Mkuu jitahidi kuelewa kusoma in between the line...rudia kusoma tena post yangu hata zaidi ya mara tatu.Vipi kuhusu wananchi wa mbezi walobomolewa nyumba zao huku kukiwa na zuio la mahakama??uzuri ni kwamba kwa kufahamu ufanyalo,umeamua kufunika au kutoongelea la kibamba-mbezi kisa tuu ingeharibu mifano yako hiyo pamoja na sifa ulizompa.
Kwa mantiki hiyo hoja yako ni mfu na imbalanced.
Ulichokiandika mbona kinaeleweka mkuu,na hicho kiama mbona kimeshawafikia wanambezi tayari??Utasemaje huyo kiongozi ana moyo wa kusamehe ilhali anaonyesha double standards kwenye huo msamaha wake??Mkuu jitahidi kuelewa kusoma in between the line...rudia kusoma tena post yangu hata zaidi ya mara tatu.
Wewe wasema ila ungerudia kusoma mada na comments nina hakika ungeandika kivingine.Hiki ndicho chama kongwe ambacho kilikuwa madarakani tangu Uhuru , sasa nyie mbumbumbu mnaongelea chama kipi kongwe kingine!
Ujumbe umekufikia, GOOD!Ulichokiandika mbona kinaeleweka mkuu,na hicho kiama mbona kimeshawafikia wanambezi tayari??Utasemaje huyo kiongozi ana moyo wa kusamehe ilhali anaonyesha double standards kwenye huo msamaha wake??
Lifuatalo hapa chini ni Jibu la Mheshimiwa Rais wa Malawi Lazarus Chikwera ambalo sioni aibu ( haya ) kuliita ni la 'Kipuuzi' pia
Nashukuru kwa Swali lako zuri Shaka Ssali ila Jibu langu Kwako ni rahisi sana tu. Nimeteuwa Wasaidizi wangu kuanzia Mawaziri pamoja na Waandamizi wengine Serikalini kwakuwa ningekuwa ni Mwendawazimu Kuteua Mawaziri kutoka katika Maeneo ambayo hayakunipigia Kura na hata kama walinipigia basi zilikuwa ni Kidogo halafu niwaache wale ambao ndiyo walinipigia Kura nyingi. Siku zingine watajifunza kwani hata Mimi pia ni Binadamu siwezi Kuwapenda Watu wasionipenda au wasioniunga mkono.
Kwa 'Upuuzi' huu wa Rais Chikwera na Wapinzani wengine Barani Afrika nasema ni Heri Vyama Vikongwe kama CCM viendelee Kushika Hatamu tu.
Nimesoma na nimeelewa hitimisho la mwandishi kuwa chama cha upinzani kilichoingia madarakani kimeshindwa kutimiza ahadi yake ya kuwa viongozi wa wote, hivyo havifai heri abakie na chama kikongwe kama CCM kwani vya upinzani vinadanganya.Wewe wasema ila ungerudia kusoma mada na comments nina hakika ungeandika kivingine.
Anyway yote ni maoni pia.
Hajakosea ila hajui historia ya Malawi, kilichompotosha ni chama cha upinzani kimeshinda! Hajui hata CCM ikishimdwa itakuwa chama cha upinzani.Mleta Uzi.amesahau kuwa Rais wa Malawi anatokea chama tawala cha zamani, Malawi Congress Party (MCP) kilichokuwa madaeakani tangu Uhuru wa nchi hiyo (1963) hadi 1994 (miaka 31)!
Chama cha Rais wa kwanza wa Malawi, Kamuzu Hastings Banda.
Uko sahihi.Kwa hiyo ulitaka ajibuje ili apatie? Unajua wakati wa utawala wa Peter Mutarika Chakwera ali treatiwaje?
Unataka kuniambia LISSU akiwa rais kuna siku atakaa na kuisifia CCM au JPM?
