Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nazisoma wapi ndani ya Koran?Mtafute yuda alikuwa nani
Huo ugeni unaoutunga mbona kwenye hadith haupohiyo hadithi inasema uislamu ulianza ukiwa mgeni na utarudi ukiwa mgeni hivyohivyo kama ulivyoanza, kwa maana bado ni kitu cha kushangaza na kigeni na ugeni wake hauishi maana wanaoshikamana nao bado wanaonekana wa kipekee na wageni katika miji.
na hiyo hadithi ya iymaan kurudi madina lau ungejua maana yake.
بدأ الإسلام غريبا و سيعود غريبا كما بدأ فاطوبى للغرباءHuo ugeni unaoutunga mbona kwenye hadith haupo
soma tena
- Uislamu ulianza kama dini ndogo na utarudi kuwa dini ndogo
- Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
- Akaongeza Uislam utasinyaa na utarudi Madina kama vile nyoka anarudi kwenye shimo lake
- “Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160
Kwa nini waislamu mkibanwa kidogo tu mna activate panic mode , sio wewe tu wote humuبدأ الإسلام غريبا و سيعود غريبا كما بدأ فاطوبى للغرباء
غريبا ni kitu kidogo!? utakuwa umevuta bangi ya mashona nguo mkuu.
Miujiza utoka kwa Mungu na shetani pia utambulika kwa matunda yao.”Kwani hao wanaoabudu kwa mwamposa wanaabudu wakiamini huyo mwamposa ndiye mwokozi wao na mtoa baraka wao au?"
Maana kila upande mwamposa anabariki mwamposa anabariki nataka kujua hao wanaabudu ktk Mungu Na KwelI?
Matatizo yote chanzo ni ukosefu wa maarifa, ukiwa na maarifa matatizo ukimbiaWatu wanaelemewa na matatizo mengi; kwa hiyo wanatafuta sehemu ambapo watatua mizigo yao.
Ni sawa na kwa mganga kukuta foleni; kuliko kwenda huko kwenye foleni, bora aende kwenye digital (maombezi tu, matatizo yanakuwa yametatuliwa bila mwili kuathiriwa)
Wakristo wa-atupu , sio Wakristo tupu..Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Kwa wanafata dini kiislam Muhamad no binadamu kwa binadamu mwengine, isipokuwa yeye kapewa uwezo na Allah.Wewe mbona umejisalimisha kwa Mohamed na kufata maagizo yake?
Ila kwenye biblia Yesu ni mwana wa Mungu=Mungu.Kwa wanafata dini kiislam Muhamad no binadamu kwa binadamu mwengine, isipokuwa yeye kapewa uwezo na Allah.
Wanaofata dini ya Yesu wao wanaona Yesu ni Mungu ijapokuwa Yesu mwenyewe kazipinga hizi shutuma....
Kwa waislam Yesu/Isa/Iso/Joshua/Jesus/Yasu ni Mtume wa Allah kama Mitume mwingine, miujiza yote aliofanya Joshua kapewa uwezo na Mungu..
Yesu hana vigezo vya kuwa Mungu
Sisi sote ni wana wa Mungu, kila Mtume ni mwana wa MunguIla kwenye biblia Yesu ni mwana wa Mungu=Mungu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
ExactlyKwamba hao watu amewalazimisha kwenda kwenye ibada au? Masuala ya imani ni binafsi.
Msije kujifanya ni "untouchables" mtapata mnachokitaka, leteni tena fujo za kidini nchini kama awamu fulani fulani muone kama mtavumiliwa!
#Mungu ibariki Tanzania [emoji1241] #
Kama unaamini adamu na hawa waliubwa na wala hawakutokana na mapenzi kama tunavyozaliwa sasa..inakua vipi ngumu kwako kuamini bikra alipata ujauzito kwa uwezo wa roho mtakatifu.?Sisi sote ni wana wa Mungu, kila Mtume ni mwana wa Mungu
Unataka kuniambia Mungu alifanya mapenzi na bikra Maria akapatiana Yesu
Kama Biblia umeandika Yesu kamwita Mungu baba haina maana kuwa Mungu ni baba ake, ni heshima tu..
Nyerere wanamwita baba wa Taifa, haina maana Nyerere alitembea na mama zetu, ni heshima tu..
By the way hakuna hata sehemu moja katika Bible iliyoandikwa kuwa Yesu ni Mungu
Sijapinga kama mwanamke bikra kupata mimba, mwanamke anaweza kupata mimba bila ya kuingiliwa na mwanamme..Kama unaamini adamu na hawa waliubwa na wala hawakutokana na mapenzi kama tunavyozaliwa sasa..inakua vipi ngumu kwako kuamini bikra alipata ujauzito kwa uwezo wa roho mtakatifu.?
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kama huu ndio uislamu wa kuita mbwa binadamu wenzio, naungana kabisa na hao wanao ikimbia imani hii ya kiislam.Kuna tofauti kati ya muumini na muislamu! Hao wote ni mbwa tu kwahiyo wanamfuata mbwa mwenzao
Muhammad kwa waislamu sio mtu wa kawaida ndio maana hata akichorwa katuni mnavaa mabomu na kujilipua.Kwa wanafata dini kiislam Muhamad no binadamu kwa binadamu mwengine, isipokuwa yeye kapewa uwezo na Allah.
Wanaofata dini ya Yesu wao wanaona Yesu ni Mungu ijapokuwa Yesu mwenyewe kazipinga hizi shutuma....
Kwa waislam Yesu/Isa/Iso/Joshua/Jesus/Yasu ni Mtume wa Allah kama Mitume mwingine, miujiza yote aliofanya Joshua kapewa uwezo na Mungu..
Yesu hana vigezo vya kuwa Mungu
Ni Kweli Muhammad kwa Waislam sio mtu wa kawaida kwani yeye ni binadamu alipewa uwezo wa Mungu tafauti na Binaadamu wengine..Muhammad kwa waislamu sio mtu wa kawaida ndio maana hata akichorwa katuni mnavaa mabomu na kujilipua.
Yesu Kristo ni Mungu aliyehai. Acha kufuata korani inayoleta blah blah miaka mia sita baada ya biblia kuwepo.
Mnapenda sana kusema Issa ndio Yesu ili kumpa umaarufu jamaa yenu. Leta hapa ushahidi kwamba huyo issa alipata kuishi Israel.