Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Kulikuwa na mipango na kelele nyingi ya kutaka kuondoa mihula ya Urais wakati wa hayati Magufuli. Ni wazo zuri kwani mambo ya mihula ni bora zaidi kwa nchi za magharibi ambazo zimeendelea.
Ktk nchi zetu tumuonapo kiongozi adhimu na wa tofauti hatuna budi kumuongezea muda wake wa kuongoza ili aifanyie mengi Taifa.
Sasa najiuliza hivi tungeshaharakisha mswada Kama huo na kuwa sheria, mara vaaapp Magufuli kafariki. Ingekuwaje kwa awamu hii mpya ya Rais Samia?