Kama jibu hili la kipuuzi alilolitoa Rais Chakwera wa Malawi ndizo akili za Wapinzani wengi Barani Afrika, ni bora Vyama Vikongwe vitutawale milele

Ndio maana wengine sie tunataka turudishiwe Magavana tu.


Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Si kosa hata kidogo kumnyima mtu kura bali ni haki yake na kamwe hutomuingilia. Lakini hiyo haiamui ufanye kazi kwa hila dhidi ya eneo lisilo kupa kura.
 
'wanaopenetrait' na 'kulibda' ndiyo Viswahili gani hivi? Sasa kama Kuandika tu vyema kwa Lugha ya Kiswahili hamuwezi je, kuitoa 'CCM' mtaweza?


CCM imeua , imenajisi, imeiba mali za watu , jee unataka kutuambia na upinzani utafanya hivyo hivyo ??
 
Hiyo ndio fact whether unaipenda au kutoipenda,inabakia kuwa fact
 
Labda ameiga "kaeni na Bwege wenu huyohuyo" Hataivo hayo ndiyo majibu ya vyama kongwe barani africa, MCP kinarejea ikulu mara ya pili.
 
Kusamehe ni jambo gumu sana hasa likiwa la dhati toka moyoni "kusamehe kunauma mno"
Mwisho wa kunukuu...
Hahah niliandika hii comment kwny Thread khs Nape Modes wakaifuta,hahah sijui hata ni kwanini.
 
Nikiichukua sababu ya Rais wa Malawi Chakwera na Kiongozi wa Upinzani nchini Uganda Dkt. Kiiza Besigye aliyoitoa leo 'siwaamini' tena Wapinzani.
Uzuri hata wapinzani nao 'hawakuamini' pia.
 
Upuuzi wake sio conclusion ya kuhukumu wengine, anaweza akawa kajifunza kwa jiwe lkn hakumaanishi wapinzani wote wapo hivo
 
Unaweza kuweka hapa video ya mahojiano/sehemu ya mahojiano hayo aliyoulizwa hivyo usemavyo na kujibu kama ulivyosema hapa?
Naomba mkuu utukumbushe ndugu zake wa damu rais Chakwera walio katika baraza lake la mawaziri
 

Kajibu uhalisia na sio kwa unafiki usieijua Malawi kisiasa na kihistoria huwezi kuelewa hilo jibu, yakupasa kujifunja na uelewe critical thinking, realism has the upper hand over idealism, the magnitude of division and hatrage across regions and ethnic groups in Malawi ni hatari, Malawi ni fragile and volatile beyond what you know, the Malawians are too infants mentally and pro west slavery is so acute.
 
Genta Mbona hizo akili za raisi wa sasa wa malawi hazina tofauti na za mgombea wa sasa wa CCM??? Kwa juzi alivyokuwa jimboni kwa Bwege yale aliyoyasema yana tofauti gani na hayo maneno ya raisi wa malawi??!
 
Kwahiyo Kwako Wewe Kosa 'linahalalishwa' kwa Kosa Mkuu?
Genta Mbona hujaelewa swali? Wewe umetoa mfano ukihusisha wapinzani ila shida ni kwamba mfano ulioutoa ni sawasawa na anayoyafanya mgombea wa uraisi wa CCM kwa hapa Tanzania.

Na mie swali langu kwako kwa sababu kwa hapa Tanzania concern yako imeenda kumgusa mgombea wa CCM , Je bado utaipigia kura CCM mwaka huu?
 
Uliza ujulishwe, usikuripukie jambo usilolijua. Niliwahi kuweka POST nikiuliza Gentamycine ni nani? Tueleze chama kilichoanza kutawala Malawi ni kipi, mimi ninachokijua ni MCP (Malawi Congress Party) chini ya Dr. K. H. Banda, ndicho hichohicho kilitokea kuwa cha upinzani na kiongizi wake huyo unayembeza, sasa chama kipi kikongwe unachokijua wewe!
Ninakushauri uiondoe POST yako kwani inapotosha wasioijua Malawi.
 
Msiojua MCP ( Malawi Congress Party) anachoongoza Chakwera ndicho kimetawala tangu Uhuru chini ya Dr K. H. Banda, labda mleta POST aseme CCM ikatawale Malawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…