaa vibarazani
Mzee matokeo ni nini? utakuta kafa myahudi mmoja tena mbibi
Tunakitaka kichwa cha ayatollahMu israel anasema
Target yake ya kwanza ni mu iran
Yaan kwa kifupi tangu ile octoba mwaka juzi alianza na aliyetumwa alafu sasa ndo anapiga aliyetuma
Yaani kifupi aliplan kupiga iran tangu mwaka juzi na pengine miaka mingi nyuma
Ila sasa mimi nachooona katka hili swala zima
Ni iran inachochea sana vikundi mbalimbali
Yaani katika jicho la kawaida israel anaoeneka mchokozi
Ilaukifatilia news za ki uchambuzi
Vita vingi middle east vinavyoleanga israel
Mu iran ana asilimia 80 za kuchangia
Sio mchezo, mpaka ayatollah kasepa kabla hajafikiwa and imagine hapo Israel kaenda mara moja tu kavuna vichwa tisa muhimu ,dude likichanganyia si ndo ayatollah mapema tu tunaeHata mimi nimewaza hivyo kwa jinsi alivyo nyoa vichwa vya hawa leaders wakubwa bila shaka hata ile accident alihusika 💯
Myahudi akitaka kichwa cha ayatollah ni sekunde tu.Sio mchezo, mpaka ayatollah kasepa kabla hajafikiwa and imagine hapo Israel kaenda mara moja tu kavuna vichwa tisa muhimu ,dude likichanganyia si ndo ayatollah mapema tu tunae
Hahaha Israel ni chui kwenye picture kipigo anacho pokea mpaa US anatakaa kuingia yeye ndiye apigana badala ya kukaa akisaidia nyuma ya pazia.Mu israel anasema
Target yake ya kwanza ni mu iran
Yaan kwa kifupi tangu ile octoba mwaka juzi alianza na aliyetumwa alafu sasa ndo anapiga aliyetuma
Yaani kifupi aliplan kupiga iran tangu mwaka juzi na pengine miaka mingi nyuma
Ila sasa mimi nachooona katka hili swala zima
Ni iran inachochea sana vikundi mbalimbali
Yaani katika jicho la kawaida israel anaoeneka mchokozi
Ilaukifatilia news za ki uchambuzi
Vita vingi middle east vinavyoleanga israel
Mu iran ana asilimia 80 za kuchangia
Tumeisha.mfahamisha Israel ni chui kwenye picture, US lazima itaingilia sababu kipondo anacho pokea Israel ni aibu kubwa sana kikiendelea hivi mda wa mwezi hakuna Taifa litabaki linaitwa IsraelKumbe Dada na wewe wamo,ngoja niwaite Adiosamigo na Webabu