Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

Kuna mapovu humu na wanaowakana wenzao kisa wameenda kwa mwamposa. Acheni wawe huru
 
Ni bora kuwa na practical muslim 10 kuliko nominal muslim 1000000000.
Hata hivyo hizo ni mbinu tu kuwaaminisha watu kuwa wale ni waislam ilhali sio.
Hii ya kusema kwamba ile ni mbinu mimi naikataa, na kama ni mbinu, basi tukubali wapo wengi tu wanaoenda kiuhalisia bila mbinu, na mimi nimwashuhudia akina dada waisilamu hapa jirani wanaenda na wanafungulia maombi ya saa tatu
 
Kwa hiyo kumbe si haramu kwa muisilamu kukiri hadharani kwamba Yesu Kristu, mwana wa Mungu aliye hai, Mungu kweli, ndiye anayeponya? Maana huwa anawauliza, nani amekuponya, nao wanajibu, Yesu!
Waisilam tunakubali uwepo wa manabii na mitume yote ambaye ni mtume wetu Muhammad (saw) na mitume iliyo tangulia kabla yake,lakini hatusemi ya kuwa yesu ni mwana wa mungu,ila tuna amini Issa bin Maryam ni nabii aliye tumwa na mungu kuja kueneza na kuleta kitabu cha Injili.

Ila kwa wasio kuwa waislam wengine wanaita Issa(yesu) ni mwana wa mungu, wengine wanaita Issa(yesu) ni mungu sisi kama waislam hatukubaliani nao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23] Kwa sababu Kila unaemuona anaenda Kwa mwamposa. Anaitwa SULEIMAN,JUMA, AISHA,HADIJA basi akili Yako yote inakutuma kama hao ni Muslims
Kwan si mnasemaga binadam wote wanazaliwa waislamu au???
 
Kwa hiyo kumbe si haramu kwa muisilamu kukiri hadharani kwamba Yesu Kristu, mwana wa Mungu aliye hai, Mungu kweli, ndiye anayeponya? Maana huwa anawauliza, nani amekuponya, nao wanajibu, Yesu!
Ni haramu na ni kufuru ya kiwango kikubwa Mungu aliyeumba mbingu na Ardhi hana mwana wala mshirika na uponyaji unatoka kwake yeye tu na Yesu hakuwa Mungu bali ni Nabii wa Mwenyezi Mungu.
 
Mkuu,kama mtu ataleta kiherehere kuingilia haki ya mwingine kuchagua basi huyo atakuwa anavunja sheria, tunategemea atashughulikiwa kama mhalifu mwingine yeyote.

Dini tumeletewa.
Zanzibar kipindi cha Ramadhani huruhusiwi kula mchana na hata sehemu zenye Waislamu wengi Dar hiyo marufuku pia ipo
 
Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
majuzi nilikutana na kundi la waislamu wanakwenda kununua maji kwa mwaponsa.

Ni kweli dini yetu ya kiislamu inaweza kufutika bongo. Bravo kaka Mwapo!!
 
Muislamu atafanya dhambi lakini mara nyingi ni ngumu kubadili upande labda huyo awe ni Muislamu jahil wa levo ya chini kabisa.

Ni haramu na ni kufuru ya kiwango kikubwa Mungu aliyeumba mbingu na Ardhi hana mwana wala mshirika na uponyaji unatoka kwake yeye tu na Yesu hakuwa Mungu bali ni Nabii wa Mwenyezi Mungu.

Sasa kama ni vgumu Muisilamu kubadili na kwenda upande wa pili, lakini huyo huyo muisilamu anamkiri Yesu Kristu kama Bwana na Mungu wake, hapo hakuna kujichanganya?
 
uislamu haujawahi kupungua wafuasi wanazidi kila siku mpaka qiyamah.
Kwa nini unapinga unabii wa Muhammad
Unabii
  • Uislamu ulianza kama dini ndogo na utarudi kuwa dini ndogo
    • Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
  • Akaongeza Uislam utasinyaa na utarudi Madina kama vile nyoka anarudi kwenye shimo lake
    • “Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160
 
Back
Top Bottom