Kama jibu hili la kipuuzi alilolitoa Rais Chakwera wa Malawi ndizo akili za Wapinzani wengi Barani Afrika, ni bora Vyama Vikongwe vitutawale milele

Vipi kuhusu wananchi wa mbezi walobomolewa nyumba zao huku kukiwa na zuio la mahakama??uzuri ni kwamba kwa kufahamu ufanyalo,umeamua kufunika au kutoongelea la kibamba-mbezi kisa tuu ingeharibu mifano yako hiyo pamoja na sifa ulizompa.

Kwa mantiki hiyo hoja yako ni mfu na imbalanced.
Mkuu jitahidi kuelewa kusoma in between the line...rudia kusoma tena post yangu hata zaidi ya mara tatu.
 
Ulichokiandika mbona kinaeleweka mkuu,na hicho kiama mbona kimeshawafikia wanambezi tayari??Utasemaje huyo kiongozi ana moyo wa kusamehe ilhali anaonyesha double standards kwenye huo msamaha wake??
 
"Watu wa Mwanza mlinipa kura nyingi sana hivyo natoa maelekezo nyumba zenu hata kama zipo barababarani hazitavunjwa" By Mheshimiwa Pombe
 
Hiki ndicho chama kongwe ambacho kilikuwa madarakani tangu Uhuru , sasa nyie mbumbumbu mnaongelea chama kipi kongwe kingine!
Wewe wasema ila ungerudia kusoma mada na comments nina hakika ungeandika kivingine.
Anyway yote ni maoni pia.
 
Kmmmke kupenda alitaka Urais wa kupendwa sio wakuwafanyia wananchi wake kazibna kuwaletea maendeleo
 
Ulichokiandika mbona kinaeleweka mkuu,na hicho kiama mbona kimeshawafikia wanambezi tayari??Utasemaje huyo kiongozi ana moyo wa kusamehe ilhali anaonyesha double standards kwenye huo msamaha wake??
Ujumbe umekufikia, GOOD!
 
Lifuatalo hapa chini ni Jibu la Mheshimiwa Rais wa Malawi Lazarus Chikwera ambalo sioni aibu ( haya ) kuliita ni la 'Kipuuzi' pia
Nashukuru kwa Swali lako zuri Shaka Ssali ila Jibu langu Kwako ni rahisi sana tu. Nimeteuwa Wasaidizi wangu kuanzia Mawaziri pamoja na Waandamizi wengine Serikalini kwakuwa ningekuwa ni Mwendawazimu Kuteua Mawaziri kutoka katika Maeneo ambayo hayakunipigia Kura na hata kama walinipigia basi zilikuwa ni Kidogo halafu niwaache wale ambao ndiyo walinipigia Kura nyingi. Siku zingine watajifunza kwani hata Mimi pia ni Binadamu siwezi Kuwapenda Watu wasionipenda au wasioniunga mkono.
Kwa 'Upuuzi' huu wa Rais Chikwera na Wapinzani wengine Barani Afrika nasema ni Heri Vyama Vikongwe kama CCM viendelee Kushika Hatamu tu.

Mkuu Gentamycine, nikuulize swali. Kuna wakati Raisi wetu Magufuli alitoa tamko kwamba wakazi wa Mwanza wasibomolewe nyumba katika upanuzi wa barabara kwa kuwa walimpigia kura. Na hii ilikuwa ni baada ya kampeni kubwa ya ubomoaji nyumba kupisha barabara hapa Dar es Salaam.

Kwa hio by inference, Rasi Magufuli alitoa statement ya kipuuzi?

Kwa hiyo basi statement au jibu la kipuuzi linategemea mtu, huwezi ku-draw conclusion kwamba ni vyama vya upinzani tu ndio vinatoa statement za kipuuzi. Mtoaji wa statement au jibu la kipuuzi anaweza kuwa wa chama tawala au upinzani. Hata kama hii ilipaswa kuwa joke kutoka kwa Magufuli, basi ilikuwa joke ya kipuuzi kwa mtu mwenye dhamana ya uraisi.

In fact, katika siasa za Tanzania, nimesikia statement za kiupuuzi nyingi kutoka chama tawala CCM kuliko upinzani, labda kwa kuwa upinzani wana namna fulani ya woga wa kutoa matamko ya kipuuzi.
 
Wewe wasema ila ungerudia kusoma mada na comments nina hakika ungeandika kivingine.
Anyway yote ni maoni pia.
Nimesoma na nimeelewa hitimisho la mwandishi kuwa chama cha upinzani kilichoingia madarakani kimeshindwa kutimiza ahadi yake ya kuwa viongozi wa wote, hivyo havifai heri abakie na chama kikongwe kama CCM kwani vya upinzani vinadanganya.

Kubali mwandishi amekosea aliposikia kuwa chama cha upinzani kimekiangusha chama tawala.

Nijibu hili la nibora vyama vikongwe vitutawale milele, Malawi ni kipi kikongwe kama siyo MCP ya Chakwera?
 
GENTAMYCINE,

Ungeweka Basi clip ya hayo mahojiano manake na sisi pia tulisikiliza. Ucje kuwa ulipitwa na kizungu pembeni mkuu. So unajua Tena siyena lugha ya malaika!!
 
Mleta Uzi.amesahau kuwa Rais wa Malawi anatokea chama tawala cha zamani, Malawi Congress Party (MCP) kilichokuwa madaeakani tangu Uhuru wa nchi hiyo (1963) hadi 1994 (miaka 31)!

Chama cha Rais wa kwanza wa Malawi, Kamuzu Hastings Banda.
Hajakosea ila hajui historia ya Malawi, kilichompotosha ni chama cha upinzani kimeshinda! Hajui hata CCM ikishimdwa itakuwa chama cha upinzani.
 
