Kama jibu hili la kipuuzi alilolitoa Rais Chakwera wa Malawi ndizo akili za Wapinzani wengi Barani Afrika, ni bora Vyama Vikongwe vitutawale milele

Kuna jambo moja muhimu unalotakiwa ulielewe.acha kuamini katika watu na vyama badala ya mifumo na sera.Aya mambo ni muhimu sana japo uku afrika hatuyazingatii tumebakia kushangilia vyama na watu ndo maana wanapofanya kinyume na matarajio tunahuzunika.Ila pia bado wamalawi walifanya sahihi kuchagua chama kingine ili kuleta ushindani wa mawazo na uongozi.Hii inasaidia kujenga uwajibikaji kwasababu ukizingua anakaa mwingine,wakiendelea hivyo miaka michache ijayo watakua mbali,kuliko kua na chama na viongozi wanaokaa madarakani miaka mingi ata kama hawana jambo jipya,matokeo yake wanaishia kugeuza nchi mali yao binafsi uku wakijawa majivuno na kiburi.
 
GENTAMYCINE,

Yaani jibu binafsi kutoka kwenye ubongo wa mtu mmoja tu ndio unalitumia kuhukumu opposition ya Africa nzima?

Wewe jamaa sometimes kua serious!

Halafu unadhani Africa ni uniform monolithic piece of land kila nchi ni sawa na kila nchi na everybody is the same as everybody from North to South,East to West?

Aisee
 
GENTAMYCINE,

In social science and politics, power is the ability to influence or outright control the behaviour of people. The term "authority" is often used for power perceived as legitimate by the social structure. Power can be seen as evil or unjust, but the exercise of power is accepted as endemic to humans as social beings. In business, power is often expressed as being "upward" or "downward". With downward power, a company's superior influences subordinates.

When a company exerts upward power, it is the subordinates who influence the decisions of their leader or leaders.
The use of power need not involve force or the threat of force (coercion). At one extreme, it closely resembles what an English-speaking person might term "influence", although some authors distinguish "influence" as a means by which power is used.

One such example is soft power, as compared to hard power. Much of the recent sociological debate about power revolves around the issue of its means to enable – in other words, power as a means to make social actions possible as much as it may constrain or prevent them.

Power is a structural expression of "a complex strategic situation in a given social setting" that requires both constraint and enablement.
 
Hana utofauti na rais wetu. Mwanza walisamehewa kubomolewa nyumba zao kwa sababu walimchagua, Kimara walibomolewa nyumba zao kwa sababu hawakumchagua, Arusha na kilimanjaro walisamehewa kwa kuchagua wapinzani, Kwa kifupi Rais wa Malawi hana utofauti na mwenyekiti wa CCM Taifa.
 
Vyama vikongwe wote huongeaga mbofu mbofu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kingine kilichonikera kwanini anaongea slang kama mzungu wa marekani hii kwa waafrika wanaofikilia wataelewa kuwa anavinasaba vya kupenda umagharibi na kibaraka. Mbona wa Zambia wanaongea kiingereza chao, Sauz Afrika pia wanainglish yao, Nigeria ndiyo usiseme, Jamaika ndiyo kabisa hadi raha unaiga hadi kuongea, hapana wamalawi watakuwa wamelamba dume.
 
GENTAMYCINE,

Hata vyama kongwe vimesikika mara kwa mara vikisema nmakosa maendeleo kwa sababu mlichagua wapinzani.
Anyway almost all African leaders are like that.
 
Mleta Uzi.amesahau kuwa Rais wa Malawi anatokea chama tawala cha zamani, Malawi Congress Party (MCP) kilichokuwa madaeakani tangu Uhuru wa nchi hiyo (1963) hadi 1994 (miaka 31)!

Chama cha Rais wa kwanza wa Malawi, Kamuzu Hastings Banda.
 
Sasa kama Watu walidhani Wapinzani ni Darasa tosha la Demokrasia lakini kumbe nao wakipewa 'Dola' ni walewale kwanini akina CCM wasitawale?
Si afadhali huyo Chakwela, hapa Tanzania majimbo ambayo yalikuwa chini CCM kulikuwa na ubaguzi wa kufa mtu. Kata zote zilizokuwa chini ya upinzani hazikupewa miradi ya maendeleo!
 
yesu wa lugora mwenyewe kila siku anawadanganya wadanganyika kuwa maendeleo hayana vyama. Upuuzi mtupu.
 
Hata vyama kongwe vimesikika mara kwa mara vikisema nmakosa maendeleo kwa sababu mlichagua wapinzani.
Anyway almost all African leaders are like that.
Hiki ndicho chama kongwe ambacho kilikuwa madarakani tangu Uhuru, sasa nyie mbumbumbu mnaongelea chama kipi kongwe kingine!
 
Angejibu, niliona ni watu watakaonisaidia na sifa wanazo. Mambo ya wapiga kura angeachana nayo
 
Vipi kuhusu wananchi wa mbezi walobomolewa nyumba zao huku kukiwa na zuio la mahakama??uzuri ni kwamba kwa kufahamu ufanyalo,umeamua kufunika au kutoongelea la kibamba-mbezi kisa tuu ingeharibu mifano yako hiyo pamoja na sifa ulizompa.

Kwa mantiki hiyo hoja yako ni mfu na imbalanced.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…