Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uponyajiiiii ama utapeli tu hapoShida ipo wapi?! Watu si wanakwenda kutafuta uponyaji wa kiroho. Mbona unaleta mashindano ya udini hapa?
Waislamu wanamtambua Jesus original sio huyo aliesulubiwa waislamu hawamtambui kwa maana mtume wa mungu hawezi kuwa laana maana bibilia inasema alifanywa kuwa laana ili kuwakomboa iko hivi anaemfuata alielaaniwa nae? Atakuwa jibu peke Yako huko sipoYesu ni mwokozi wa maisha yako,mpokee upate uzima wa milele.
Koran in mtu anaitwa Issa na Alikimbia msalaba , akawekwa Isa bandia badala yakeWaislamu wanamtambua Jesus original sio huyo aliesulubiwa
Katika waumini wenye mioyo ya utoaji ni wa kristo ila upande wapili ni wabahiri kinyama..ndio mana hawana maendeleo zaidi ya kusubiri tende namisaada toka uarabuni.Kristo ameshinda,wananchi wengi wanatsfuta majibu ya matatizo yao,ya kifedha,kiroho,kipato,motivation kidogo,makanisa Mengi,Roman Catholic,Lutheran,TAG,huko waumini hukamuliwa sadaka,Kuna fungu la kumi,mavuno,nyumba ya mchungaji,gari ya mchungaji,jengo,ahadi,tegrmeza ushirika,michango kibao,mwisho wa ibada,unaambiwa nenda kwa amani,!
Amani ipi!na hela huna,padre,mchungaji hakupi hata maneno ya kukupa moyo Ili upambane,lazima utakimbilia kwa "Mwamposa"tu
Pole sana tena narudia pole sana kasome ujue ni Nini kilichoandikwa utajua kuwa yesu unaemfuata ni WA mchongoKoran in mtu anaitwa Issa na Alikimbia msalaba , akawekwa Isa bandia badala yake
Mkuu ulikua na ushahid gani Kama ni waislam tumeshihudia wachungaji wakiwapanga watu Kama dili Mara ngapi kwa hiyo hao we umeowaona wamevaa tu shungi ukaona ni waislam je Kama ndio njia ya kuendelea kupigwa jeKama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Kilicho andikwaPole sana tena narudia pole sana kasome ujue ni Nini kilichoandikwa utajua kuwa yesu unaemfuata ni WA mchongo
DuuhHahah wamehama kwenye viwete na vipofu na kufufua watu,
sasa wameamua kuweka maboya ya hijabu na nikab. Huo utapeli tunaujua sana.
Msaliti alikuwa nani na alizikiwa wapi? Nafahamu utajibu kuwa kua alipoteaKilicho andikwa
- Issa , inasemekana walitamka kumuua ila Allah akatengeneza issa mwingine akauliwa
- Allah akatengeneza Issa mwingine ambae anafanana na Isa original ili Isa clone (cloning) asulubiwe
- Koran 4;157. Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu.
- Cloning -is the process of producing individuals with identical or virtually identical DNA, either naturally or artificially.
Muislamu atafanya dhambi lakini mara nyingi ni ngumu kubadili upande labda huyo awe ni Muislamu jahil wa levo ya chini kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]DJ walete wamama wa kiislam
Kwan wamelazimishwa Mzee Mimi mkristo ila nilipo Kuna waislamu wanaenda kwake kuabudu ni haki yaohuyo mwamposa anaviziwa tu! hii ni mbinu ya wapinzani wake either serikali au wenzake walokole! wanamsogeza kwenye hasira za waislam! atapata majibu
Sema Dar kutakuwa hakuna wa kumloga.Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Kuna habari za msaliti ndani ya Koran ? Ni jambo jipya nasikia leo, msaliti wa Isa namsoma wapi kwenye koranMsaliti alikuwa nani na alizikiwa wapi? Nafahamu utajibu kuwa kua alipotea
Hakuna MTU mbaya kama mnafiki''anakuchekea huku anakuangamiza,,, Bora adui unayemjua kuliko mnafiki. Waislam lazima tuwe tatizo dunia nzima lkn sio Kwa SBB ya chuki Bali sababu ya msimamo tunaishi Kwa kufuata Muongozo mmoja Tu WA KITABU kimoja dunia nzima hatupelekeshwi na mamlaka za DUNIANI kama mnavopelekeshwa nyie chochote atakachoona mzungu Sawa kinaingizwa ktk dini na nyie mnakibariki Kwa hiyo lazima dunia ituone tatizo,,wakati dunia inatuona tatizo uislam huo huo WA tatizo la dunia ndio dini inayokua Kwa Kasi duniani'' SA sijui itakuajeHivi kuna wabaguzi na waliojaa chuki kama waislam?
Nyie watu ni tatizo dunia nzima.
Sio Bulldozer tu Kuna huyu anaitwa Mussa Richard Mwacha wa kimara Temboni ni 🔥Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Unajaribu Kuweka mambo yasiyo ndani ya Koran na Hadith tena umefika mbali unasema Koran ilikuwa ya mda flani ,Nimeshasema wengi wenu Hamna elimu kuhusu uislam wala quran Bali hutafuta Aya za mifano Kwa unafiki wenu;
5;51 -9;23-3;28 sababu ya katazo hili ni kua Mwenyezi Mungu ameshafahamu juu ya unafiki wenu,,nakuuliza wewe unaweza kumfanya MTU mnafiki au mshirikina kua rafiki au kipenzi chako?? Jibu hapana Bali utaishi nae Kwa wema bila kumfanya rafiki au kua na ukaribu nae maana lengo la mnafiki na mshirikina na kukuharibia au kukufanya uwe kama yeye,,au wewe watu wote unaosaidiana nao NI marafiki zako na vipenzi vyako,? wapo wakristo na wayahudi wachache wasio na unafiki wako open minded,,,quran pia imewazungumzia lkn Kwa unafiki wako hiyo Aya hukuiona.
47;4-9;6-9;29,,,chukua hii,,Aya za Quran hazikushuka siku moja kama ubao WA Musa na amri kuu za Mungu,,Aya zilishuka kidogo kidogo kutokana na matukio tofauti tofauti,,Aya za waislam kupigana zilishuka baada ya washirikina kuzidisha vitimbi vyao dhidi WA waislam,,,waislam WA makka waliuawa Vifo vya kikatili,,walinyang'anywa Mali zao na kuteswa ndipo mateso yalipozidi waislam wakateremshiwa Aya za kupambana na washirikina lkn Kwa utaratibu maalum Mwenyezi mungu anasema wakikochozeni,,wakakupigeni na kuwatoa ktk majumba yenu nanyi wapigeni mpk waache na wakiacha nanyi acheni wala msianze uadui,,pia Mwenyezi Mungu anakataza kuua nafsi ISIYO na hatia Kwa kusema anayeua nafsi moja ISIYO na hatia NI Sawa ameua watu WA dunia nzima'' Ila Kwa unafiki wako Aya hizi pia hukuziona,,au ulitaka iandikwe akipigae la kushoto mgeuzie la kulia!!!! Hakuna huo unyonge kwenye uislam..
Kuhusu hadithi siwezi kukujibu chochote maana hadithi NI masimulizi ya watu,,kuna hadithi sahihi na hadithi zisizo sahihi?? Hadithi sahihi NI zile zisizokinzana na maneno ya Mwenyezi Mungu ktk quran na Mwenyezi anasema ktk quran hakuna kulazimishana ktk dini,,so utajudge mwenyewe kama kuamini maneno ya Mwenyezi Mungu au masimulizi ya wanadamu.