GENTAMYCINE,

Pamoja na mapungufu ya Malawi umebugi sana kuelewa ile interview wewe kwenye English ni Utopolo aibu karudie tena kuangalia na kusikiliza YouTube
 
Kwa hiyo ulitaka ajibuje ili apatie? Unajua wakati wa utawala wa Peter Mutarika Chakwera ali treatiwaje?

Unataka kuniambia LISSU akiwa rais kuna siku atakaa na kuisifia CCM au JPM?

Ukiwa jukwaani unaweza tamka mambo ambayo ki uhalisia moyoni yapo tofauti na yanayotoka kinywani. GADAMN
Uko sahihi.
Jukwaani watu husema kingine
Tusione watu wanasema nitafanya ABC wajinga tu ndio wataamini
Ubinafsi ndio DHAMBI Mungu alishuka kushughulika nayo kupitia YESU Kristo
 
GENTAMYCINE,

Umesahau challte boy akiwa Mwanza alisema watu wa mwanza wasibomolewe nyumba kwa vile walimpigia kura.

Umesahau Magu 60% ya nafasi nyeti amewapa watu wa Kanda ya ziwa.

Umesahau aliwaambia watu wa Lindi na kilosa kuwa wawambie wabunge wao wawaletee maendeleo na akawambia wajifunze.
Magufuli na Chakwera n ndugu wa damu moja tu.
 
GENTAMYCINE,

Mbona Magufuli hajawahi kusema hivyo moja kwa moja lakini matendo na maneno yake kwa ufupi yanalingana kabisa na kauli hiyo na anatoka chama kikongwe?

Mfano kuagiza nyumba za Kimara zibomolewe bila fidia kwa vile kura nyingi zilimkataa na kukataza nyumba zisibololewe kwa vile walimpa kura nyingi?
 
MALAWI CONGRESS PARTY (MCP) ilianzishwa mwaka 1959.
Ndicho chama kilichopigania Uhuru wa Nyasaland (MALAWI).
Sasa kinaongozwa na Rais CHAKWERA.
 
Ndiyo maana sijutii na kamwe sitokuja Kujutia kuwa mwana CCM Chama ambacho ni 'Kikongwe' kabisa nchini Tanzania kutokana na kwamba Wapinzani wengi Barani Afrika nimegundua japo wakiwa hawajapata Madaraka na Kushika 'Dola' huwa wanatuaminisha Watu tuliochoka na 'Mifumo' Kandamizi iliyopo na 'Umasikini' lakini na Wao wakiwa 'Uongozini' hufanya 'Upuuzi' maradufu ya walioukuta

Leo nilikuwa nimepanga kabisa Kutizama Mahojiano kati ya Mtangazaji Mahiri ambaye Kwangu Mimi ni 'Critical and Great Thinker' wa 'Kutukuka ' kabisa Shaka Ssali wa Voice of America akiwa na Rais wa Malawi Bwana Lazarus Chakwera aliyetokea kwa Wapinzani na ambaye Waafrika wengi wasiovipenda Vyama Vikongwe viendee 'Kutawala' walimpenda ila 'alichokijibu' nilijikuta napandwa na Jazba na kuacha kabisa Kumtizama na Kumsikiliza

Hili ni Swali la Kawaida tu ila lenye Mitego mingi ndani yake aliloulizwa na Mtangazaji Shaka Ssali...
Mheshimiwa Rais Chakwera wakati wa harakati zako pamoja na Kampeni zako ulitokea Kuzikonga sana Nyoyo za Wamalawi na hata Waafrika wengi hasa kutokana na Misimamo yako na nakumbuka mara kwa mara ulisema ukiwa Rais utawapenda Wamalawi wote bila kujali kama walikupigia Kura au hapana ili kuleta Umoja. Je, Mheshimiwa Rais Chakwera imekuwaje ulipoapishwa tu kuwa Rais 98% ya Wateule wako ni ama Ndugu zako wa Damu au wa Mkeo au ni Marafiki zako wa karibu mno?

Lifuatalo hapa chini ni Jibu la Mheshimiwa Rais wa Malawi Lazarus Chikwera ambalo sioni aibu ( haya ) kuliita ni la 'Kipuuzi' pia
Nashukuru kwa Swali lako zuri Shaka Ssali ila Jibu langu Kwako ni rahisi sana tu. Nimeteuwa Wasaidizi wangu kuanzia Mawaziri pamoja na Waandamizi wengine Serikalini kwakuwa ningekuwa ni Mwendawazimu Kuteua Mawaziri kutoka katika Maeneo ambayo hayakunipigia Kura na hata kama walinipigia basi zilikuwa ni Kidogo halafu niwaache wale ambao ndiyo walinipigia Kura nyingi. Siku zingine watajifunza kwani hata Mimi pia ni Binadamu siwezi Kuwapenda Watu wasionipenda au wasioniunga mkono.

Kwa 'Upuuzi' huu wa Rais Chikwera na Wapinzani wengine Barani Afrika nasema ni Heri Vyama Vikongwe kama CCM viendelee Kushika Hatamu tu.
Huyo ni Chakwera na si sera za chama chake. Elewa hilo kuwa hilo si tatizo la chama ila la mtu.
 
Mtazamo wako ni mzuri sana na makini lakini kosa la Chakwera Ni la Chakwera haliwezi kuwa conclusive kiasi cha kuhalalisha vyama vikongwe kuendelea kutawala.Wapo wengi waliofanya zuri,Abdoulaye Wade ,yule wa Ivory Coast,Tshekedi ,Marais wote wa Ghana baada ya kuwchana na utawala wa kijeshi,Bouhari wa Nigeria etc.Apigwe mawe Chakwera ila siyo wapinzani wote.
 
Back
Top Bottom