KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Muulizeni Bwege.Utupe na alichofanya Magu kama aliteua toka maeneo ambapo hakupata kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulizeni Bwege.Utupe na alichofanya Magu kama aliteua toka maeneo ambapo hakupata kura
"......na bwege wenu......"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo Kwako Wewe Kosa 'linahalalishwa' kwa Kosa Mkuu?
Vyama vikongwe wote huongeaga mbofu mbofuGENTAMYCINE,
..chama cha Raisi Chakwera siyo miongoni mwa vyama vya "upinzani."
..MCP, chama cha Raisi Chakwera, ni chama KIKONGWE cha Malawi ambacho kimerejea madarakani.
..itapendeza kama utarekebisha post yako ili iendane vizuri na ukweli kwamba MCP ni moja ya vyama VIKONGWE barani Afrika.
Kilifutika lini?Chama kikongwe Malawi kilishafutika siku nyingi
Si afadhali huyo Chakwela, hapa Tanzania majimbo ambayo yalikuwa chini CCM kulikuwa na ubaguzi wa kufa mtu. Kata zote zilizokuwa chini ya upinzani hazikupewa miradi ya maendeleo!Sasa kama Watu walidhani Wapinzani ni Darasa tosha la Demokrasia lakini kumbe nao wakipewa 'Dola' ni walewale kwanini akina CCM wasitawale?
Hiki ndicho chama kongwe ambacho kilikuwa madarakani tangu Uhuru, sasa nyie mbumbumbu mnaongelea chama kipi kongwe kingine!Hata vyama kongwe vimesikika mara kwa mara vikisema nmakosa maendeleo kwa sababu mlichagua wapinzani.
Anyway almost all African leaders are like that.
Vipi kuhusu wananchi wa mbezi walobomolewa nyumba zao huku kukiwa na zuio la mahakama??uzuri ni kwamba kwa kufahamu ufanyalo,umeamua kufunika au kutoongelea la kibamba-mbezi kisa tuu ingeharibu mifano yako hiyo pamoja na sifa ulizompa.Magufuli alipoenda Arusha na Kilimanjaro alitangaza kuwasamehe wapiga kura kwa kuwa hawakumchagua kwa wingi.
Mwanza wakasamehewa kubomolewa nyumba zao zilizotakiwa kubomolewa kupisha upanuzi wa airport sababu wao ni wapiga kura wake.
Huku Afrika kwa ujumla kama mshindi wa urais asipokuwa na moyo wa kusamehe Kama Magufuli akiingia Ikulu ni kiama kwa wasiompigia kura.