Ukiwa jukwaani unaweza tamka mambo ambayo ki uhalisia moyoni yapo tofauti na yanayotoka kinywani. GADAMN
Huyo ni Chakwera na si sera za chama chake. Elewa hilo kuwa hilo si tatizo la chama ila la mtu.Ndiyo maana sijutii na kamwe sitokuja Kujutia kuwa mwana CCM Chama ambacho ni 'Kikongwe' kabisa nchini Tanzania kutokana na kwamba Wapinzani wengi Barani Afrika nimegundua japo wakiwa hawajapata Madaraka na Kushika 'Dola' huwa wanatuaminisha Watu tuliochoka na 'Mifumo' Kandamizi iliyopo na 'Umasikini' lakini na Wao wakiwa 'Uongozini' hufanya 'Upuuzi' maradufu ya walioukuta
Leo nilikuwa nimepanga kabisa Kutizama Mahojiano kati ya Mtangazaji Mahiri ambaye Kwangu Mimi ni 'Critical and Great Thinker' wa 'Kutukuka ' kabisa Shaka Ssali wa Voice of America akiwa na Rais wa Malawi Bwana Lazarus Chakwera aliyetokea kwa Wapinzani na ambaye Waafrika wengi wasiovipenda Vyama Vikongwe viendee 'Kutawala' walimpenda ila 'alichokijibu' nilijikuta napandwa na Jazba na kuacha kabisa Kumtizama na Kumsikiliza
Hili ni Swali la Kawaida tu ila lenye Mitego mingi ndani yake aliloulizwa na Mtangazaji Shaka Ssali...
Mheshimiwa Rais Chakwera wakati wa harakati zako pamoja na Kampeni zako ulitokea Kuzikonga sana Nyoyo za Wamalawi na hata Waafrika wengi hasa kutokana na Misimamo yako na nakumbuka mara kwa mara ulisema ukiwa Rais utawapenda Wamalawi wote bila kujali kama walikupigia Kura au hapana ili kuleta Umoja. Je, Mheshimiwa Rais Chakwera imekuwaje ulipoapishwa tu kuwa Rais 98% ya Wateule wako ni ama Ndugu zako wa Damu au wa Mkeo au ni Marafiki zako wa karibu mno?
Lifuatalo hapa chini ni Jibu la Mheshimiwa Rais wa Malawi Lazarus Chikwera ambalo sioni aibu ( haya ) kuliita ni la 'Kipuuzi' pia
Nashukuru kwa Swali lako zuri Shaka Ssali ila Jibu langu Kwako ni rahisi sana tu. Nimeteuwa Wasaidizi wangu kuanzia Mawaziri pamoja na Waandamizi wengine Serikalini kwakuwa ningekuwa ni Mwendawazimu Kuteua Mawaziri kutoka katika Maeneo ambayo hayakunipigia Kura na hata kama walinipigia basi zilikuwa ni Kidogo halafu niwaache wale ambao ndiyo walinipigia Kura nyingi. Siku zingine watajifunza kwani hata Mimi pia ni Binadamu siwezi Kuwapenda Watu wasionipenda au wasioniunga mkono.
Kwa 'Upuuzi' huu wa Rais Chikwera na Wapinzani wengine Barani Afrika nasema ni Heri Vyama Vikongwe kama CCM viendelee Kushika Hatamu tu.
Mtazamo wako ni mzuri sana na makini lakini kosa la Chakwera Ni la Chakwera haliwezi kuwa conclusive kiasi cha kuhalalisha vyama vikongwe kuendelea kutawala.Wapo wengi waliofanya zuri,Abdoulaye Wade ,yule wa Ivory Coast,Tshekedi ,Marais wote wa Ghana baada ya kuwchana na utawala wa kijeshi,Bouhari wa Nigeria etc.Apigwe mawe Chakwera ila siyo wapinzani wote.Ndiyo maana sijutii na kamwe sitokuja Kujutia kuwa mwana CCM Chama ambacho ni 'Kikongwe' kabisa nchini Tanzania kutokana na kwamba Wapinzani wengi Barani Afrika nimegundua japo wakiwa hawajapata Madaraka na Kushika 'Dola' huwa wanatuaminisha Watu tuliochoka na 'Mifumo' Kandamizi iliyopo na 'Umasikini' lakini na Wao wakiwa 'Uongozini' hufanya 'Upuuzi' maradufu ya walioukuta