Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Kuchinjana.Kazi ya kanisa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuchinjana.Kazi ya kanisa nini?
Hebu edit thrd yako kwa kuanza kueleza matukio hayo yametokea wapi. Kanisa gani? waliokamatwa ni akina nani?Polisi wa Tanzania wanaendeleza dhihaka kwa Kanisa kubwa kabisa nchini na duniani RC kwa kuvamia kila mara kwenye ibada zake na kukamata waumini tena ibadani.
Cha kushangaza haya hayatokei SDA wala Lutheran wala kwenye haya makanisa kama ya akina Gwajima.
Hii ni dharau na dhihaka kubwa sana, Polisi hawajaitwa kuwa pengine kuna uvunjifu wa amani, sasa kiherehere cha kwenda kukamata waumini kisa wanafanya maombi kinatoka wapi?
Huku kuwashwawashwa kwa Polisi wa Tanzania kutatupeleka kubaya soon.
Wakumbuke, nawakumbusha aliyekuwa Mkurugenzi wa Itigi na baadhi ya Askari Wanyamapori wako gerezani Singida hadi leo kwa kesi ya mauaji Kanisani.
Tumieni akili kidogo acheni kudharau imani za watu
Wewe ni bweha kweli. Kila mtu anayetoa mawazo nje ya upumbavu wako ni CHADEMA? Inaonekana chanjo imekufanya ujue mambo mawili tu ccm na chadema, Acha ku attack personalities za watu, weka hoja. Pumbvu.
SawaKuchinjana.
Wanatumika na nani?Polisi wanatumika kumharibia Mama Samia hili halina ubishi.
Kanisa siyo majengo ya ccmMama anaupiga mwingi mno 😁😁😁
Kuna nyumbx walitaka kupeleka siasa zao za kijinga kanisani, wameenda kudakwa huko huko.
Shukrani sana sana. Asante na ubarikiweKuweni na subira, wiki hii Fr Dr Kitima atalitolea ufafanuzi. Kuvamia Cathedral sio kazi ndogo na tamko la kulaani kitendo hicho linapaswa kufanya na TEC kwa consultation ya Maaskofu wote kupitia kwa Idara maalum.
Itakua mistake kubwa sana, tuko taayri kusimama na kanisa hata kama itatubidi kufungwa maishaAu wanalikomesha kanisa kwasababu lilikuwa Lina msapoti mwendazake
Hapo umenena,Mimi ni mkatoliki na nipmepata kamili,ila kwa hili kweli linanikera sana,lakini sishangai sana maana siro alikuwa mseminary,ogopa sana mseminary asipofikia harua kamiliMama anaupiga mwingi mno [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna nyumbx walitaka kupeleka siasa zao za kijinga kanisani, wameenda kudakwa huko huko.
Itakua mistake kubwa sana, tuko taayri kusimama na kanisa hata kama itatubidi kufungwa maishaAu wanalikomesha kanisa kwasababu lilikuwa Lina msapoti mwendazake
Jumla ya viongozi na wanachama 20 wa CHADEMA kanda ya Viktoria wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la polisi baada ya kukamatwa jana kanisani.Wapi tena huko Mkuu?
Jumla ya viongozi na wanachama 20 wa CHADEMA kanda ya Viktoria wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la polisi baada ya kukamatwa jana kanisani.Kumbeee...! Wasikubali...waende Mahakamani
Anatunzwa na shemeji, aliyemuoa dada yake kwa mkopo wa mahali... Atamalizia mbuzi wawili baadayeUna familia kweli wewe?
Inawezekana kanisa katoliki linashiriki huu uhuni maana haingii akili waumini wako wanakamatwa kila mara na hakuna tamko zito unalotoa kulaani.Polisi wa Tanzania wanaendeleza dhihaka kwa Kanisa kubwa kabisa nchini na duniani RC kwa kuvamia kila mara kwenye ibada zake na kukamata waumini tena ibadani.
Cha kushangaza haya hayatokei SDA wala Lutheran wala kwenye haya makanisa kama ya akina Gwajima.
Hii ni dharau na dhihaka kubwa sana, Polisi hawajaitwa kuwa pengine kuna uvunjifu wa amani, sasa kiherehere cha kwenda kukamata waumini kisa wanafanya maombi kinatoka wapi?
Huku kuwashwawashwa kwa Polisi wa Tanzania kutatupeleka kubaya soon.
Wakumbuke, nawakumbusha aliyekuwa Mkurugenzi wa Itigi na baadhi ya Askari Wanyamapori wako gerezani Singida hadi leo kwa kesi ya mauaji Kanisani.
Tumieni akili kidogo acheni kudharau imani za watu
Jumla ya viongozi na wanachama 20 wa CHADEMA kanda ya Viktoria wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la polisi baada ya kukamatwa jana kanisani.
Kwa mjibu wa OCD anadai kuwa wanachama hao wa CHADEMA walifanya vurugu kanisani.
Askofu Nkwande amekanusha kuwa kulikuwa na vurugu
Muhalifu hasubiri pa kukamatiwa. Popote pale. Yaani anaweza kushushwa hata kwenye kiuno cha mkewe akafungwa pingu.Tumefundishwa kuvumiliana. Na hakuna kitu hatari kama kudharau imani,dini,kanisa ama dhehebu la mwingine. Ndo maana yapo tofauti ili kila mtu kwa imani yake achague pakwenda.
So ni bora tukabebeana madhaifu ya kiimani kuliko kuanza kuchokonoana.