Kama Iran anataka kupambana na Israel basi awekeze kwenye ujasusi zaidi kuliko makombora na drones

Vita inaendelea Lebanon? Unafikiri Israel mjinga alivyowamaliza Hezbollah kwanza then Wahouth akaja kwa mfadhili wao sasa.
Kawamaliza wapi na wakati wamesitisha ,huyo kwa HAMAS anatolewa kamasi ..Amebaki kuomba misaada😀
 
Huyo Hezbollah sasa hivi hata kurusha risasi kwa Israel hawezi.
Na wakati walisitisha ....Huku anapambana na kizee kile ,hizo Iron dome ziko wapi ?

Wenzio sio wapenda maisha hayo wala hakuna tamasha la mashoga nchini mwao.
 
Mbona hapa kwetu hasa Zanzibar waislam ndio mabingwa wa kuchoma na kuharibu makanisa ya wakristo?
 

Analysisi nzuri sana, ningependa isomwe na WaAfrica wote hasa Christians.
 
Pale Bodaboda wa Boko Magengeni anavyomshauri tajiri wa Mabasi ya BM namna ya kumshinda tajiri wa Mabasi ya Shabiby. Bodaboda ana nini anachokijua kuhusu biashara ya Mabasi.

Yani upo Boko lakini unajua kuliko aliyepo Tehran.

Wabongo kwa ujuaji
 
Acha uoga,sema tu ni wewe tujue kama umo au haumo!
 
No reform no election inaenda na hii vita.
Achaneni na hii vita tumtafute kwanza Gwajima mwenye uwezo wa kumfunga paka kengere aje aliamshe dude sisi tukiwa tumekaa sebuleni na smart phone.
 
Tatizo lenu huu mgogoro mnauchambua kwa kuangalia imani zenu za kidini hamuuchambui kwa kutumia fikra huru ndio maana kila upande unavutia kwake.

Ila ukweli ni kwamba huu mgogoro chanzo chake kikuu ni siasa za ulimwengu i mean marekani na nato kuhusu rasilimali ya mafuta iliyopo huko middle east. Hilo la uranium ni visingizio tu! Iran amegoma mafuta yake kuwanufaisha mabepari hicho ndio chanzo tokea miaka ya 70 huko

Sasa nyie wafia dini hamuyajui yote hayo
 
Unauchungu sana na wapalestina kuliko watanzania wanaouwawa hapa tanzania?
 
Unauchungu sana na middle east kuliko tanzania?
 
Iran amegoma kuisalimisha rasimali yake ya mafuta kwa mabepari hiki ndio chanzo cha vita huko middle east. Hilo la ushia na ussuni ni kichocheo kingine cha vita za middle east na hata saddam mpaka iraq kuvamiwa na kuondolewa madarakani chanzo ni hicho hicho cha kukataa kujisalimisha kwa marekani ili mafuta yake yauzwe kwa dollar

Hii vita itaisha siku iran akikubali mafuta yake ayakabidhi kwa makampuni ya mabepari ili yauzwe kwa dollar ili ile dhana ya uchumi wa petrol dollar itimie.

Kuanzia saudi arabia qatar iraq na bahrain wote walishajisalimisha kwa mabepari ila iran amegoma mpaka leo na marekani anavyozidi kutumia nguvu kupitia israel ndio anazidi kuharibu zaidi
 
 

Attachments

  • ea30d314662d89622ccf0e85c0463a15_1749973960214.mp4
    938.2 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…