Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari vijana wenzangu,
Binafsi Mimi siyajui machungu ya kuwa jobless. Nimemaliza tu kidato cha sita kisha kwenda JKT nikaajiriwa. Niliacha kazi mwenyewe na kupata kazi nyingine soon.
Mimi sio mbinafsi, ninavyoona jinsi vijana wenzangu wanavyopata taabu naumia kiasi.
Vijana wengi hawana uhakika wa uzee wao, wengine wanachumbia vichochoroni mpaka uchumba unavunjika kwasababu hawana power ya kufunga ndoa.
Serikali ndio haiwezi kuajiri 100% ya vijana ila ina wajibu wa kuajiri angalau 20% ya vijana wote, kisha sekta binafsi waajiri angalau 60% na asilimia 20 wawekewe mazingira ya kujiajiri ili kupata wavumbuzi na wabunifu wa ndani.
Kwa namna hiyo serikali inapaswa ijitwike mzigo kikatiba kuwa ajira ni haki ya kila kijana katika nchi hii. Hizo kauli za mkajiajiri zinatamkwa hovyo zikafutwe na katiba.
Hivyo basi ewe kijana ni vyema kila rasimu ya katiba itakayowekwa mbele zako angalia kipengere cha ajira kwanza kabla hujaanza kuangalia mamlaka ya Rais.