Kama Iran anataka kupambana na Israel basi awekeze kwenye ujasusi zaidi kuliko makombora na drones

Unajua unaweza ukahisi umesoma seminari kwa hivyo hilo linakufanya eti uijue biblia.

Wewe kwako kuendelea kwa namna yoyote inamaanisha umebarikiwa?

Unamaanisha mtu akiwa na maendeleo tayari amebarikiwa?

Yani mambo yote babu zetu waliyofanyiwa na hata leo mtu mweusi haruhusiwi kuendelea, ndio unasema hao watu wameendelea-wamebarikiwa?

Kama ungekuwa mkristo kweli ungeelewa ni kwanini Taifa la Israel lilianzishwa tena, Ni wazi kuwa hauna hata clue.

Huisomi Biblia yako na ungekuwa unaisoma ungekuwa na maoni mengine, pengine kutaka pande zote zikae mezani kutafuta amani, na sio hiki ulichoandika humu.
 
Iran alishaapa kwamba ataifuta Israel katika uso wa dunia. Hii ni baada ya utawala wa Kiislamu kuichukua nchi ya Iran, kabla ya hapo Iran na Israel walikuwa kawaida tu.

Ikiwa kila kikundi kinachopambana na Israel kinapewa full support kutoka kwa Iran, kwanini Israel aliipasue kichwa Iran? Iran akiwa na Nuclear, ni hatari sana sana kwa Israel. Tuendelee kutamani Israel amponde kichwa Iran.
 
Umeniingiza kwa class aseh. Nilikuwa sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…