Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

Naweza kuwa sielewi au siamini huduma yake lakini katika hili sioni kosa lake. Ni haki ya kila mtu kuchagua wapi pa kuabudu.

Hakuna mtu wala dini yenye mamlaka ya kumpangia raia yeyote dhehebu la kufanya ibada.
Halafu,kwa nini aviziwe?Na wao waanzishe huduma za kiaina yao.
 
Jamaa alikujaga kigamboni machava majuzi tu, alibeba kila aina ya watu na imani zao. Hata mkutano wa CFAN ulotangazwa kila pande haukuweza kujaza nyomi ya Mwamposa.
 
Halafu mnasisitiza Mungu ni mmoja. Mna tatizo pahala
 
Huu mjadala ulishafungwa!watajisalimisha sana
Dada yale ni maigizo hakuna muislamu anayeenda kwa Mwamposa ama kwa mchungaji yeyote.

Nimeshuhudia dada mmoja hivi ni mkristi safi nilisoma naye Tabata siku hiyo kaenda kwa Mwamposa alikuwa na mkutano wa injili maeneo ya Kinyerezi.

Huyu dada alivaa hijab na nikab juu sikumtambua kabisa lakini wakati anapanda gari kurudi nyumbani aliitoa nikabu akabaki na hijab ndo nikamfahamu hivyo tukasalimiana kwakuwa tunafahamiana vizuri kabisa.

Sasa huyo ni mmoja tu ya mamluki wa kikristo wanaotumiwa wajifanye waislam ili kuwavuta waislamu. Hakuna muislamu mwenye akili timamu ataenda kwa Mwamposa nakuhakikishia.
 
Huu mjadala ulishafungwa!watajisalimisha sana
Yaani baadhi ya makanisa yameishiwa mbinu siku hizi za kuwadanganya waumini kwa kuwafufua wafu, kuwaombea viwete wa mchongo nakadhalika kwakuwa mbinu hizi zimeshabainika.

Sasa wameamua kuja na mbinu hii feki ya kuigiza eti wamama wa kiislamu wanaenda kuombewa kumbe mbinu imeshashtukiwa mapema.

Aise muislamu kwenye imani yake yu thabiti sana atatenda dhambi zote lakini sio rahisi kwenda kanisani ama kuombewa na wachungaji makanjanja kama Mwamposa.
 
Dada yale ni maigizo hakuna muislamu anayeenda kwa Mwamposa ama kwa mchungaji yeyote.

Nimeshuhudia dada mmoja hivi ni mkristi safi nilisoma naye Tabata siku hiyo kaenda kwa Mwamposa alikuwa na mkutano wa injili maeneo ya Kinyerezi.

Huyu dada alivaa hijab na nikab juu sikumtambua kabisa lakini wakati anapanda gari kurudi nyumbani aliitoa nikabu akabaki na hijab ndo nikamfahamu hivyo tukasalimiana kwakuwa tunafahamiana vizuri kabisa.

Sasa huyo ni mmoja tu ya mamluki wa kikristo wanaotumiwa wajifanye waislam ili kuwavuta waislamu. Hakuna muislamu mwenye akili timamu ataenda kwa Mwamposa nakuhakikishia.
Kwahiyo ukristo kwako ni uadui..kwamba mwisilamu hapaswi kuchangamana na mkriso..hizi dini na wafia dini huwa ni wapuuzi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sio Waislam wale ila Cha ajab Sheikh zinalalamika kwa media.
Tatueni shida zao muone Kama wataenda kule.
 
We huwajui Waislamu, kwenye Uislamu hakuna huo uhuru unaousema

kama ni kweli anavyoeleza mtoa mada, hili litaleta bifu kubwa sana siku sio nyingi
Nchi huru hii mbona amlete fujo mnapokunywa pombe bia au mdudu
 
Back
Top Bottom