jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Swala 5 sio uislam helewa hapo!! Unaweza kuwa swala 5 lakin uwezi kuwa Muislam tofautisha vituMbona mimi nilikuwa swala tano lkn nimejisalimisha kwa Mwamposa.Nimeacha kuvaa makobasi,barakashia,Kanzu & swala tano.
Usibishe jambo hili kama ni mtu unaekaa mitaa ya kishua huwezi sikia habari hizi wala kuona waumini wa dini ya kiislam tunawaona wanavyopanda vyombo vya usafiri kwenda huko mwamposa😂😂😂🤣🤣😂 Kwa sababu Kila unaemuona anaenda Kwa mwamposa. Anaitwa SULEIMAN,JUMA, AISHA,HADIJA basi akili Yako yote inakutuma kama hao ni Muslims
Hilo tapeli wanaomfuata ni watu wasiojielewa tu, sasaivi ana boti kumi za uvuvi kule pwani ya kunduchi na ununio nasikiaKama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
So ndo kinachoendelea hapo kwa mwamposa?Labda kama ujawai Amini kwamba binadamu analaani na inatokea basi uwezi Amini pia anakubariki na inakua ivyo.
N.b Sio binadamu wote.
We huwajui Waislamu, kwenye Uislamu hakuna huo uhuru unaousemaNaweza kuwa sielewi au siamini huduma yake lakini katika hili sioni kosa lake. Ni haki ya kila mtu kuchagua wapi pa kuabudu.
Hakuna mtu wala dini yenye mamlaka ya kumpangia raia yeyote dhehebu la kufanya ibada.
Uislam una kufundisha kuita watu hivyo?Kuna tofauti kati ya muumini na muislamu! Hao wote ni mbwa tu kwahiyo wanamfuata mbwa mwenzao
Sasa mpk akafe waislam si watakuwa wameisha Dar?siku 1 atakufa
We unaonaje?Mbona mimi nilikuwa swala tano lkn nimejisalimisha kwa Mwamposa.Nimeacha kuvaa makobasi,barakashia,Kanzu & swala tano.
Uislam una kufundisha kuita watu hivyo
Apate majibu yanini? Acha watu waende uzimani wewe.huyo mwamposa anaviziwa tu! hii ni mbinu ya wapinzani wake either serikali au wenzake walokole! wanamsogeza kwenye hasira za waislam! atapata majibu
Wewe wasema. Mm sijashindanisha dini hapa. Nimeelezea matazamio ya hatima ya waislam wa Dar kufuatia nyomi la waislam linalopigwa msalaba kila siku na MwamposaShida ipo wapi?! Watu si wanakwenda kutafuta uponyaji wa kiroho. Mbona unaleta mashindano ya udini hapa?
Muislamu atafanya dhambi lakini mara nyingi ni ngumu kubadili upande labda huyo awe ni Muislamu jahil wa levo ya chini kabisa.
wapo kibao nawajauaWizi mtupu hakuna muislam pale!!
We umeona hijabu unasema waislam