Kama Kanisa Katoliki hawatakemea huu Ujinga nitashangaa sana

RC sio kanisa ni saccos ndio maana wanaupuuzi mwingi, wanachanganya dini na siasa


USSR
 

Walianza kukamata mikutano ya ndani ambayo ipo kisheria RC na Bakwata hawakukemea, walikamata na kuteka waandishi wa habari na wanaalakati wengine wao RC na Bakwata ilikuwa kama haiwahusu, Mashekhe wa uamsho walipewa kesi ya ugaidi RC na Bakwata ilikuwa haiwahusu, mbowe na bahazi za viongozi wa dini wamewekwa ndani hajatoka shekhe wa Bakwata wala nyie RC kukemea, Sasa nasema zamu yenu imefika mtapaza sauti zenu na hakuna atakae wasikia,
 
Well analyzed bahati mbaya tu siko RC ila naunga hoja mkono
 
Kumbe hapa unaonesha kuwa yale madai ya wanaosema nchi inaendeshwa na Katoliki na lawama zao kila siku kuwatupia Katoliki huwa ni ya kipuuzi tu, halafu wakiambiwa hawataki kusikia.
 
Tumefundishwa kuvumiliana. Na hakuna kitu hatari kama kudharau imani,dini,kanisa ama dhehebu la mwingine. Ndo maana yapo tofauti ili kila mtu kwa imani yake achague pakwenda.
So ni bora tukabebeana madhaifu ya kiimani kuliko kuanza kuchokonoana.
Umejibu kwa busara sana sana Mimi siwezi! Mungu akubariki
 
Uovyo wake upo katika lipi hebu tusaidie tuweze kufunguka ndugu,manake naona wana mavyuo,mahospitali,vituo vya kulelea watoto wasio na wazazi n.k

Inawezekana una unachokijua zaidi ya hivyo,tufungue ndugu yetu mpendwa.
Amen Amen nadhani Babati hapa kachemka sana
 
Uhalifu walioufanya ni upi? Umesahau kuwa Tulia Akson amesshaingia Kanisani Mara kibao na Uniform za CCM? Au uhalifu unakua kwa Chadema?
 
Mkuu kazi ya kanisa nini?
Hio ni thread nyingine ila wacha nikujibu kwa level yako "ni mahali pa kumshukuru Mungu, kutubu na kuwaombea wenyewe dhambi" kwahio kwakua mmesema Mbowe ni Gaidi walienda sehemu sahihi kumuombea Gaidi Mbowe ili "asituharibie nchi" kwahio Wale Wapuuzi wa Polisi na wewe ukiwepo mlitakiwa kiwasaidia katika maombi yao
 
FUNDA NYONDO, NA MKOME MMETUTESA TANGU UHURU, NINYI MNAJIFANYA NI CCM KINAKINDAKI NA MKOME, SHENZI TAIPU NDO MNAYABARIKI MASISIEMU YATUUAPO NA KUTUFUNGA. MUNGU AWAONE
 
Tumefundishwa kuvumiliana. Na hakuna kitu hatari kama kudharau imani,dini,kanisa ama dhehebu la mwingine. Ndo maana yapo tofauti ili kila mtu kwa imani yake achague pakwenda.
So ni bora tukabebeana madhaifu ya kiimani kuliko kuanza kuchokonoana.
Imani bila matendo n kazi bure.. imani n pamoja na kukemea maovu ktk jamii!
 
Polisi binadamu wamezidiwa akili na polisi mbwa, ndio maana wanapitwa hata kwa vyeo.
 
Wapi tena na lini??

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo unataka watu wakifanya maovu wageuze makanisa chimbo la kujificha? Kama police imefuata taratibu kanisa lina wajibu kwa kutoa ushirikiano

Watuhumiwa wanaweza kukamatwa sehemu yoyote ile na vyombo vya usalama. Uwe kanisani au mskitini haizuii serikali kufanya kazi.

Msichonganishe kanisa na waumini wake wala na serikali
 

Wasituchonganishe
 
Kuna kitu wanakitafuta wamuulize Magufuli aliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…