Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

We huwajui Waislamu, kwenye Uislamu hakuna huo uhuru unaousema

kama ni kweli anavyoeleza mtoa mada, hili litaleta bifu kubwa sana siku sio nyingi
Mkuu,kama mtu ataleta kiherehere kuingilia haki ya mwingine kuchagua basi huyo atakuwa anavunja sheria, tunategemea atashughulikiwa kama mhalifu mwingine yeyote.

Dini tumeletewa.
 
Mtume Mohamedi hadi analiwa na nguruwe hakuwa amefanya muujiza wowote ...hata tu kubeti tu na kupatia, hakuna!!!
NI chuki Tu iliyokujaa ugua upone.. kitu nilichojifunza ukristo tunaonadiwa Kwa Sura ya nje NI tofauti kabisa na ukristo uliopo ndani ya wakristo sio wote Bali walio wengi,,Namaanisha wengi wenu ni wanafiki vifuani kwenu mnaungulika Kwa chuki dhidi ya uislam na mara nyingi bila elimu yoyote kuhusu uislam lkn Kwa nje mnajifanya kutuhubiria upendo,,. Sikwambii uache chuki endelea nayo Kwa vile chuki humla mwenye kuibeba,,.
 
Sasa unataka kumpangia maisha mbona kuna wakristo Wana slim kuwa waislamu unashangaa nin waislamu kubadilisha kuwa wakristo haya mambo ya Kuama upande yapo na yataendelea kuwepo
Mimi comment yangu haijahusha kusilimu kwa kubadili dini kutoka Uislamu kwenda ukiristo bali nimepinga 'idolization' mtu kumfanya Mwamposa kama Mungu maana mtu ujisalimishe kwake je sasa itakuaje ?
 
Utajisalimashe kwa binadamu mwenzako na kujaalia mtu wa Kati baina ya wewe na Mwenyezi Mungu? Mtu anakufa na kufanya makosa Mwenyezi Mungu hafi wala hakosei!
Kwahiyo Mo alikuwa nani ?

Mbona watu wanajisalimisha kwake kwa kushahadia ?
 
hao sio waislam hao..ni maigizo kama kufufua maiti na vilema kutembe...mchukue mmoja muulize au mwambie asome sur tul fath akisoma nakupa 1000k hapa hapa
Mtu asipojua kuisoma hii surah anakuwa sio muislamu ?
 
YALE YA YULE NABII NI KWA AJILI YA WAJINGA WAJINGA
NA WATU WA DINI YETU HII, NI WAJINGA WAJINGA
HIVYO BASI WAFUASI WA NABII NI WAFUASI WA DINI YETU HII.
 
Kwamba hao watu amewalazimisha kwenda kwenye ibada au? Masuala ya imani ni binafsi.

Msije kujifanya ni "untouchables" mtapata mnachokitaka, leteni tena fujo za kidini nchini kama awamu fulani fulani muone kama mtavumiliwa!

#Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 #
😂 ZILIKUWA NDIO ZAO AWAMU YA PILI NA YA NNE
ZILIKUWA ZAMA ZA MAPOVU NA MAANDAMANO
ZAMA HIZI NA AJITOKEZE MTAKATIFU FLANI AONE MOTO WAKE
 
😂 ZILIKUWA NDIO ZAO AWAMU YA PILI NA YA NNE
ZILIKUWA ZAMA ZA MAPOVU NA MAANDAMANO
ZAMA HIZI NA AJITOKEZE MTAKATIFU FLANI AONE MOTO WAKE
Kuna waliotaka wajimilikishe haki ya kuchinja. Nchi ngumu hii
 
Back
Top Bottom