Unajua Allah alisema hana mwana kwa sababu hana mke? naNi haramu na ni kufuru ya kiwango kikubwa Mungu aliyeumba mbingu na Ardhi hana mwana wala mshirika na uponyaji unatoka kwake yeye tu na Yesu hakuwa Mungu bali ni Nabii wa Mwenyezi Mungu.
Mkuu lete hizo aya nikamlipue mtu.Unajua Allah alisema hana mwana kwa sababu hana mke? na
Wewe umejuaje Yesu hakuwa Mungu
Koran 6:101. Yeye ndiye Muumbaji wa mbingu na ardhi bila ya ruwaza. Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?Mkuu lete hizo aya nikamlipue mtu.
we una boti ngapi tajiri cho.ko??Una pepo la umaskini boti Kumi unaziona kuwa utajiri ? maskini mkubwa wewe
Tokea ujiunge Jf ujatimiza hata wiki mbili umekuwa Expert member wewe ndio kundi la wale wenye kushinda mitandaoni bila faida maana comment yako inaonyesha unapenda ushabiki usio na manufaa.Mkuu lete hizo aya nikamlipue mtu.
Unateseka ukiwa wapi? Niko likizo sasa hivi nawashughulikia watu kama nyie mnahitaji kuamshwa.Tokea ujiunge Jf ujatimiza hata wiki mbili umekuwa Expert member wewe ndio kundi la wale wenye kushinda mitandaoni bila faida maana comment yako inaonyesha unapenda ushabiki usio na manufaa.
Sasa mtu kwa kuokoteza aya na kuweka unadhani unaweza kushinda hoja wakati kitabu hakisomwi kama gazeti ?
Mbona una dharau kubwa juu ya maandiko yako, yani aya za koran kabisa uasema zimeokotezwa, inawezekana vipi mtu aokoteze maneno ya Allah? au allah aliokoteza?Sasa mtu kwa kuokoteza aya na kuweka unadhani unaweza kushinda hoja wakati kitabu hakisomwi kama gazeti ?
Sa hapo hujaelewa nini? Mi navyojua ni muumini hayo ya kutokuwa '' muhumini '' ni yako. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni jambo la kawaida sana ilo kwaiyo ndio mnataka kusemaje uyo rafiki yako ni muislamu siyo muhumini wa dini ya kiislamu..
Naweza kuwa sielewi au siamini huduma yake lakini katika hili sioni kosa lake. Ni haki ya kila mtu kuchagua wapi pa kuabudu.
Hakuna mtu wala dini yenye mamlaka ya kumpangia raia yeyote dhehebu la kufanya ibada.
Hakuna dharau hapo labda haujui Kiswahili vizuri ,kuokoteza inamaanisha mtu anachukua kwa kuungaunga bila elimu sasa shida ikowapi ? mtu akisema ana elimu ya kuungaunga ina maana amiidharau elimu ya Tz ? Kuokoteza inamaanisha njia aliyoitumia kuipata ndio maanaMbona una dharau kubwa juu ya maandiko yako, yani aya za koran kabisa uasema zimeokotezwa, inawezekana vipi mtu aokoteze maneno ya Allah? au allah aliokoteza?
Ukiwa mjinga kiasi hiki hauna hadhi ya kujibiwa na haustahili kabisa kujibiwa .Unateseka ukiwa wapi? Niko likizo sasa hivi nawashughulikia watu kama nyie mnahitaji kuamshwa.
Nenda katekeleze maagizo ya allah kwamba muwapige wake zenu ili tukufunge jela.Ukiwa mjinga kiasi hiki hauna hadhi ya kujibiwa na haustahili kabisa kujibiwa .View attachment 2370613
Cc Mlolongo adriz STRUGGLE MANKama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Wamechagua fungu jema sana, Bwana YESU aendelee kuwafungulia njia iliyo nyooka wakayapate mema.Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Kuwa makini umetumia lugha mbaya ya kuita aya za Allah zimeokotezwa , nilichofanya ni ku copy aya kama ilivyo na kuweka bila kuongeza wala ku edit, alafu unasema imeokotwaHakuna dharau hapo labda haujui Kiswahili vizuri ,kuokoteza inamaanisha mtu anachukua kwa kuungaunga bila elimu sasa shida ikowapi ? mtu akisema ana elimu ya kuungaunga ina maana amiidharau elimu ya Tz ? Kuokoteza inamaanisha njia aliyoitumia kuipata ndio maana
Kuna mbwa wa kislamu?Kuna tofauti kati ya muumini na muislamu! Hao wote ni mbwa tu kwahiyo wanamfuata mbwa mwenzao
Nilitaka nisikomment ila nilivoona hii komenti nikasema huyu jamaa ubongo wake wala haujai hata kwenye ukucha wa kidole cha mwisho.Sasa mpk akafe waislam si watakuwa wameisha Dar?
Kristo ameshinda,wananchi wengi wanatsfuta majibu ya matatizo yao,ya kifedha,kiroho,kipato,motivation kidogo,makanisa Mengi,Roman Catholic,Lutheran,TAG,huko waumini hukamuliwa sadaka,Kuna fungu la kumi,mavuno,nyumba ya mchungaji,gari ya mchungaji,jengo,ahadi,tegrmeza ushirika,michango kibao,mwisho wa ibada,unaambiwa nenda kwa amani,!Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.