Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Kristo ameshinda,wananchi wengi wanatsfuta majibu ya matatizo yao,ya kifedha,kiroho,kipato,motivation kidogo,makanisa Mengi,Roman Catholic,Lutheran,TAG,huko waumini hukamuliwa sadaka,Kuna fungu la kumi,mavuno,nyumba ya mchungaji,gari ya mchungaji,jengo,ahadi,tegrmeza ushirika,michango kibao,mwisho wa ibada,unaambiwa nenda kwa amani,!
Amani ipi!na hela huna,padre,mchungaji hakupi hata maneno ya kukupa moyo Ili upambane,lazima utakimbilia kwa "Mwamposa"tu